KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
na vipi joti akiendesha vx atakuwa kabakwa?
unatisha kamanda,huwa nacheka sana nikisoma post zako na kuitazama hiyo avatar yako,ni burudani tosha!
na vipi joti akiendesha vx atakuwa kabakwa?
Tembeleeni fuso.
POPOBAWA.
ni kweli magari yanaturahisishia shughuli zetu ila na maumbo yetu tuyatatendee haki!nimepishana na raia mmoja mwenye umbo mithili ya kapteni john komba ndani ya duet!!!dah......huu ni ubakaji wa magari!
kwani chenyewe kimelalamika?
Eee? ??????
Oya kulawiti ni ka nini?
Mi Swahili is not reachable ..
Ubakaji wenyewe ndo kama huu
View attachment 46083
hahaaa zis z cht chat bana! mi natembelea staut toyota, gues umbo langu na kabila ni lipi/likoje?
Unataka trafic watugeuze mtaji wao eh?
Naona tupeane mwongozo hapa.
Uzito wa kg 30-40 duet
Kg 40-50 starlet
Kg 50-52 vitz
Mwisho wa baby walkers.
Magari:
Kg 52-55 Baloons and the like (nadhani na gx 200+ ziwe humu)
Endeleeni, ila sasa sie wenye kilo za nyati ina maana benz hazituhusu?! Ama tushauri benz watengeneze pickup?
Acha upuuzi wewe! ukabila hapa umeingia vp sasa?!!
POPOBAWA.
Tembeleeni fuso.
POPOBAWA.
mbona watu wakitaja ukabila unatoka povu? unashida gani usaidiwe?