Tujikumbushe vitabu vya zamani

Tujikumbushe vitabu vya zamani

Hivi ni vitabu nilivyojibia mtihani wa form four, Three suitors one husband, The River Between, Things Fall Apart
the same to me, nilivipenda sana, hadi leo natamani sana niwe navo geto kwangu, ila pia bila kusahau kile cha The Black harmit...

kwa upande wa for two nakumbuka cha "Hawa the Bus Driver"
 
kuna kitabu kinaitwa "Mganga Pazi" kama sijakosea, jamaa alijifanya mganga sasa mfalme akawa anaumwa sana, ikabidi aitwe aje kumponya..hapo ndo shughuli ilipoanzia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom