Tujikumbushie matukio na mambo ya miaka 2000

Tujikumbushie matukio na mambo ya miaka 2000

Burudani magazetini:
Gazeti la Mzalendo lilikuwa na makala za vijembe na ufikishaji ujumbe kipekee kama Hekaya za Chesi Mpilipili (Chesi Mpilipili) Cheka kwa Uchungu na Uncle Ben ( Ben R. Mtobwa)...........
Pia kulikuwa na "Zee la Nyeti'
Maisha na kumbukizi nzuri sana ..enzi hizo movi za Rambo zilikua hatari sana
 
Hii ndio miaka millenials wapo primary and secondary huku bado wadogo zao gen z wapo kwenye mifuko na mayai🤣

Miaka hio tunaulizana mbna isidingo Haiishi maana tangu late 90s watu wanaangalia😬

Miaka 2000 ndio ilikuwa golden age ya burudani na media katika nchi hii

Between 2000 hadi 2009 taifa lilikuwa limeshatengeneza watu ambao leo ni legends katika taifa hili.

Maigizo/mchezo ya kaole ndani ya ITV, pale ndipo tulipomtambua kanumba na ray, hadi wao kuanza safari ya filamu. Ile filamu ya girlfriend ya wakina TID ilishika kasi sana😁

Nakumbuka kanda za albamu za wasanii zilimiminika katika nyumba za watu, mimi binafsi nakumbuka albamu ya wachuja nafaka, ile nyambizi ya dully sykes, maisha na muziki ya mr 2, etc zilikuwa pale home.

Miaka 2000 star wa mpila alikuwa juma kaseja, huku mastaa wengine wakiwa wakina sunta, huyu dada ambae alitaka kula hela za mengi zote😁,

Miaka 2000 ilikuw na original comedians, wakina kibakuli🤣, bambo, pembe, joti na mpoki pamoja wakifanya vituko😂

Miaka ya 2000 yalitokea matangazo ya TV maarufu, kama chai jaba, lile tangazo la wasanii kuimba usione soo sema nae nafikiri kampeni ya ugonjwa wa ukimwi, alafu matangazl ya condom yalikuwa mengi sanaa maana ukimwi ulikuwa mkali 🤣

Miaka ya 2000 ujambazi hatarii, kuna tukio moja la kuvamia benk hata itv walionesha tena kwa kuiba kuiba marisasi yanapiga (taarifa ya habari)
View attachment 3536714
View attachment 3536715
View attachment 3536717
View attachment 3536868
Hii mada bila.kuzungumzia Y2K ni sawa na bure.
 
Noti ya shilingi elfu kumi ya wakati huo ilikuwa bluu, a.k.a bluu bluu, ya sasa ni nyenkundu a.k.a msimbazi, wekundu wa msimbazi. Hiyo noti ya bluu ilipelekea dogo mmoja mwanamuziki wa kizazi kipya aliyejiita Lil Sama kupata idea ya kutunga wimbo wenye maneno bluu bluu, kila kitu kwake ikawa ni bluu bluu tu. Hatimaye dogo huyo akabadili jina la kiuanamuziki na kujiita Mr. Blue, asili ya jina hilo ni noti ya elfu kumi yenye rangi ya bluu ya wakati ule
Kumbe!
 
Mwanza ya Sasa sio Kama yazamani mwamba mmoja kutoka chifunfu sengerema akikiwasha Sana Radio saut fm wanamwita JUMANNE MABAWA AKA BABA D.
 
Back
Top Bottom