klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
I hope you meant kesho ya leo Kloro.... Alafu nashangaa kweli kweli, hii topic imekugusa nini?? maana lawyer wetu hukwepaki mambo kama ulivokwepa hapa....lol
Dah! Taswira bado imegoma Aisee! lakini kwa chap chap nazani ningewish dunia ikuwe kama kijiji kimoja tu, hakuna border wala nchi wala rais wala chama, Interaction ya watu isikuwe limited, na watu wahukumiane kimaumbile na sio kwa kupangiwa sheria kwa hisani ya marekani au ujerumani au Kikwete.
In short ningewish for natural, free green world bila influence ya the so called wanasiasa au Super powers.