Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Mkuu, ulihaidi utakuja na mwendelezo wa historia ya usafiri wa anga. Mimi nitapenda zaidi kama itaanzia pale kwa wale mabwana 2 wa Kimarekani Wright Brothers na kilichonishangaza sana kwao ni namna ndege yao walivyoipaisha bila kuwa na magurudumu na pia nguvu na mzunguko wa engine yao ilikuwa ndogo sawa na baadhi ya pikipiki tulizonazo leo sasa hili suala la hiyo engine hunifanya nifikirie kama mtu akipata engine ya pikipiki mfano yenye cc 250 hawezi fanya utundu kama wale ndugu?
Mkui ile historia ya usafiri wa anga nimeamua kuifuta kwenye uzi huu kwa sababu nimeona kama itapunguza mvuto. Ni ndefu sana. Sasa nafikiria sijui nitaifungulia thread yake!

Ila kuhusu ndege kupaa kwa injini yenye uwezo mdogo ni sawa. Jambo ambalo unapaswa kufahamu ni kwamba injini ya ndege hausiki kuifanya ndege ipae juu bali ni kuisogeza mbale. Kinachohusika na kuipaisha ndege juu ni uhusiana wa upepo na ndege yenyewe. Kupaa ni issue ya upepo.
 
kipi hufanya baadhi ya ndege kurudi reverse?
Kuna kitu kinaitwa ,Thrust reversal, angalia ndege inapotua mara nyingi ukiangalia engine utaona sehemu ya engine inafunguka, point ni ku reserse thrust so as it poses drag against the air flow, sehemu ya hewa inayoingia kwenye engine inazuiwa kwa namna ya ku act against the head on of airplane.

turbo fan engines zinatumia thrust reversal katika braking, lakini kuna wakati thrust reversal inatumika kwa ajili ya reverse,
Thrust reversal haitumiki sana sababu ina athari zake.
Instead kuna Pulling carts, vigari vinafungwa kwenye nose gear ya ndege kisha ndege inasukumwa mpaka kwenye run away tayari kwa ajili ya kujiendesha.
 
Huu uzi sasa utaanza kuwaboa watu watu kwa ajili ya watu kurudia maswali yale yale na majibu yakiwa ni yale yale.
 
Shebbydo, hii ndege kubwa aina ya Jumbo Airbus, hivi kwetu hapa haiwezi kutua au kwasababu runway yetu ni ndogo?

natamani hii dege litue hapa kwetu angalau tuandike historia!
 
Shebbydo, hii ndege kubwa aina ya Jumbo Airbus, hivi kwetu hapa haiwezi kutua au kwasababu runway yetu ni ndogo?

natamani hii dege litue hapa kwetu angalau tuandike historia!
Unamaanisha Airbus 380 ile double-deck? Kama kutua inaweza kutua tu lakini facilities zake ndiyo inaweza kuwa shida. Mojawapo ikiwa ni kazi kwa akili ya abiria kushuka. Uluvyosema Jumbo nikafikiria unaanisha Boeing 747 ndiyo jina jingine huitwa Jumbo Jet au Queen of the sky. Nayo ina ghorofa ila hii A380 ni kubwa zaidi.
 
Okay, sorry kwa kukuchanganya ni hiyo hiyo Airbus 380 ile double deck!!
 
mkuu shebby kama hutojali tuwekee ile historia ya ndege,,, ulisema uliiweka kwenye hii thread kisha ukaifuta ... ifungulie uzi wake kabisa....

tuendelee kula madini huku na kule....
salute eng..
 
Mkuu najua wewe ni mtaalamu kwenye haya mambo but reason yako for discontinuation of concord na TU-400 is the least kabisa why zilistopiwa! Mpaka leo bado watu wanajaribu kurudi to supersonic commercial flight but issue bado iko kwenye fuel consumption and sonic boom (noise)!

Concorde problems which resulted in its discontinuity ;

· It could not do super long haul. It had the range to do transatlantic but not transpacific flights. That was already a large number of possible - and indeed lucrative - routes closed off to it. Concorde therefore only flew from LHR and CDG to JFK, IAD and BGI. The only non Atlantic route was a Bahrain-Singapore route flown very briefly in the 70s by Singapore Airlines.

· Oh, and the ticket price was very high. First class ticket pricing. A return ticket from London to New York would set you back $8000. That was on a good day. you could face up to $11000

· Concorde used roughly 25,629 litres per hour. The average length of a flight was 3 1/2 hours. So in total a Concorde flight with maximum 100 people used 89,708 litres of jet fuel. Let’s compare Concorde to its long time Transatlantic rival - the iconic Boeing 747. A non-Concorde flight with a minimum of 400 passengers consumed 59,500 litres of fuel. So Concorde flew far fewer people and consumed far more fuel.

· It was not allowed to fly transcontinental in the USA. The official reason was the sonic boom could disrupt people down below. Although this is certainly true, it is also not unlikely that the Americans didn’t feel particularly hospitable to a foreign supersonic jet flying over their skies when Boeing and Lockheed between them had failed miserably to come up with a viable alternative despite generous funding from the federal government. It took multiple supreme court battles before Concorde could even fly to JFK or IAD - before that it could not even fly to the USA, only to Rio and Bahrain.

· Although it is true that other european countries (W Germany, Sweden, Norway, Netherlands, Switzerland) and Canada did also ban supersonic flights over their territory, this was very unlikely to have much of an effect. This was in the days before much middle eastern airline traffic, it wasn’t worth flying Concorde on a route shorter than 3 hours, and Concorde did not, as already stated, have ultra long distance range, so no airline would have bothered operating Concorde on such flights. These bans were symbolic, the USA ban was a serious blow.

· As already stated, this was before the golden age of middle eastern airlines. Although nowadays Etihad, Qatar and Emirates happily throw money at a fancy plane that has multiple problems because it’s cool, up to the 2000s this was simply not the case.

Footnotes
[1] Concorde: 40 fascinating facts-Telegraph
[2] Flightdeckfriend.com | Becoming an Airline Pilot | Latest Pilot Jobs |
[3] Heritage Concorde
[4] 2 AIRLINES CANCEL CONCORDE ORDERS
Nikubaliane na wewe. Hii reason niliambiwa na my fellow alikuwa anasoma France ndege za ATR. Ya Concord ndugu yangu tuwaachie wao hebu sisi tujikite kwenye ndege kwa ujumla.
 
mkuu shebby kama hutojali tuwekee ile historia ya ndege,,, ulisema uliiweka kwenye hii thread kisha ukaifuta ... ifungulie uzi wake kabisa....

tuendelee kula madini huku na kule....
salute eng..
Kesho nitakuwa na muda wa kutosha nitaifungulia uzi wake mkuu.
 
S
Kesho nitakuwa na muda wa kutosha nitaifungulia uzi wake mkuu.
shukrani mkuu....

swali

a. airbus na boeing ni kampuni mbili kubwa za ndege zilizojizolea umaarufu mkubwa sana. ni kampuni ipi ambayo ni nzuri kwa ubora wa product zake ? kwa nini ?

b. kuna video nilishaiona sehem, ndege imetua, abiria wanashuka ikatokea mtu alikatiza karibu na injini akavutwa kwa kasi na kuingia humo, kilichofuata ni damu zilitapakaa kwa mfumo wa kurushwa kama maji kwenye bomba.
je nilichokiona ni uhalisia au editing ? je kama ni uhalisia ni mechanism gan ilitokea huyo mtu aakavutwa kwa kasi hivo ?
maelezo tafadhali.
thanks
 
Swali lako la kwanza ni gumu kukupa jibu moja kwa moja kwa sababu ni la kimtazamo. Katika hizi ndege hii utakuta ni hiki na nyingine haina lakini pia ina kitu kingine ambacho kule hakipo.

Kipengele b, labda nikuulize mambo mawili; moja-hiyo ndege ilikuwa na propeller? 2; Hii ulikuwa ni movie au taarifa?
 
Mkuu Shebbydo, kwanini mafuta ya ndege inajazwa kipindi ndege inakaribia kuondoka?
 
Wadau mbona maswali yanapungua? Kwenye ndege kuna maswali kama milioni hivi.
Naaminii usafiri wa ndege ni safe sana. Kwa nini gharama(nauli) za kutumia usafiri huu ni kubwa sana hasa kwa nchii zinazoendelea??

Nini kifanyike hasa Tanzania ili gharama hizi zipungue ili kuwezesha wananchi waweze kutumia usafiri huu kwa wingi??
 
Mkuu Shebbydo, kwanini mafuta ya ndege inajazwa kipindi ndege inakaribia kuondoka?
Kiasi cha mafuta ya ndege kutumika hutegemea uzito wa ndege. Yaani ndege yenyewe, abiria na mizigo. Hivyo kujaza mafuta husubiriwa data hizo ndizo huamua ni mafuta kiasi gani yawekwe.
 
Mzigo wangu uliwekwa kwenye tumbo la ndege.Nilipofika mwisho wa safari nilikuta mzigo umepasuliwa na baadhi ya vitu vimeibiwa,hawa wenye kuiiba wanakaa huko ndani ya tumbo la ndege au ni vipi
 
Naaminii usafiri wa ndege ni safe sana. Kwa nini gharama(nauli) za kutumia usafiri huu ni kubwa sana hasa kwa nchii zinazoendelea??

Nini kifanyike hasa Tanzania ili gharama hizi zipungue ili kuwezesha wananchi waweze kutumia usafiri huu kwa wingi??
Kinachosababisha gharama za usafiri huu kuwa ghali ni gharama za uendeshaji ni kubwa. Kwenye ndege hata screw unanunua kwa dola.
Ili bei ishuke na nyinyi Wananchi pandeni ndege kwa wingi. Unakuta route nyingine ndege inaabiria watano au kumi na inabidi iende. Hapo lazima iwe kubwa. Biashara ya ndege inachangamoto sana.
 
Mzigo wangu uliwekwa kwenye tumbo la ndege.Nilipofika mwisho wa safari nilikuta mzigo umepasuliwa na baadhi ya vitu vimeibiwa,hawa wenye kuiiba wanakaa huko ndani ya tumbo la ndege au ni vipi
Sehemu ya mizigo hawakai watu. Uliwauliza wahusika walisema je?
 
Mechanisim gani inafanyika kwa ndege ya kivita kuwa stealth?
 
Back
Top Bottom