butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,769
- 8,260
"Until further Notice"Umenikumbusha mbali sana Three suitors one husband.
"Until further Notice"Umenikumbusha mbali sana Three suitors one husband.
Mimi nilijibia mtihani No Longer at easy The river between .....kitabu kimoja kina story ya kimasai hv nimesahau jinaHivi ni vitabu nilivyojibia mtihani wa form four, Three suitors one husband, The River Between, Things Fall Apart
Siyo The River Between, kinahusu vijana kwenda jandoni.Mimi nilijibia mtihani No Longer at easy The river between .....kitabu kimoja kina story ya kimasai hv nimesahau jina
Tola anakula gizani,Kibanga ampiga mkoloni,Maarifa ya nyumbani,sizitaki mbiçhi hizi(Sungura).Alikuwa pia na simulizi za Mlima Kolelo na bi Gaga kichawi kilichokauka.
Hujanielewa nasema The River Between ......na kitabu kingine kina story ya kimasai nimesahau jina ...nikikumbuka nitakiwekaSiyo The River Between, kinahusu vijana kwenda jandoni.
Sio Rwanda Magere uyo?Siyo The River Between, kinahusu vijana kwenda jandoni.
Uh! umenikumbusha enzi za darasa la tano pale Muhimbili primary school,hizi comics zilikuwa
Hizi comics nilizipenda sana mpaka tukafikia kuunda vikundi vya kuazimana comics,Mtu unazifuata kule ziliko hata kama ni mbali kiasi gani. Vitabu vya Umsolopogaas na Umbopa sivioni kabisa siku hizi. Ama kweli tumetoka mbali.
Uh! umenikumbusha enzi za darasa la tano pale Muhimbili primary school,hizi comics zilikuwa
Hizi comics nilizipenda sana mpaka tukafikia kuunda vikundi vya kuazimana comics,Mtu unazifuata kule ziliko hata kama ni mbali kiasi gani. Vitabu vya Umsolopogaas na Umbopa sivioni kabisa siku hizi. Ama kweli tumetoka mbali.
Cha Harrison Mwakyembe simo! Duka lipo IPS Building karibu na Askari Monument, ukifika utaliona Ben and Company Ltd, wanavitabu vingi sana na wanauza jumla pia!Ahsante sana mkuu kwa taarifa. Naomba unihakikishie kama nitavipata vitabu vifuatavyo hapo kwa Ben maana navihitaji sana:
Njozi iliyopotea
Gamba la Nyoka
Pepo ya Mabwege
Mzimu wa Watu wa Kale
Rosa Misitika
Nahitaji sana kitabu cha PEPO YA MABWEGE ili nimsome kwa UPYA Dr. Harrison Mwakyembe kama mawazo yake kwenye riwaya hii kwa wakati ule ndiyo aliyonayo sasa. Niliisoma riwaya hiyo mwaka 1989...!!
Utanisaidia sana kunielekeza duka lilipo ili siku nikija Dar nitembelee duka hilo.
Tafakari...!!
safari za gulva (sijui kama nipo sahihi na jina) yule jamaa dr. wa kwenye meli alienda nchi yenye vijitu vifupi vya saiz ya nchi 6 tu, halafu badae akakutana na kisa kingine cha kwenda kwenye nchi yenye mijitu mirefu km minazi.
vingine ni kama TAFRIJA YA DAMU, SIMU YA KIFO, MPENZI JUZUU YA 1 na 2,
Ni Agoro Anduru.Temptation - Angolo Anduru (RIP)
Ni kweli Mkuu.Musiba alikuwa na kipawa ya aina yake.Navikumbuka vitabu vya Njama na Kikosi cha kisasi, mtunzi alikua akiitwa E.Musiba, hivi vitabu ukivisoma unakua unajihisi kama unashuhudia jambo halisia! Willy Gamba alikua hatari sana.
Mtunzi wake Rene Raymond alitumia majina mengi katika uandishi wake na moja ya majina hayo likiwa ni la James Hadley Chase. Alikuwa na kipaji cha pekee cha uandishi wa novel hadi kifo chake kwenye miaka ya 80. Baadhi ya vitabu vyake vilivyonisisimua mimi binafsi miaka hiyo ni pamoja na There's a Hippie on the Highway, Consider Yourself Dead, My Laugh Comes Last, Knock, Knock! Who's There, Just a Matter of Time, Have This One on Me, I Would Rather Stay Poor, Mission to Venice, You Find Him, I'll Fix Him na The Dead stay Dumb. Vitabu hivyo na vile vya Aristablus Elvis Musiba kama Kufa na Kupona, Kikomo, Kikosi cha Kisasi, Njama na Hofu vilinifanya nitamani sana kazi ya ukachero japo baada ya kukomaa kiakili nilifutilia mbali mawazo hayo.