Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Kila kimoja kina nafasi yake

Na idadi ya watu unaobeba mfano huwezi kuta hifadhini wanaenda abiria 200 kwa pamoja ndege moja hivo upeleke sijui Airbus ngap ngapi ila Sana Sana abiria 5 to 20 ambao utawaweka kwanzia kwenye caravan Hadi bombardier Kama hizi zetu

Huwezi peleka coaster dar mwanza hata Kama inafika itabd utumie bus kubwa kwa ajili ya comfort pia,, ukikaa kwenye hiace comfort Ni ndogo kuliko coaster,, coaster pia safari ya 1000km Ni mchosho ila bus kubwa engine kubwa safari ya 1000km Ni kawaida na hauta choka Sana
Niseme kila kimoja kina nafasi yake

Eg Bajaj unaeza iwasha hata kwa route ya buku, elf mbilipia na utaona faida , ila hiace haiwezi enda route au huwezi Kodi kwa 5k ikupeleke kilometa kumi ila Bajaj unaweza

Chombo kikiwa kikubwa pia nauli Ni Kama mnasaidia inakuwa rahisi

Mfano Moshi Arusha Ni elf nne Sasa nauli.. hiace inaweza kwenda na coaster kwa nauli hio ila Bajaj haiwezi kwenda kwa 4000tzs × 4= 16k route hio


asante sana ,bado swali langu moja kiongozi

wewe kama engineer una recommend aina gani ya ndege(kati ya boeing,bombadier,airbus na nyenginezo) itakua efficient kwa biashara/abiria
 
Niliwai kusikia kwa wanasiasa huko bungeni mbunge mmoja akishutumu Ndege za ATCL kuwa alipanda Ndege alafu mvua ilikuwa inanyesha na Ndege ikawa inavuja kwa maana ya kulowa na mvua
Bahati nzuri waziri alimjibu vizuri akasema hicho kitu hakiwezi kutokea Ndege ni sayansi ya hali ya juu sana..akaendelea kusema kuwa ndo tatizo la sifa ya mbunge kujua kusoma na kuandika tu ...hajui lolote lile kuhusu Force wa pressure ..[emoji1] [emoji1]
It's possible
 
Hivi ni kweli kuwa urefu wa concord ulikjwa unaongezeka pale inapokata mawimbi kati ya london na new york?
 
Niambie mkuu....huu uzi hatari hapa unaweza pata akili ya kuwa aeronautical engineer.....
Huu niliupitiaga kipindi hicho... Unaweza badili mawazo yako yale..🥱🥱🤣🤣🤣🤣 naona wamekukamata kwelii🤣

Vipi lakini uzima upo..,,,?
 
Huu niliupitiaga kipindi hicho... Unaweza badili mawazo yako yale..🥱🥱🤣🤣🤣🤣 naona wamekukamata kwelii🤣

Vipi lakini uzima upo..,,,?
Uzima upo...napata nondo hapa za mambo ya ndege. Dah hatari nyizi kama hizi ndio tunapaswa kusoma mwanawane.
Aise bongo flight school bei gani na mie nikasomee kurusha ndege
 
Uzima upo...napata nondo hapa za mambo ya ndege. Dah hatari nyizi kama hizi ndio tunapaswa kusoma mwanawane.
Aise bongo flight school bei gani na mie nikasomee kurusha ndege
Bongo chuo hamna labda ukasome Ethiopia ada ni 45M...🥱🥱🤣🤣
 
Concord ilikuwa inasafiri kwa spidi kubwa sana ambayo ilikuwa ni ngumu kwa rubani kuicontrol. Baada ya ajali zake kuonesha makosa ya marubani kushindwa kuicontrol ilibidi izuiliwe.
Nop-

Huwezi i control vp na unaweza punguza speed ?

Kuna video nyingi YouTube Kuna moja Ina dk 10 tu imeelezea kila kitu kwanzia imeanza numbers of crash Hadi kuacha tumika ..Ni 10 minutes za nguvu
 
Hivi ni kweli kuwa urefu wa concord ulikjwa unaongezeka pale inapokata mawimbi kati ya london na new york?
Nimewahi pia kusikia kuwa ilikuwa inaongezeka urefu sentimita kadhaa kwa sababu ya kupata joto.
 
Back
Top Bottom