Mkuu kuhusu content za upilot ninafahamu zile za muhimu kwa mhandisi kufahamu. Lakini mambo mengine kama hiyo mawasiliano ATC hayo nawaachia mapilot.Naomba tuingie kwenye piloting kidg.
Ndege inapoanza safari poit A nn hufanyika ili itambuliwe hewani?
Inapopita kuna ulazima wa kuwasiliana na wenye anga?
Sheria zikoje?
Inapofika point B nan anapaswa kuiongoza hadibkutua?
Vp ikifika ikikuta uwanja umejaa?.
Kila ndege ina ukubwa wake vp kama ikimaliza njia yake bila kunyanyuka au kusimama nn hufanyika.(let say) boing 737 imepeta dharura ikaomba kutua uwanja wa kigoma lakn njia ndogo na imesha shuka....nn hufanyika
Poa MkuuMkuu kuhusu content za upilot ninafahamu zile za muhimu kwa mhandisi kufahamu. Lakini mambo mengine kama hiyo mawasiliano ATC hayo nawaachia mapilot.
Hilo mkuu siwezi kujua kwa sababu ni uamuzi wa kampuni. Na sidhani kampuni kama bado ipo hai kwa sababu ilikuwa ni muungano wa Wafaransa na Waingereza kupitia Anglo-FrancebTreaty.Kwann kampun ya concord isitengeneze ndege za kivita pekee kama ishafel kwa abiria?
Kwangu mimi binafsi natamani sana siku moja ndege isiendeshwe na mafuta bali Solar power kama ilivyo kituo cha sayansi cha anga.Ukiwa kama mhandisi ni tech gan kwa sasa mnayoisubir kwa ham kama tunavyo subir magari ya gas.....na ya kujiendesha?
Kwa power itakayo hitajika na umbo la ndege la kuweza kufunga pannel.....hii inawezekana?Kwangu mimi binafsi natamani sana siku moja ndege isiendeshwe na mafuta bali Solar power kama ilivyo kituo cha sayansi cha anga.
Helikopta kuganda ni mfumo wake ambao unaweza kuzifanya force zote nne zinazo-act kwenye ndege kuwa katika equilibrium.Kitu gani kinachosababisha helikopta kuganda hewani na kushusha au kupakia tons za mizigo!?
Pia kitu gani hufanya ndege za kivita ku-roll!?
Mkuu Shebbydo naomba nijue chuo ulichosomea.
Pia naomba ushauri vyuo na masomo au ngazi ulizopitia hadi hapo ulipo.
Unafahamu umri wangu?Mada murua sn mdogo wangu....endelea kutupa elimu hii adimu.
Usichoke vituko au maswali ya kichokozi maana kuna binadamu wameumbiwa hivo....Kuna raia mmoja kauliza kwa nn mafuta ya ndege hatauzwi kwemye sheli za kawaida....Hawa wote wako kaka🙂😉
Autopilot ni kawaida lakini huyu yeye alikuwa anasema ndege inajiweka kwenye autopilot na kuongozwa na watu wa chini mpaka inatua.Mi niliwahi msikia yule mdada mtz rubani akisema ivo kuwa, hizi ndege za kisasa ni rahisi, unaweka auto to una relax.
Nasikia ilikuwa na speed kuliko sautinimeingia kuangalia hiyo concord aisee kwa muonekano huu ni haki yake kufungiwa inaonekana kabisa inakimbia sana![]()
Mkuu Kwann speed kwenye runway kwenye ndege aina hizo ni muhimu wakati helicopter haihitaji speed!? Kwann wasitumie mfumo wa helicopter kwenye Boeing ili kuokoa nafasi!? Au je inawezekana!?Kwa mfano cruising speed ya Boeing 787 dreamliner ni 561mph, sawa na 903km/h
Hiyo speed siyo ya ground ni kwenye level flight angani. Unaposema iwe kama helikopta, basi haitakuwa tena airplane (haitakuwa na mabawa) itakuwa ni helikopta (rotorcraft)Mkuu Kwann speed kwenye runway kwenye ndege aina hizo ni muhimu wakati helicopter haihitaji speed!? Kwann wasitumie mfumo wa helicopter kwenye Boeing ili kuokoa nafasi!? Au je inawezekana!?
KabisaaUnafahamu umri wangu?