Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

Being single[emoji3187] +Being In Love[emoji2028] =Stress[emoji35]

Love is direct proportional to stress and sorrows if the lovers are not faithful to each other
 
Hizo moment za Secondary na chuo, Sasa hivi akili yote inawaza Hela yani binti ambaye anajaribu kunipenda na kuwa Serious na Mimi huwa namhurumia sana na tahadhari nampa kuwa Muda wa kucare sina kabisa na wala future na yeye sio lazima ivo kama atataka kuendelea amue tayari akiwa na msimamo wangu , btw kuna manzi amekomaa haswaa mwaka sasa pamoja na vitimbi na kutomjali ila yumo tu ila slay queens baada ya kuwa hit wamepotea, Iyo bibie nikilala huwa namfikria japo sitaki ajue kwamba nimeanza kuonesha interest kwake, Mungu ajalie awe mke tu amenivumilia haswaa
Tuwaache basi wenye furaha waendelee kufurahia, huu ni uzi wa wote wenye furaha katika mahusiano yao.
 
Najua unajua jamaa ni majisifu flani hivi kuwa makini bidada shogare. Jamaa ni mvunja mioyo anajitilisha huruma kwa namna hiyo ameshapita na wengi jamii. Sikio la kufa endelea kwa kuwa husikii.
Nasubiri omo
Sitajibu lolote msiniulize tafadhali
 
Najua unajua jamaa ni majisifu flani hivi kuwa makini bidada shogare. Jamaa ni mvunja mioyo anajitilisha huruma kwa namna hiyo ameshapita na wengi jamii. Sikio la kufa endelea kwa kuwa husikii.
Nasubiri omo
Sitajibu lolote msiniulize tafadhali
Watu wanabadilika lakini ndo maana ikawepo toba, acha kumtisha mwenzio na kumuonea wivu
 
3 week back nimekutana na binti wa 20 aisee tulijikuta,tuna penda tu.

Sasa kimbembe ilikuwa tunda katika kupambana akaja akaniambiq kuwa haja waiii ebwanaa niliwai toa bikra zaidi ya 9 mpaka sasa ila hiii ilikuwa kiboko yaooo.

Siku nzimaa tuna pambana mpaka nikamuachaa ila na yeye hakutaka,kukata tamaa akanieleza ukweliii kuwa anaogopaa maumivu maana aliyasikia kidogo.

Nikampa tips kuwa akisema ndio baaii jua,itakuwa rahisi kwetu sote.

Kwelii kajaa siki hiyoo dhaaa nikafanikiwa aisee saizi haelewii alikiwa lazima aje kila siku.

Sema saiz kasafirii ila nimejikuta na mpenda tu bila sababu yanii niko free kabisa kuwa naee japo nilikuwa siaminii mapenzi tena na kujifanya mgumuu...

Nimekamatika

Sent using mt4 app
 
°
giphy.gif
 
binafsi nipo ktk kipindi hiki, kiukweli kama ni kupendwa napendwa haswaa na mm pia nampenda mno huyu masai wangu..hakika Mungu kanipa haja ya moyo wangu..kanipa wa kufanana nae, December nitakwenda kutoa mahari..tuzidi kuombeana wakuu
 
Watu wanasema they have no time to be in deep love wanatafuta pesa tu na maisha yamekuwa magumu[emoji4]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom