zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Yaani hizi za kupenda sijui mnazipataje wengine hapa hatujawahi penda wala hatujawahi pendwa tuko kivukoni[emoji848]
Hatari Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani narenew every now and then [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chapter mupya
Ile real yenyewe sio maigizo, sio kuiba sio kuchepuka sio fake, penzi lenye history nyuma yake,Kwa sababu tu unafeel real love [emoji276]
Hapa umeongea kikungwi zaidiiiiEnjoy Best make sure you show him respect, care and love. Don’t use negative/ harsh words against him, when you made any mistake apologize as soon as possible in order to maintain peace and harmony in your L[emoji813][emoji813]E.
Yeah for now itatoshaHapana dada nipo hapa naelewa hio situation yani najiona kama dunia nzima ipo kiganjani
Kupendwa raha sana
Unatamani upige kelele watu wote wajue [emoji28][emoji28][emoji28]
I know it doesn’t last forever
Lakini kwa wakati huu naenjoy [emoji3059]
Ukihisi huzuni unaulizwa tatizo Nini, ukifurahi kidogo Kuna hisia anaipata🙄🙄 jamani jamani ukute ndo kajaaliwa uwezo Sasa, uwiiiii nimepatwa walahi, naanzaje kuchomoka kwake😅😅😅😅 eeh Mungu asanteright, yaani moment hizi watu hua wamoja kihisia hadi raha, utashangaa wakati anakuta nawe ndo ulitaka kumtafuta.
Ndo maana unatusumbua maana hujui hata Raha ya tunachopitiaYaani hizi za kupenda sijui mnazipatae wengine hapa hatujawahi penda wala hatujawahi pendwa tuko kivukoni[emoji848]
Ukiona hivyo ujue anakucheat Sasa hapo anakupiga change la macho sister!hivi hujajua mbinu zao Bado?yaani mi nikiona themometer imeongeza joto na Mimi naongeza ushushu huku natabasamKuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenz.
Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
[emoji23][emoji4]Naendelea kusoma comments wajumbe mnakaribishwa kuendelea kutuelezea vile mnafeel..[emoji4]
Alisema alisema AlisemaNdo maana unatusumbua maana hujui hata Raha ya tunachopitia
Umetupa ujumbe konki sana, yaani ni dedication kali kinoma tukiifata amani na Raha hizi zitaishi kwetu kwa muda mrefu ama wengine milele kabisa😂😂😂😂😂 kumbe miandiko ya makungwi ndiyo iko hivyo?
Acha wivuAlisema alisema Alisema
Zaga upendo ukizidi na chuki inazidi
Too much love is harmful[emoji4]
As ante...Hongera sana.
Wivu sina Ila maharage yakiiva ujue mkaa umeteketea [emoji4]Acha wivu
Endelea kuumia kelele zako hazinizuii Mimi kufanya yangu mkuu,Wivu sina Ila maharage yakiiva ujue mkaa umeteketea [emoji4]
Kama ananicheat anajichiti mwenyewe...Ukiona hivyo ujue anakucheat Sasa hapo anakupiga change la macho sister!hivi hujajua mbinu zao Bado?yaani mi nikiona themometer imeongeza joto na Mimi naongeza ushushu huku natabasam
Nipitie hapa twende wote maana sio kwa mchecheto huoAs ante...
Najiskia kupaa bila mabawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]#hatuachani