Tujikumbushie matukio na mambo ya miaka 2000

Tukija kwa wachora katuni wa zama hizo kina ibra washokera kwenye gazeti la mfanyakazi na ile katuni ya toto tundu, lile jimama tukunyema, james gayo na kingo, godfrey mwampembwa 'gado' bi mkora na robert mwampembwa, dogo na oscar makoye, pampula na noah yongolo, kijasti na nathan mpangala, chris shola, king kinya, fadhili mohamed na mafinyufinyu. Katuni za magazetini zilitamba sana miaka hiyo
 
Wengine tuliikuta channel 5 badae ikawa EATV
Unajua Test Signal alianza CTN then akaja ITV.
ilipoongezwa DTV na Chanel Ten ikaja ITV2,C2C na Pulse.

CTN,DTV,TEN,C2C= Kanjibahi
ITV,ITV2,PULSE= IPPMedia
 
Kuishi kwingi ni kuona mengi, huu uzi watoto wa 2000 wanaona nyotanyota tu, wa like tu wakubwa zao tukiwapa fact za wakati huo
 
Unajua Test Signal alianza CTN then akaja ITV.
ilipoongezwa DTV na Chanel Ten ikaja ITV2,C2C na Pulse.

CTN,DTV,TEN,C2C= Kanjibahi
ITV,ITV2,PULSE= IPPMedia
Basi hapo nilikuwa sijitambui aisee😅 nakumbuka tu ITV ya sasa ilikuwepo toka enzi babu yangu alikuwa anapenda kuangalia hii chanel
 
Tukija kwa wachora katuni wa zama hizo kina ibra washokera kwenye gazeti la mfanyakazi na ile katuni ya toto tundu, lile jimama tukunyema, james gayo na kingo, godfrey mwampembwa 'gado' bi mkora na robert mwampembwa, dogo na oscar makoye, pampula na noah yongolo, kijasti na nathan mpangala, chris shola, king kinya, fadhili mohamed na mafinyufinyu. Katuni za magazetini zilitamba sana miaka hiyo
oscar makoye= Tolu.
Kuna kina Teddy,4th Ndilla,
 
Daah,
Bongo flava vijana walikuwa wanachana Mistari free style pale Amana Vijana Centre full vipaji na tulijazana pale asee hachana na hizi BSS.
huyu dudubaya aliibukia kwenye kipindi cha hawavumi lakini wamo cha wakati huo unaenda kama ulivyo pale ITV unakutana na mtangazaji wa kipindi hicho wa wakati huo, si huyu zomboko, unarekodiwa kipindi kinaenda hewani. Hichi cha zomboko unaenda tayari una video yako, cha zamani ilikuwa unaenda kavukavu na makopokopo yako unaonesha kipaji chako tu siyo kuonesha kazi kama sasa. Dudu baya aliibuka na goma lake la Mwanangu huna nidhamu
 
Burudani magazetini:
Gazeti la Mzalendo lilikuwa na makala za vijembe na ufikishaji ujumbe kipekee kama Hekaya za Chesi Mpilipili (Chesi Mpilipili) Cheka kwa Uchungu na Uncle Ben ( Ben R. Mtobwa)...........
Pia kulikuwa na "Zee la Nyeti'
 
Niliwahi kununua album(tape) ya ferooz mrisho. (SAFARI)

Album nzima ilikua na nyimbo 6 au 8 tu(huyu jamaa alikua mbele ya muda maana wengine album zilikua na nyimbo mpaka 20)

Katika album hiyo ndio kulikua na ngoma pendwa STAREHE, jirushe, narusha ft dully

Hii ilikua album yangu ya kwanza na ya mwisho kununua toka nizaliwe.

