Nani afwa?.... Sikuelewi.
Hehehee! Umenikumbusha "Iji ng'ombe jose ni ja kwenu?" wapi Wapare huku jf? SIWAELEWI...
Nani afwa?.... Sikuelewi.
Nani afwa?.... Sikuelewi.
mkuu kuna kitabu kimoja cha kipelelezi jamaa alikuwa anatumia kitabu cha dini (quruan) kutafuta hazina na urithi ilipofichwa, sikumbuki tittle yake, ila ni mkasa wa aina yake, unakikumbuka? nataka nikirudie ila sijui ntakipataje....Kwa bahati nilianza kujisomea vijitabu, kabla sijaanza chekechea... na nilipikuwa shule ya msingi nilikabidhiwa madaraka ya kutunza library ya shule, hapo sasa ndipo vitabu vilinikoma. (Karibia ya robo ya vitabu vya hadith viliamia nyumbani).
Tafuta vitabu vya Muhammed Said Abdulla, akitumia rakabu ya Bwana Msa... Vitabu ambavyo ameandika ni hivi:mkuu kuna kitabu kimoja cha kipelelezi jamaa alikuwa anatumia kitabu cha dini (quruan) kutafuta hazina na urithi ilipofichwa, sikumbuki tittle yake, ila ni mkasa wa aina yake, unakikumbuka? nataka nikirudie ila sijui ntakipataje....
tafuta vitabu vya muhammed said abdulla, akitumia rakabu ya bwana msa... Vitabu ambavyo ameandika ni hivi:
- kisima cha giningi
- dni kuna watu
- kosa la bwana msa
- siri ya sifuri
- mwana wa yungi hulewa
- mzimu wa watu wa kale
- mke mmoja waume watatu
- duniani kuna watu
- kisima cha giningi.
aisee asante kwa kunikumbusha, ni kweli kabisa nilisoma hivyo vitabu viwili (red) na kati ya hivyo kimoja kina huo mkasa, kwa hapa dar wapi naweza kuvipata?Tafuta vitabu vya Muhammed Said Abdulla, akitumia rakabu ya Bwana Msa... Vitabu ambavyo ameandika ni hivi:
- Kisima cha Giningi
- Kosa la Bwana Msa
- Siri ya sifuri
- Mwana wa yungi hulewa
- Mzimu wa watu wa kale
- Mke mmoja waume watatu
- Duniani kuna watu
wakuu hvi hakuna website yeyote tunayoweza kupata vitabu hivi vya story za kale au mtandaon havpatikan?
aisee asante kwa kunikumbusha, ni kweli kabisa nilisoma hivyo vitabu viwili (red) na kati ya hivyo kimoja kina huo mkasa, kwa hapa dar wapi naweza kuvipata?
Jaribuni kwenye maduka ya vitabu, uko mitandaoni sidhani kama vinapatikana.
niani afwa?nani afwa?.... Sikuelewi.
Jamani nimekumbuka Hadithi za
Zamani Kibanga ampiga Mkoloni, Karudi baba mmoja.... Tola ala gizani..
Yani rahaaa! Mitoto ya sikuizi kila shule na Hadithi yake. Embu
2kumbushane enzi izoo za Mr Daudi, Baraka and Neema.