Mr.Teacher
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 450
- 176
Mine boy, Kusadikika, Ngoswe penzi kitovu cha uzembe, New life in kyerefaso, No longer at is, ntc
Hapo red pasomeke EASE.Mine boy, Kusadikika, Ngoswe penzi kitovu cha uzembe, New life in kyerefaso, No longer at is, ntc
Hahahaha ...,Bulicheka na mkewe Eliza Eliza walikwenda Mombasa kuiona nchi, katikati ya bahari chombo chao kilizama wakaogelea wote waka okoka! ...wimbo!Mimi nilisoma bulicheka na lizabeta,walivopotea baharini
Babu umeshaamka, bibi amekupikia chai kweli?Asante na heri ya mwaka mpya...
Ukiendelea kunisusa hivi sitacheza tena na wewe...
Salam kwa hommie wangu tafazali..
Ulishawahi kuona mlinzi akiamka asubuhi?? Hivi sasa ndo najikongoja nikapate kiporo...Babu umeshaamka, bibi amekupikia chai kweli?
Hahaha asante babu heri na kwako pia. Naahidi mwaka huu najirekebisha sitakususa tena, hommie anakusalimu pia anakuuliza uliwahi kusoma kitabu cha usiku wa giza? Kisasi? Mfalme Ju.ha? Shida?Asante na heri ya mwaka mpya...
Ukiendelea kunisusa hivi sitacheza tena na wewe...
Salam kwa hommie wangu tafazali..
Usiku wa giza sawa... hicho cha manyotanyota mbona kinanitisha?? Hii ni kwaresma bhana.Hahaha asante babu heri na kwako pia. Naahidi mwaka huu najirekebisha sitakususa tena, hommie anakusalimu pia anakuuliza uliwahi kusoma kitabu cha usiku wa giza? Kisasi? Mfalme ****? Shida?
Amesema kama hukuvisoma afanye makeke uvisome.😀