Hawa jamaa, laiti kama wangeweza kukaza kidoogo mpaka wakaingia era ya youtube nadhani wangekua mbali

View: https://youtu.be/uYXqHfJxmpw?si=X1qPtVPOl1Lxrgco
 
Days of our lives
Acapulco bay
Onyango kwenye ubora wake.. kuna kile kitangazo sijalala mwanangu utauwqwq bure.
Tangazo la safari lagaer safari ni safari
Omari mkali na muziki wa mduara..
Max na zembelewa
Tausi ndege wangu, wakenya
Itv walikuwa na kipindi fulani cha watoto.
DTV kwenye ubora wao
C2c,cTn ndani ya nyumba
Kulikuwa na muvi ya jamaa ana mpiki piki tunamuita lino lenz
Chuck norris na texas ranger kama sikosei.
Shivoo, monkey ya wachina
Shigongo na uswazi,ijumaa, amani etc alikuwa na magazeti karibia siku 7 za wiki
Kulikuwa na gazeti la lete raha kabla mwanaspoti haizaanza kubamba lile gazeti ndio lilikuwa bora kwangu.
Radioni unamsikia misanya bingi abubakar sadiq
Cartoon network, tom na jerry, kina scooby doo
Michezo ya karata, makwenzi, albastini kabla ya one card
Mambo ya mobitel, buzz ni bomba..
Simu kama mche za sabuni bonge wa msimu kisha vikaja vidogoli dogoli nokia 1100 kisha nokia 1110, kisha nokia jeneza 3310
Ngwizukulu jilala kabla hata manyaunyau hajajulikana mjini.
Magazeti ya bongo na tabasamu..
Madenge, kiokote, zena na betina.. derby ya wabush na born town sijui nimesahau mzee kifimbo cheza
Dr. Levi na baba ubaya wake, huku mtaalamu KINGO
bongo fleva kwenye prime yake.. 2000 mpaka 2007 fulani hivi ni hatari.
Kule kuna muziki wa benzi unaishia ishia, ottu wakikamatia daraja lisivunjike, TX MOSHI anapiga vyuma vya moto sana kumbe ndio anatuaga.
Huku taarabu ndio usiseme alianza nasma khamis kidogo, achana na kina misambano na asu wake, kuna yule mzee aligongwa na gari pale diamond jubilee mzee wa kimasomaso na yule muhuni alikuwa anaweka ndevu hina hao wakali wa taarabu ya miaka ya 90.
Nhoo kwa east african melody, zanzibar modern taarabu kabla ya kuzaliwa jahazi.. aloo inapigwa bao zoa zoa, huku sijui hayanifiki, huku sijui utalijua jiji kule sijui sanamu la michelini
Enzi za fubu, phatfarm, fila.. bonge la mjinzi na mjezi wa basketball
Hapa yebo yebo uji, kisha yebo yebo viatu, watu wanauziwa mpaka elfu 30 😂🤣
Kuna biscuits fulani zilikuwa zinaitwa mabrooq kama sikosei, nimekula sana zile
Makoma kwenye ubora wao.. piga ngoma kali sana kuke south africa kuna kina TKZee
Enzi za wadada kuandika mistari ya westlife, celine dion, mariah carey kwenye madaftari, mnatongozana mixer ma dedication huko.
Kina dully sykes na julieta, huku tid na zeze lake, hpa juma nature, kule prof jize, balozi..
Enzi za kuangalia movie kwenye mabada unapita unaangalia kava kwanza..
Lufufu ndio supastaa bila yeye movie hainogi..
Movie nyingi tumezibatizq majina ya kishwahili.. komando kipensi, anodi ya jeni, kuna anodi ya jini, jak chen mmasaid, ze had wei mniga analiwa na mamba etc
Friji hakuna nyumbani mnanunua barafu mnakuja kuyeyushia kwenye maji yawe ya baridi.
tv kwa jirani kuangalia michezo, na lazima uwe umeoga

Mambo mengi mnooooi
 
Pia nakumbuka kwenye yale magazeti ya Udaku ni lazima ukute Lyrics ya nyimbo za nje.

Tulichana sana vipande vyenye nyimbo za WestLife, kina Rehana, Brandy na wengine wengi.

Kwetu tulikuwa na daftari special ya kubandikia hizo nyimbo ili tukiwa hatuna kazi na mama hayupo tusikilize tuimbe.

Uwiiii tulijua kuzikariri. Lol.
Nakumbuka nyimbo za westlife xilikuwa zinanipa mafeelings aisee kipindi hixho kuns mtoto mzuri shuleni anaitw eclat nilikuea namzimikia🤣🤣
 
Niliwahi kununua album(tape) ya ferooz mrisho. (SAFARI)

Album nzima ilikua na nyimbo 6 au 8 tu(huyu jamaa alikua mbele ya muda maana wengine album zilikua na nyimbo mpaka 20)

Katika album hiyo ndio kulikua na ngoma pendwa STAREHE, jirushe, narusha ft dully

Hii ilikua album yangu ya kwanza na ya mwisho kununua toka nizaliwe.

