Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Naomba tuingie kwenye piloting kidg.

Ndege inapoanza safari poit A nn hufanyika ili itambuliwe hewani?

Inapopita kuna ulazima wa kuwasiliana na wenye anga?

Sheria zikoje?

Inapofika point B nan anapaswa kuiongoza hadibkutua?
Vp ikifika ikikuta uwanja umejaa?.

Kila ndege ina ukubwa wake vp kama ikimaliza njia yake bila kunyanyuka au kusimama nn hufanyika.(let say) boing 737 imepeta dharura ikaomba kutua uwanja wa kigoma lakn njia ndogo na imesha shuka....nn hufanyika

Ndege kabla ya kuanza safari flight planer inakuwa tayar imeandaliwa na ina every detail, kwa kawaida kuna aina mbili za uendeshaj wa ndege inawezekana ikawa ni VFR yaan visual flight rules ambapo ruban hutumia tu GPS au VOR kuweza kutoka point moja had nyingine mpaka anapoanza approach kutua kulingana na flight planner yake, hiz point kitaalam huitwa way point na zinaweza kuwa nyingi au chache kulingana na pilot alivyo plan flight yake siku hiyo, kwenye VFR mawasiliano kati ya control tower na pilot huwa mafupi, pilot huwa anaomba flight following ana acknowledge rada contact position na squawk code na kifuatacho ni kuomba air space transition akiwa anapita kwenye controlled air space, kwa upande IFR yaan instrumental flight rules hapa ruban hupokea maelekezo yote ya mwelekeo wa ndege kutoka kwa control tower from take off to the lending. Kuhusu runway kuwa fupi ni tukio ambalo ni nadra kutokea kwa sababu kila uwanja unakuwa na full detail ikiwemo runway length so kabla ya take off pilot lazima afanye calculation ya weight aliyobeba including fuel pamoja na speed na wind direction. Kuhusu emergence landing pilot wamekuwa trained jins ya kutua kwenye short runway, na akicalculate akaona kabisa runway ni fupi sana ku make landing anapaswa kuangalia eneo lingine lenye usalama kushusha ndege. Nafikiri nimejaribu kukujibu.
 
mkuu nikiangalia kila aina ya concord nakuta mabawa yake mapana(makubwa) sana je hicho kinachangia kwenye speed yake
Kwa ndege zinazokimbia kwa mwendo mkali sana shepu ya mabawa yake ni vizuri ikiwa kama io ya Concord. Hii design ya mabawa inaitwa Delta wing, hii design ni nzuri coz inaiwezesha ndege kua stable kwenye mwendo mkali. Lakini pia disadvantage ya hii design ni kwamba at low speed ndege inakua unstable( yani inakua inayumbayumba kama inataka ku roll). Kutokana na kua unstable at low speed Concord ilikua ikija kitua inatua na very high angle of attack (yani pua ya ndege inakua juu saa wakati matairi yanakua yameanza kushika runway), hii ni kwa ajili ya kuongeza force kwenye mabawa ili ndege kua stable. Kwa sababu concord ilikua na pua ndefu ilibidi wai design iwe na uwezo kulala kidogo ili rubani aweze kuona mbelee (Retractable nose)
images+%282%29.jpeg
 
Kwa ndege zinazokimbia kwa mwendo mkali sana shepu ya mabawa yake ni vizuri ikiwa kama io ya Concord. Hii design ya mabawa inaitwa Delta wing, hii design ni nzuri coz inaiwezesha ndege kua stable kwenye mwendo mkali. Lakini pia disadvantage ya hii design ni kwamba at low speed ndege inakua unstable( yani inakua inayumbayumba kama inataka ku roll). Kutokana na kua unstable at low speed Concord ilikua ikija kitua inatua na very high angle of attack (yani pua ya ndege inakua juu saa wakati matairi yanakua yameanza kushika runway), hii ni kwa ajili ya kuongeza force kwenye mabawa ili ndege kua stable. Kwa sababu concord ilikua na pua ndefu ilibidi wai design iwe na uwezo kulala kidogo ili rubani aweze kuona mbelee (Retractable nose)View attachment 683876
asante sana mkuu Optimus
 
Wadau kesho nitaelezea historia ya ndege. Mnashauri niiweke humu au nifungue thread nyingine. Mimi napendelea niweke humu ili huu uzi uwe na kila kitu. Bado kuna vitu vingi sana vinakuja kuhusu ndege. Kama mtu ataamua kufuatilia basi ataifahamu ndege kwa 70%.
safi mkuu endelea humuhumu
 
