Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

Asante dia..
Huwa inatokea tu in a hopeless place
Yani huna hili wala lile unakutana na mtu anakugusa katika mazingira na hali yako
LM aka kipe wangu unizike nikuzike namuomba sana Mungu atupofushe tupendane hadi shetani ashangae
Ameeen, Mungu na awatimizie haja za mioyo yenu

Nami nikimpata ntamwambia maneno kama haya yako😜😍
 
Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yaani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenzi.

Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
sisi ambao hatujawai kupendwa na sisi tu tunalazimisha mapenzi tu tujuane pia
 
Jamani jamani jamaniiii,can no body tell u nothing,nipo kwny hii Hali na mm,hata Kama nitakuja kuumizwa soon sijali,nachotaka kusema Ni kuwa Kuna raha ya kupendwa,geey nakupenda mno
Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yaani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenzi.

Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
 
Miezi 6 baadae.

"Hawa Ng'ombe wa kiume sijui wanataka nini, hata umpe nini bado ataenda nje"

Swali anaulizwa,
Jina gani anastahili EX-wako
Jibu: Punda linalocheka
 
Mda si mrefu bi shanga atakuacha tu
asante kwa kutoa maoni yako.
muhimu kwa sasa amenipa furaha, hayom ya kesho anajua Mungu. Aliachwa mandela itakuwa mimi jamani? kuachwa na kuachana kupo ila tofauti yangu na hao wengine sisi tukishindwa mapenzi basi tumepatana kwenye kikao chetu tuwe mtu na kaka, mtu na mjomba, mtu na babake au vyovyote vile itakavyowezekana ili tubaki na ukaribu wetu tukithaminiana. ushaiona hiyo ilivyokaa??
 
Jamani jamani jamaniiii,can no body tell u nothing,nipo kwny hii Hali na mm,hata Kama nitakuja kuumizwa soon sijali,nachotaka kusema Ni kuwa Kuna raha ya kupendwa,geey nakupenda mno
u were given today......tomorrow isn't yours, kitu muhimu ni kwamba moyo wako umepata pumziko na hvo leo una furaha. ya kesho muachie Mungu wakati ukimuomba hiyo kesho usiyoijua iwe na heri na baraka zaidi ya leo. umeelewa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom