mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,260
wekeni pdf jamani
Natumaini mu-wazima
Ni wangapi wanakumbuka au walisoma kitabu cha Rosa Mistika, mdada wa ki-Sukuma alichaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu. Kitabu hiki kilikuwa cha kusisimu sana. Kitabu kingine ninakumbuka kukisoma kiliandikwa na m-Kenya ambae sikumbuki jina lake kiliitwa "My life with as a Criminal" hiki kilikuwa juu ya jambazi maarufu Nairobi akieleza maisha yake kama jambazi. Alitunga cha pili kiliitwa "My life with a Criminal" ambacho ilikuwa mke wa jamaa anaelezea maisha ya kuishi na mume jambazi.
Umenikumbusha mbali sana Three suitors one husband.My dear bottle
Unfit for human consumption
By David Maillu
Njama-Aristablus Elvis Musiba.Natumaini mu-wazima
Ni wangapi wanakumbuka au walisoma kitabu cha Rosa Mistika, mdada wa ki-Sukuma alichaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu. Kitabu hiki kilikuwa cha kusisimu sana. Kitabu kingine ninakumbuka kukisoma kiliandikwa na m-Kenya ambae sikumbuki jina lake kiliitwa "My life with as a Criminal" hiki kilikuwa juu ya jambazi maarufu Nairobi akieleza maisha yake kama jambazi. Alitunga cha pili kiliitwa "My life with a Criminal" ambacho ilikuwa mke wa jamaa anaelezea maisha ya kuishi na mume jambazi.
Nilikisoma hiki kitabu, ninakumbuka ndiyo nilikuwa ninajifunza kusoma, wakubwa walikuwa nacho nyumbani basi mpaka leo ninakumbuka Wagagagigigogo walivyopika chakula kumkaribisha Bulicheka na mkewe Eliza na kumwomba awe mfalme wao.Mimi nilisoma bulicheka na lizabeta,walivopotea baharini
Mwaka gani?Natumaini mu-wazima
Ni wangapi wanakumbuka au walisoma kitabu cha Rosa Mistika, mdada wa ki-Sukuma alichaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu. Kitabu hiki kilikuwa cha kusisimu sana. Kitabu kingine ninakumbuka kukisoma kiliandikwa na m-Kenya ambae sikumbuki jina lake kiliitwa "My life with as a Criminal" hiki kilikuwa juu ya jambazi maarufu Nairobi akieleza maisha yake kama jambazi. Alitunga cha pili kiliitwa "My life with a Criminal" ambacho ilikuwa mke wa jamaa anaelezea maisha ya kuishi na mume jambazi.
Ama zao Ama zangu, Kikosi cha Kisasi na vile vitabu vya Hamie Rajabu unavikumbuka?Njama-Aristablus Elvis Musiba.
Tutarudi na roho zetu?.-Ben R Mtobwa.
Kaptula la Marx-Euphrase Kezilahabi.
Wowote mkuu unaokumbuka.Mwaka gani?
Uhm, i think i am young here. Sababu ths is My frst time kusikia haya ...Wowote mkuu unaokumbuka.
Yes My Mama!!Ama zao Ama zangu, Kikosi cha Kisasi na vile vitabu vya Hamie Rajabu unavikumbuka?