Kwanini Vitabu vya zamani vina maudhui ya kitoto sana?

Jbst

JF-Expert Member
Nov 29, 2020
1,924
3,951
Nirudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimesoma baadhi ya vitabu vya Kiswahili vya kizamani kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Bunuasi, Safari ya Bulicheka na Mkewe, Alibaba na Wezi 40, Kusadikika na vingine vingi lakini kiukweli nimeshindwa kuvielewa naona kama maudhui yake si ya mtu mzima!

Nimesoma vingi sana baada ya miaka mingi kuona humu JF watu wakivisifisia sana. Hivi vitabu au vimelenga wazee? Au me ndo akili ndogo?

Havijanivutia kabisa yaan ni vitabu vya kitoto
 
Hivi vitabu vimefasiriwa kwa kiswahili na si vya asili ya hapa na ni kwa ajili ya watoto na ni maarufu hata kwa lugha nyingine pia kwa kifupi vitabu hivyo ni miongoni wa vitabu simulizi zake zinatengeneza mabilioni ya dola kwa kampuni ya Disney kwa kutengeneza filamu zitokanzo na simulizi hizo ukiondoa kitabu cha kusadikika ambacho ni cha mtanzania Shabani Robert
 
Nakubaliana na wewe, ni vitabu vya kitoto na vinasomwa shule za msingi na vidudu huko…. mtu mzima kusimulia maudhui yake ni FUTUHI tu.

Halafu sio vya Kiswahili japo vimetafsiriwa, ni kama filamu za Kirikuu.
 
jaymoul, Vitabu vyote ulivyovitaja ni kwa ajili ya watoto, wewe unavisoma sasa umeshaota ndevu lazima utaviona maudhui yake siyo ya watu wazima.

Mimi nimevisoma vyote hivyo nilipokuwa kuanzia darasa la tatu: Bulicheka, Bibi Tarabushi na Kalumekenge darasa la tatu, Abunuwasi na Alfu lela u lela ni kuanzia darasa la nne na kuendelea. Lengo lilikuwa kukufanya upende kusoma vitabu. Kila ukienda darasa la juu unapewa vitabu vingine ambavyo ni vigumu kidogo kulingana na level yako, mfano:

Around the world in 80 days, Invisible man, Dr Jekyll and Mr Hyde vilikuwa vinakufanya ufikiri sana na kujaribu kuuvaa uhusika.

Sasa hivi Richard Mabala anajitahidi kuandika vitabu ambavyo vinakufanya upende kusoma.

Kusadikika ni kitabu kimetungwa na Shaaban Robert na kina maudhui ya ndani kabisa. Kama humuelewi SR basi wewe kiswahili siyo lugha yako.

Usifikiri utakurupuka tu ndiyo uanze kuwa mpenzi wa kusoma, lazima ile tabia ijengwe kidogo kidogo na kwa muda mrefu.
 
Mmmmh na kile kinachosema Mtu alikufa na kufufuka siku ya tatu je?
Mikate mitano kula watu elfu Tano!
Mtu kutembea Juu ya maji!
Fimbo kugawanyisha bahari!
NK nk

Kile Cha ukifa kama ulikua mwema unaenda Peponi kupata mabikra 72 wa kugegeda na kuogolea kwenye mito ya pombe na kunywa asali na maziwa
Ni vya watu wazima vile?

Vitabu vingi vya Zamani vumejaa hekaya za kitoto Sana ila still Kuna mpaka Wasomi grade one wanaviamini na kuita Imani what a joke!
😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
 
Ni kweli kuwa hivi ni vitabu vya watoto. Watu wanavisimulia na kuvikumbuka sababu vinawakumbusha mbali, na pengine kwa bahati mbaya hawakuwahi kusoma vingine toka wametoka shule.
 
jaymoul, Vitabu vyote ulivyovitaja ni kwa ajili ya watoto, wewe unavisoma sasa umeshaota ndevu lazima utaviona maudhui yake siyo ya watu wazima.

