Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

Ukiona shetani anakusifia ni Kwa vile huna madhara nae ( mwenye akili anafahamu)
 
Tangu lini sheikh ambaye ana njaa ya kichwani akaaminika..huyo ni mchumia tumbo..na statement yake imekaa kinafiki..na wivu anaona watu maaskofu wameongezeka kila kona na kila siku waumini wake wanahamia ukristo wivu umemjaa..atulie aendelee kutumika na chama cha kijani.


#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu naomba uthibitishe hiyo number 4 kipengere cha pili.
Nadhani umeghafirika tu.
 
Kwa hiyo kauli ya mtu mmoja ambaye ni binadam kama wewe inahitimisha kila kitu kwako
 
Ni Orthodox na Uislamu ndio utakuwa kitu kimoja kuwapiga mayahudi na wakristo angalia Orthodox wanafuga madevu kama waislamu mm mpk kanisa lao nimeingia hakuna bench za kukaa watu wote mmesimama sio Catholics .
 
Hakuna ibada za sanamu, ila mbona huoni dhmbi ya kutapeliana huko ulololeni, kama kuna sehemu kunaongoza kwa utapeli kupitia dini basi ni nyie, mnajiita walokole.
 
"Sasa hivi tuna Msiba mkubwa, mtu anajiamkia tu Nyumbani anajiita askofu Wakati hata uchungaji hajapitia,leo nimeshuhudia askofu sio jambo la mchezo mchezo ni Safari ngumu " Sheikh DSM
 
"Sasa hivi tuna Msiba mkubwa, mtu anajiamkia tu Nyumbani anajiita askofu Wakati hata uchungaji hajapitia,leo nimeshuhudia askofu sio jambo la mchezo mchezo ni Safari ngumu " Sheikh DSM
Wivu tu unamsumbua..yeye atulie injili iendelee kuhubiriwa..watu aokolewe wondoke kwa ibilisi mvaa kobazi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alama ya ukristo duniani ni KRISTO mwenywe. Au Yesu alikuw anasali kanisa Katoliki
 
Imani ya Mtu Kama Inakukera Ina Maana Hujakomaa Kwenye Hiyo Uliyopo.... Kuna Kumtafuta Mungu Halafu Kuna Kuwafurahisha Binadamu Wenzio Usikose Wa Kukuzika...
 
Au ,,Ukiona muislam anasifia jambo la kikristo ujue hilo limekaa kiislam zaidi kuliko kikristo"
 
Au ,,Ukiona muislam anasifia jambo la kikristo ujue hilo limekaa kiislam zaidi kuliko kikristo"
 
Luka 6:26 Ole wenu ninyi watu wote watakapowasifu, kwa kuwa baba zao waliwatenda manabii wa uongo mambo kama hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…