brazilian
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 604
- 115
Nadhili ya Umslopogaas
Nakumbuka alipompandisha Solais kwenye farasi wake baada ya farasi mwingine kufa. Solais akamuuliza sasa wewe utkwenda na nini? Umsolopogaas akasema NITAPIGA MBIO!!!!
Nadhili ya Umslopogaas
Kisiwa Chenye Hazina, Robinson Crusoe, Jamaa Hodari Kisiwani, Hadithi ya Kisonoko (Cinderela).
Kisiwa chenye hazina = John Fedha namkumbuka
Tukumbuke na HEKAYA ZA ABUNUWASI alivyokuwa na busara enzi Sultan Harun Rashid
Hasa ile stori ya kuuza nyumba yake ya gorofa. aliipoona kuwa jamaa amenunua floor moja ya juu na yeye alitaka kuuza nyumba nzima siku moja akamwita yule mteja wake kule juu kuwa Bwana shikilia nyumba yako ya juu maana nabomoa yangu ya chini, usije ukasema sikukuambia. jamaa ikabidi anunue nyumba nzima
Kipindi kile, enzi za utoto wetu tukisoma: Robinson Crusoe, Kisiwa cha Hazina (Treasure Island - by Robert Louis Stevenson), Unyonge wa Mwafrika - umo utawakuta Kaombwe na makapu ya karanga, pia kitabu kimoja jina nimesahau, lakini nakumbuka the main character in Sindbad wa Baghadad. Mzee wangu akipenda kusoma gazeti kubwa sana la Mzalendo na Africa Now. LOL, Old is Gold!
Nimekumbuka mbali mkuu: John Fedha = John Silver, mzee shujaa mwenye mguu mmoja, akipigwa na upepo mkali bila kutikisika ktk merikebu kubwa: 'Hispaniola', pia kijana Jim Hawkins.
Kisiwa Chenye Hazina, Robinson Crusoe, Jamaa Hodari Kisiwani, Hadithi ya Kisonoko (Cinderela).
Dunia uwanja wa fujo,by kazorahabi,mnakikumbuka!,akina Rose Mistika