Mimi nimevisoma vyote hivyo nilipokuwa kuanzia darasa la tatu: Bulicheka, Bibi Tarabushi na Kalumekenge darasa la tatu, Abunuwasi na Alfu lela u lela ni kuanzia darasa la nne na kuendelea. Lengo lilikuwa kukufanya upende kusoma vitabu. Kila ukienda darasa la juu unapewa vitabu vingine ambavyo ni vigumu kidogo kulingana na level yako, mfano:

Around the world in 80 days, Invisible man, Dr Jekyll and Mr Hyde vilikuwa vinakufanya ufikiri sana na kujaribu kuuvaa uhusika.

Sasa hivi Richard Mabala anajitahidi kuandika vitabu ambavyo vinakufanya upende kusoma.

Kusadikika ni kitabu kimetungwa na Shaaban Robert na kina maudhui ya ndani kabisa. Kama humuelewi SR basi wewe kiswahili siyo lugha yako.

Usifikiri utakurupuka tu ndiyo uanze kuwa mpenzi wa kusoma, lazima ile tabia ijengwe kidogo kidogo na kwa muda mrefu.
Mleta mada anatakiwa kujishangaa mwenyewe na si kushangaa vitabu.
 
Huko mwisho umevuruga tu ,, nimesoma vitabu vingi wala sio kwamba me sio msomaji
 
Ni kweli kuwa hivi ni vitabu vya watoto. Watu wanavisimulia na kuvikumbuka sababu vinawakumbusha mbali, na pengine kwa bahati mbaya hawakuwahi kusoma vingine toka wametoka shule.
Angalau ww umeongea kitu cha msingi labda hivo ndomana wanavisifia
 
Nirudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimesoma baadhi ya vitabu vya Kiswahili vya kizamani kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Bunuasi, Safari ya Bulicheka na Mkewe, Alibaba na Wezi 40, Kusadikika na vingine vingi lakini kiukweli nimeshindwa kuvielewa naona kama maudhui yake si ya mtu mzima!

Nimesoma vingi sana baada ya miaka mingi kuona humu JF watu wakivisifisia sana. Hivi vitabu au vimelenga wazee? Au me ndo akili ndogo?

Havijanivutia kabisa yaan ni vitabu vya kitoto
Andika vya kisasa vya kiutu uzima utuuzie !!
 
Wacha upuuzi hivyo ni vya entertainment. Mbona kuna vya kilimo bora, kuleni kuku mayai, kilimo cha pamba nk
 
Nirudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimesoma baadhi ya vitabu vya Kiswahili vya kizamani kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Bunuasi, Safari ya Bulicheka na Mkewe, Alibaba na Wezi 40, Kusadikika na vingine vingi lakini kiukweli nimeshindwa kuvielewa naona kama maudhui yake si ya mtu mzima!

Nimesoma vingi sana baada ya miaka mingi kuona humu JF watu wakivisifisia sana. Hivi vitabu au vimelenga wazee? Au me ndo akili ndogo?

Havijanivutia kabisa yaan ni vitabu vya kitoto
Mazee wewe unadhani kila kitabu ni lazima kiwe na maudhui ya wakubwa?
 
Kusadikika sio Kitabu cha watoto..., kama vile ilivyo animal farm ni story zinazobeba uhalisia kwa kutokusema wahusika moja kwa moja

Hebu kasome kitabu cha Fable of the Bees cha 1714 alafu urudi hapa tuongee zaidi au kama vipi nikupe dondoo kinahusu nini...

In short great thinkers wa miaka ya kina Plato sasa hivi hawazaliwi tena...., nowadays mambo yamekuwa simple na originality imepungua sana..., ni mwendo wa kuhamisha na kuibiana mawazo..., Tuna Quantity in place of Quality
 
Nimesoma hivyo vitabu. Na kile cha Yahana mjinga.

Kiwavi na sungura hahahaha. Mimi ni jini kuu la bahari 7, naweza kumpiga ndovu kwa kidole kimoja na kumsagasaga kifaru kwa unyayo wangu. Kiwavi akimchimba beat simba
 
Back
Top Bottom