Hawa jamaa, laiti kama wangeweza kukaza kidoogo mpaka wakaingia era ya youtube nadhani wangekua mbali

View: https://youtu.be/uYXqHfJxmpw?si=X1qPtVPOl1Lxrgco

💯💯 Naikumbuka hii, jamaa nasikia alipewa gari kali na mkapa akaishia kula pesa na mademu zikaisha🤣
 
Days of our lives
Acapulco bay
Onyango kwenye ubora wake.. kuna kile kitangazo sijalala mwanangu utauwqwq bure.
Tangazo la safari lagaer safari ni safari
Omari mkali na muziki wa mduara..
Max na zembelewa
Tausi ndege wangu, wakenya
Itv walikuwa na kipindi fulani cha watoto.
DTV kwenye ubora wao
C2c,cTn ndani ya nyumba
Kulikuwa na muvi ya jamaa ana mpiki piki tunamuita lino lenz
Chuck norris na texas ranger kama sikosei.
Shivoo, monkey ya wachina
Shigongo na uswazi,ijumaa, amani etc alikuwa na magazeti karibia siku 7 za wiki
Kulikuwa na gazeti la lete raha kabla mwanaspoti haizaanza kubamba lile gazeti ndio lilikuwa bora kwangu.
Radioni unamsikia misanya bingi abubakar sadiq
Cartoon network, tom na jerry, kina scooby doo
Michezo ya karata, makwenzi, albastini kabla ya one card
Mambo ya mobitel, buzz ni bomba..
Simu kama mche za sabuni bonge wa msimu kisha vikaja vidogoli dogoli nokia 1100 kisha nokia 1110, kisha nokia jeneza 3310
Ngwizukulu jilala kabla hata manyaunyau hajajulikana mjini.
Magazeti ya bongo na tabasamu..
Madenge, kiokote, zena na betina.. derby ya wabush na born town sijui nimesahau mzee kifimbo cheza
Dr. Levi na baba ubaya wake, huku mtaalamu KINGO
bongo fleva kwenye prime yake.. 2000 mpaka 2007 fulani hivi ni hatari.
Kule kuna muziki wa benzi unaishia ishia, ottu wakikamatia daraja lisivunjike, TX MOSHI anapiga vyuma vya moto sana kumbe ndio anatuaga.
Huku taarabu ndio usiseme alianza nasma khamis kidogo, achana na kina misambano na asu wake, kuna yule mzee aligongwa na gari pale diamond jubilee mzee wa kimasomaso na yule muhuni alikuwa anaweka ndevu hina hao wakali wa taarabu ya miaka ya 90.
Nhoo kwa east african melody, zanzibar modern taarabu kabla ya kuzaliwa jahazi.. aloo inapigwa bao zoa zoa, huku sijui hayanifiki, huku sijui utalijua jiji kule sijui sanamu la michelini
Enzi za fubu, phatfarm, fila.. bonge la mjinzi na mjezi wa basketball
Hapa yebo yebo uji, kisha yebo yebo viatu, watu wanauziwa mpaka elfu 30 😂🤣
Kuna biscuits fulani zilikuwa zinaitwa mabrooq kama sikosei, nimekula sana zile
Makoma kwenye ubora wao.. piga ngoma kali sana kuke south africa kuna kina TKZee
Enzi za wadada kuandika mistari ya westlife, celine dion, mariah carey kwenye madaftari, mnatongozana mixer ma dedication huko.
Kina dully sykes na julieta, huku tid na zeze lake, hpa juma nature, kule prof jize, balozi..
Enzi za kuangalia movie kwenye mabada unapita unaangalia kava kwanza..
Lufufu ndio supastaa bila yeye movie hainogi..
Movie nyingi tumezibatizq majina ya kishwahili.. komando kipensi, anodi ya jeni, kuna anodi ya jini, jak chen mmasaid, ze had wei mniga analiwa na mamba etc
Friji hakuna nyumbani mnanunua barafu mnakuja kuyeyushia kwenye maji yawe ya baridi.
tv kwa jirani kuangalia michezo, na lazima uwe umeoga

Mambo mengi mnooooi
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
 
Back
Top Bottom