Ndege kabla ya kuanza safari flight planer inakuwa tayar imeandaliwa na ina every detail, kwa kawaida kuna aina mbili za uendeshaj wa ndege inawezekana ikawa ni VFR yaan visual flight rules ambapo ruban hutumia tu GPS au VOR kuweza kutoka point moja had nyingine mpaka anapoanza approach kutua kulingana na flight planner yake, hiz point kitaalam huitwa way point na zinaweza kuwa nyingi au chache kulingana na pilot alivyo plan flight yake siku hiyo, kwenye VFR mawasiliano kati ya control tower na pilot huwa mafupi, pilot huwa anaomba flight following ana acknowledge rada contact position na squawk code na kifuatacho ni kuomba air space transition akiwa anapita kwenye controlled air space, kwa upande IFR yaan instrumental flight rules hapa ruban hupokea maelekezo yote ya mwelekeo wa ndege kutoka kwa control tower from take off to the lending. Kuhusu runway kuwa fupi ni tukio ambalo ni nadra kutokea kwa sababu kila uwanja unakuwa na full detail ikiwemo runway length so kabla ya take off pilot lazima afanye calculation ya weight aliyobeba including fuel pamoja na speed na wind direction. Kuhusu emergence landing pilot wamekuwa trained jins ya kutua kwenye short runway, na akicalculate akaona kabisa runway ni fupi sana ku make landing anapaswa kuangalia eneo lingine lenye usalama kushusha ndege. Nafikiri nimejaribu kukujibu.
Vyema mkuu kusaidiana
 
kumbe ata ndege ina reverse . swali langu je ndege inaweza kutembea kwenye ardhi ya kawaida?
 
Wangekuwa wanaweza ile malaysia airline flight 370 wangeirudisha ilivyoanza tu kwenda off course!!
huo uzi upo humu jf ambao jamaa ameelezea utata wa hiyo hiyo air malaysia kwamba kuna utata ilipotezwa kwa makusudi na watu flan flan kwa sababu za binafsi kwa kutumia mfumo huo
 
Kwa mfano cruising speed ya Boeing 787 dreamliner ni 561mph, sawa na 903km/h
Kumbe Concord ilikuwa inakimbia speed ambayo ni almost 2.5 times ya dreamliner! Concord ilikuwa balaa. Nasikia ilikuwa ina-cross Bahari ya Atlantic kwa masaa 4 tu wakati Boeing ni kutwa nzima.
 
Mkuu hebu hata wewe fikiria tungekuwa hatuioni horizon, si tungehisi tunaenda kuporomoka? Ni kumuonesha tu yupo kiasi gani juu kutoka ardhini. Kuhusu injini moja kusaidia endapo nyingine itapata hitilafu, jibu ni ndiyo. Kuna watu wengine wana BIMA ambazo haziwaruhusu kupanda ndege yenye injini moja. Akipata ajali kwenye ndege yenye injini moja BIMA hawamlipi.
Vipi kuhusu zile ndege ndogo zenye pangaboi pale kwenye pua ya ndege mbele (injini moja) kuna back up yoyote in case hiyo injini itagoma kufanya kazi au hazina?
 
Mkuu dunia huzunguka pamoja na anga(atmosphere) lake kwa hiyo helcopter inakuwa siyo stationary bali inazunguka pamoja na atmosphere at the same speed!
Ili nisizunguke pamoja na anga inabidi niwe umbali wa futi ngapi juu ya usawa wa bahari?
 
Kuna kitu kinaitwa theory of relativity unakijua? Jibu lake siyo rahisi kiasi hicho rafiki yangu. Nikianza kuongelea hapa mambo ya space-time curvature hatutaelewana labda uwe unaijua vizuri phyiscs. Na mbaya zaidi ipo katika mathematical expressions.
Hata katika post yako sio vyote nimeelewa lakini katikati ya mistari kuna mambo nimeng'amua hata kwakifupi tu usiwe kama mwalimu wangu wa physics sekondari kunambia vingine utajua huko mbeleni
 
Je kama hao ndo wameipoteza kwa sababu faln flan..

Hizo ni hisia tu hamna reality, tutaamin inafanya kazi siku ikiwa in practice tukaona ndege ikiwa controlled from ground kama drones
 
Mkuu Shebbydo hongera sana kwa uzi wako huu. Wakati naanza kuusoma nilikuwa na maswali mengi lakini hadi nafika hapa nimebakiza mawili tu na naomba unisaidie kuyajibu, au Optimus_Prime kama atayaona mapema.

1. Nimesoma vizuri maelezo uliyotoa kuhusu ndege kupiga kona, kuinuka au kuinama. Swali langu ni hili, je mfumo unaotumika ndege kupiga kona ikiwa angani ni sawa na ule inaotumia kupiga kona ikiwa ardhini wakati inaondoka au inatua? (Maana mda mwingine ndege inakuwa ardhini ikiwa na speed ndogo kabisa sawa na mtembea kwa miguu lakini unaona inaenda kushoto au kulia)

2. Mbali na kuangalia kwenye movie, niliwahi kuona ndege ndogo ya mzungu mmoja ikitua ziwani na kuwa kama speed boat na kwenda hadikwenye ufukwe wa ziwa ikapaki hapo. Wakati wa kuondoka pia ilianza kukimbia kwenye maji kwa dakika kadhaa na kisha kupaa! Je hiki kitu kinawezekana au nilikuwa naona maruweruwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama kipo tafadhali naomba maelezo kidogo kuhusu hii scenario.
 
Back
Top Bottom