Nilisikia China wametengeneza za solar eti ni kweli???Kwangu mimi binafsi natamani sana siku moja ndege isiendeshwe na mafuta bali Solar power kama ilivyo kituo cha sayansi cha anga.
Endelea humu humu...Wadau kesho nitaelezea historia ya ndege. Mnashauri niiweke humu au nifungue thread nyingine. Mimi napendelea niweke humu ili huu uzi uwe na kila kitu. Bado kuna vitu vingi sana vinakuja kuhusu ndege. Kama mtu ataamua kufuatilia basi ataifahamu ndege kwa 70%.
Endelea hapa tuuuWadau kesho nitaelezea historia ya ndege. Mnashauri niiweke humu au nifungue thread nyingine. Mimi napendelea niweke humu ili huu uzi uwe na kila kitu. Bado kuna vitu vingi sana vinakuja kuhusu ndege. Kama mtu ataamua kufuatilia basi ataifahamu ndege kwa 70%.
Hapana! Hii system kuna jamaa aliisema hapa, nimefuatilia, ukweli ni kwamba haijawa practically implemented.Mkuu eti kweli boing wanamfumo wa kuzicontrol ndege zao hasa wakiona kwenye mitambo yao labda pilot imemshinda au kwa sababu yeyote?
Wadau kesho nitaelezea historia ya ndege. Mnashauri niiweke humu au nifungue thread nyingine. Mimi napendelea niweke humu ili huu uzi uwe na kila kitu. Bado kuna vitu vingi sana vinakuja kuhusu ndege. Kama mtu kufuatilia basi ataifahamu ndege kwa 70%.
Asante mkuuMkuu weka humu humu ndo vizuri zaidi, ili mtu akitaka kitu anakipata hapa hapa kwenye thread moja! Tunashukuru sana mkuu kwa juhudi zako binafsi za kujitolea na kutupa elimu bure ingawa wewe uliipata kwa gharama za madolali. Huu uzi wako nakwambia utakuwa funga kazi. Hii 2018
Nilipitiwa mkuu. Ndege za jeshi zina roll kwa sababu zina mfumo ambao unaruhusu mabawa kufanya barrel roll.kuna mdau aliulizia kitu gani kinasababisha ndege za jeshi kuroll naona hujakigusia
Naona kuna wengine wanang'ang'ania kuleta mazingaombwe yao ili tuanze kubishanaKivipi mkuu?
Nimejifunza kabisa.Ok! Bahati mbaya sina uzoefu na ndege za kijeshi ila milango yote ya ndege inaendeshwa na actuators. Nadhani itakua ni mfumo tu ambao pilot akicommand basi actuator inafungua ama kufunga mlango.