Tujikumbushe vitabu vya zamani

Tujikumbushe vitabu vya zamani

mkuu nipo mwanza nina shida sana na kitabu hiki, nisaidie nakipataje?

mkuu hivi havipatikaniki hata library ya taifa hawaazimishi kabisa kwa bahati nzuri mie nilikipata kwa mzee wangu ndo ninacho mpaka sasa
 
Solais bibi wa usiku alikuwa anapendwa sana na Sir Good wakati Henry alimpenda sana Nyleptha,.Unamkumbuka Mtoto Flosie pale mji wa mission?Vipi pale mtumbwi wao ulivyochukuliwa na mto wa chini ya ardhi?Unakumbuka kisa cha wale viboko?
Nakumbuka inkosikazi,namkumbuka makumazan
 
1.oparesheni vipusa
2.Nteko vano mapato
3.Titi la mkwe
4.Yai jeupe
5.Watanitambua
6.Amekufa anacheka
7 . pili pilipili
8 . Dunia hadaa,ulimwengu shujaa
9.Unyama wa mafia
10.Sikunyongwa
11.Johari ndogo
 
Salam kutoka kuzim. Tutarud na roho zetu. Joram. Allan qutman.
 
Ama zao ama zangu,ikibidi kufa nife,ujamaa wetu,azimio la arusha
 
Solais bibi wa usiku alikuwa anapendwa sana na Sir Good wakati Henry alimpenda sana Nyleptha,.Unamkumbuka Mtoto Flosie pale mji wa mission?Vipi pale mtumbwi wao ulivyochukuliwa na mto wa chini ya ardhi?Unakumbuka kisa cha wale viboko?
Hivi inkubu ndo alikua nani vile?
 
Vitabu vile vya willy gamba vilikuwa vitamu kwa wakati ule utawala wa makaburu ulipokuwa unatawala kimabavu. Sasa Leo teknolojia imefanya visiwe na maana tena
 
hiki ndio kitabu bora Tanzania Hakijapata Kutokea Mpaka Leo ``HOFU`` kimeandikwa na A.E.MUSIBA muhusika mkuu katika kitabu hiki anaitwa WILLY GAMBA,kilichapishwa 1988 ni kizuri sana kwa wale wanaokijua na kama hauna naweza kukupa ukitoe copy ukakisome maana hakipatikaniki

Nahisi utakuwa hujasoma riwaya nyingine za Musiba. Sidhani kama HOFU inashinda KIKOSI CHA KISASI!
 
"HOFU YA VIZITO" ni hatari sana ile stori. ilikuwa kwenye jarida la Bongo kama sikosei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom