Hiki nacho kilikuwa kitabu? Nimekitamani
Wagagagigikoko.Mimi nilisoma bulicheka na lizabeta,walivopotea baharini

Ama zao Ama zangu, Kikosi cha Kisasi na vile vitabu vya Hamie Rajabu unavikumbuka?
my dear bottle kilipigwa marufuku kama sikosei.My dear bottle
Unfit for human consumption
By David Maillu
Hivi ni vitabu nilivyojibia mtihani wa form four, Three suitors one husband, The River Between, Things Fall Apart
Duuh kitambo sana hivi haya bado yanachapishwa kweli?
Allan Quatermain alikuwa akijulikana pia kwa jina la MakumazaniKufa na Kupona, Kikosi cha kisasi, Njama, Abunuwasi, Mashimo ya mfalme Suleimani, Allan Quatermain, Sindbad Baharia. Rosa Mistika nilikisoma pia. Vingi nimevisahau
Asante sana mkuu umefafanua vizuri nilichanganya kidogo.Rosa Mistika ni cha E. Kezilahabi. Ambaye pia alitunga kitabu maarufu sana cha "Dunia Uwanja wa Fujo"
My Life with a Criminal kiliandikwa na mwanadada 'Millie' kikiwa ni muendelezo wa hadithi iliyokuwa kwenye kitabu cha 'My life in Crime' cha John Kiriamiti, kisa cha kweli kuhusu huyo mwizi wa benki Nairobi
Kitabu cha Kuli nilikisoma na ndiyo nilifahamu maisha waliyopitia makuli, wengi walipata matatizo ya mgongo kwa kubeba vitu vizito, jioni wake zao waliwakanda kwa mafuta ya karafuu.Nimebahatika kusoma Rosa mistika mpaka sasa ninacho,kuli-shafii,makuwadi wa soko huria Chachage s Chachage,pete,nataka iwe siri,adili na nduguze,joka la mdimu,hadithi za Esopo, Robinson Cruso,Dar es Salaam usiku,Zawadi ya ushindi nk.
Ninadhani wameacha kuchapisha, walilalamika kuwa kuingia kwa video games kumefanya wengi kuacha kuyanunua hivyo walipata hasara.Duuh kitambo sana hivi haya bado yanachapishwa kweli?
Akina OkonkwoHivi ni vitabu nilivyojibia mtihani wa form four, Three suitors one husband, The River Between, Things Fall Apart
Mkuu hivi kwa kizazi chetu vijana unaona kuna dalili za kuendeleza uandishi kweli au ndio hivo tena tutaendelea kusoma kazi za wazee wetu.Kitabu cha Kuli nilikisoma na ndiyo nilifahamu maisha waliyopitia makuli, wengi walipata matatizo ya mgongo kwa kubeba vitu vizito, jioni wake zao waliwakanda kwa mafuta ya karafuu.