Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
wakati mwingine ni vizuri kupitwa na wakati babu......Mie mtu akinambia kuwa ana Plan A pekee ila pia anaiba mara moja moja nitamwelewa. Ila yule ambaye anasema kwamaba anamaitain A, B, C...etc na kutoa huduma zote basi nitamwogopa sana...
Anyway...ngoja niishie hapa kwani akina Dena Amsi wanaweza kunambia nimepitwa na wakati...lol!
Babu DC!!
kuna sehemu nimesikia eti kuna dawa ya hospitali inayoweza kufanya mtu awe na feelings nawe.........
na aliyesema ni daktari siyo layman kama mimi
nikaona kweli duniani tunaendelea......
sasa masangoma sijui watatapeli wapi tena?