Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,909
- 14,317
sina majibu!Kwa hiyo ulikuwa unajitambua tayari, siyo?
sina majibu!Kwa hiyo ulikuwa unajitambua tayari, siyo?
ukimwi wa kipindi hicho ulikuwa ni ukimwi haswa, ukiupata unakwenda na maji fasta. Watu walikondeana mpaka inatisha, tofauti na siku hizi kuna ARV watu wanabugia na kunenepa huwezijua kama mtu ana UKIMWIUsinikumbushe enzi ze ambapo ukimwi ulikuwa kwenye kilele chake. Nakumbuka nilifungua duka kubwa la kondom kwa kuamini kuwa wateje watakuwa wengi lakini niliambulia hasara.
Enzi hizo bado sijaanza kumgonga bibie Mnachihanguuu .
Vitu kama hivi watoto wa juzi kina Harmful hawawezi vijua,Hii ndio miaka millenials wapo primary and secondary huku bado wadogo zao gen z wapo kwenye mifuko na mayai🤣
Miaka hio tunsulzana mbna isidingo Haiishi maana tangu late 90s watu wanaangalia😬
Miaka 2000 ndio ilikuwa golden age ya burudani na media katika nchi hii
Between 2000 hadi 2009 taifa lilikuwa limeshatengeneza watu ambao leo ni legends katika taifa hili.
Maigizo/mchezo ya kaole ndani ya ITV, pale ndipo tulipomtambua kanumba na ray, hadi wao kuanza safari ya filamu. Ile filamu ya girlfriend ya wakina TID ilishika kasi sana😁
Nakumbuka kanda za albamu za wasanii zilimiminika katika nyumba za watu, mimi binafsi nakumbuka albamu ya wachuja nafaka, ile nyambizi ya dully sykes, maisha na muziki ya mr 2, etc zilikuwa pale home.
Miaka 2000 star wa mpila alikuwa juma kaseja, huku mastaa wengine wakiwa wakina sunta, huyu dada ambae alitaka kula hela za mengi zote😁,
Miaka 2000 ilikuw na original comedians, wakina kibakuli🤣, bambo, pembe, joti na mpoki pamoja wakifanya vituko😂
Miaka ya 2000 yalitokea matangazo ya TV maarufu, kama chai jaba, lile tangazo la wasanii kuimba usione soo sema nae nafikiri kampeni ya ugonjwa wa ukimwi, alafu matangazl ya condom yalikuwa mengi sanaa maana ukimwi ulikuwa mkali 🤣
Miaka ya 2000 ujambazi hatarii, kuna tukio moja la kuvamia benk hata itv walionesha tena kwa kuiba kuiba marisadi yanapiga (taarifa ya habari)
View attachment 3536714
View attachment 3536715
View attachment 3536717
Mi hapo ukiongeza na Cartoon networkVitu pekee nilivyokuwa najua kufanya miaka ya 2000
Journey to the west
Need for speed 2
View attachment 3536830View attachment 3536831
Ilikua ni kila jumapili , nilihakikisha naenda misa ya Kwanza ili ni uwahi hii tamthilia.Vitu pekee nilichokuwa nachojua kufanya miaka ya 2000
Journey to the west
Need for speed 2
View attachment 3536830View attachment 3536831
Ilikua ni kila jumapili , nilihakikisha naenda misa ya Kwanza ili ni uwahi hii tamthilia.
KabisaMi hapo ukiongeza na Cartoon network
Hyo Monkey king hata miaka ya 2007 ilikuwepo
Basi ulikuwa wakishua wajuba tulikuwa enzi hizo games na movies mpaka vibanda umiza , majirani Wenye Tv masharti kibao wanavimbaKabisa
Cartoon
Games
Movies
Life was perfect
Maisha yame tusurprise Sana, Leo hii naweza maliza miezi mitatu bila kutizama.Jumapili nilikuwa natengeneza means nyingi sana ili nisiende kanisani kama kujifanya naumwa manake asubuhi kuna cartoon kina bakugan,ben ten ...hayakuwa mambo ya kukosa haya
Basi ulikuwa wakishua wajuba tulikuwa enzi hizo games na movies mpaka vibanda umiza , majirani Wenye Tv masharti kibao wanavimba
Maisha yame tusurprise Sana, Leo hii naweza maliza miezi mitatu bila kutizama.
Sitasahau alhamisi kuu niliondoka kwenye ibada kabla ya kumalizika ili ni wahi zecomed east Africa TV!
Hance Mtanashati 😆😆Kipindi Bora kabisa dunia imewahi kupitia ni 2000s hadi 2010
Filamu
Jumba la dhahabu ya Tuesday Kihangala
Shumileta na Nsyuka ya Musa Banzi na Sultan Tamba
Johari njia panda ya ray na kanumba
Misukosuko ya J bras na Seba
Muziki
1. Juma nature na hakuna kulala, ugali, mugambo wanaruka na kukanyagana
3. Temba na chege na Tmk wanaume family na Dar mpaka Moto
4. Mb Dogg na sagabrasha, latifa
5. Z anto na bint kiziwi na mpenzi jini
6. Ferooz na profess J state he
7. Mandojo na domokaya bila kusahai sog dogg
TV NA RADIO
1. Chemsha bongo ya redio one stereo
2. Mizengwe ya ITV
3. Nani zaidi ya redio one
4. Kwetu fleva ya DJ majizo ya magic FM
5. Mchezo ya Mzee jangala radio Tanzania
6. Matangazo ya chai Jaba na fataki na funda moja la ziada litakuumbua
7. Channeli ya C2C mtu kwao ilikuwa inapiga muziki balaa
8. Redio free afrika na kipindi cha sitasahau na je huu ni uungwa cha fredwaa
Kulikuwa ni kipindi cha dhahabu kwa kweli haitakaa itokee, sasa hv ni kama vile kila kitu kimepoteza mvuto