Mipango gani inavurugika na "Backup" ipo??
Tatizo ni kua ikishakua tabia hata hiyo backup ikishachukua namba unaanza kuangaika kutafuta Plan b. Na kibaya zaidi ni kupoteza chaguo la wako moyo kwa sababu ya Backup.
Mipango gani inavurugika na "Backup" ipo??
Tatizo ni kua ikishakua tabia hata hiyo backup ikishachukua namba unaanza kuangaika kutafuta Plan b. Na kibaya zaidi ni kupoteza chaguo la wako moyo kwa sababu ya Backup.
hapo kwenye RED babu inakuwaje huko unakoenda kutest zali ukakamatika!Ahsante sana Kaunga,
Binafsi nadhani nimepitwa na wakati...ila kwangu mimi, sikuwa kuwaza suala la kuwa na mabinti wawili kwa wakati mmoja. Kama alivyosema Smile, hiyo ni profession ambayo ni watu wachache wanaimudu.
Sitaki kuwaongelea wanawake, ila kwa wanaume walio wengi, ni jambo la kawaida sana kuwa na mchumba (unayempenda sana tena sana) na hapo hapo ukawa unaenda pembeni kutest zali la mentali....Ni kawaida tu!
Ila enzi zetu (1947), halikuwa jambo la kawaida kuwa na wachumba zaidi ya mmoja katika rank ya A, B, C, D........................![]()
Babu DC!!
huyo ana bahati hiyo B iliyo-overtake na kuwa A ili-mess up....Kaunga, anajisikia furaha/amani tele, hajui kilichokuwa kinaendelea, mwenye hizo plan ni mwanaume yeye hayamuhusu zaidi ya kushukuru chereko chereko imewadia kwa upande wake, na ujue hizi plan B nazo ni za muda mrefu tu, huyu mdogo wa friend wangu yeye plan B yake ilikuwa kabla hata ya huyo plan A, sema plan A ilivyojitokeza B ikawekwa pending kidogo , A ilivyoleta magumashi B ikarudishwa rodini kwa speed zoteee!
hapo kwenye RED babu inakuwaje huko unakoenda kutest zali ukakamatika!
hayo yapo pia ujue.....
unajidai unaenda kutest zali halafu moyo wako ndo unaishia huko huko....
umepatikana mkubwa mwenzangu...Mkubwa mwenzangu @FP,
Mie naomba nisiseme sana kwani hili ni jambo ambalo majority in the male's community wanalikubali na actually wanalipractice.
Tatizo ni kwamba wenzetu huwa hamtaki kukubali kwamba lipo....
Kuhoji kukamatwa ni sawa na kuuliza kwamba....kwa nini watu wanaendelea kuiba/kubaka/kupora wakati probability ya kukamatwa ni 50%??
Ngoja nisubiri, labda wadau wengine watanisaidia kujibu...
As for me....my professional line was and is still clear...
Babu DC!!
huyo ana bahati hiyo B iliyo-overtake na kuwa A ili-mess up....
ndo swali nililomwuliza babu Dark City, je ikitokea B ikakuteka? si utaisahau A jamani?
umepatikana mkubwa mwenzangu...
Ila haya mambo haya, ni vizuri kama utaamua usiwe na hiyo bima according to Kaunga......
unaweza kudhani unakata bima halafu mambo yakakugeukia.
sawa babu....Sorry @FP,
Mie nilichoongelea siyo plan B....it is something like one night stand....
Hayo mambo ya plan B kwa upande wangu ni mazito...I couldn't and still can't handle!
Babu DC!!
tupo pamoja babuNisome hapo juu mkubwa mwenzangu,
Mie siongelei wanaokata bima...naongelea wanaoenda kukata kiu mara moja moja.....kind of infii!!
Babu DC!!
sawa babu....
hapa tulikuwa tunaongelea plan b na especially kwa wasiooa/olewa...
kwamba hii ikifeli basi una pa kukimbilia
wanaume siku hizi wanasababisha wadada wawe na plan B.....maana unakuta dada kajitoa ilhali mkaka anagegeda tu....akiangalia na umri unasonga anakuwa nao 2/3 atayefika bei tu ndo huyo huyo
wengi wanachofanya sio kuwa na plan b bali muoaji mostly ndo anakuwa yuko no 2 mdada yupo na mtu wake anaempenda,lakini huyo mtu hana mpango wa kuoa so muoaji anapojitokeza,dada anakubali ndoa huku anakuwa mgumu kumuacha wa kwake so waoaji wengine wanachunguza ndo wanagundua hilo na kusitisha ndoa, ndoa kwenye jamii yetu ni deal sana bado,kuolewa ni bahati wanasema,so kukataa muoaji hata kama hapendwi ni ngumu..
Babu DC, Dena Amsi amesema plan B ni "back up"
Yaani ukichezea kibuti kwenye "primary" una jump fasta "secondary"!
Plan B......
kama unaweza, nasisitiza kuweza kweli kupenda kwa kichwa unaweza kuwa na plan b......
kwa sasa hivi, nadhani hata zamani pia plan b inaweza kuwa mkombozi kama mambo yanaenda vibaya.....
kuna watu kama mimi, mapenzi yanakuwa yameandikwa all over our bodies..... ukiniangalia usoni kuna alama ya mapenzi, miguuni, kichwani, mgongoni......... yaani ukionekana tu mtu anajua huyu yupo in love, mtu kama mimi plan b siwezi kuwa nayo...... the moment ninapokuwa na mpango wa kando basi mapenzi yoooteeee yanahamia huko. hii ni hatari sana kwa plan a, na watu wa aina hii ni rahisi kukosa vyote
Cheka uongeze siku mwaya "Backup" muhimu mpendwa.
Hata ukiwa na computer yako si unafanya backup si ndio?
Imagine computer yote incrash na huna hata pa kuanzia unafanyaje sasa?
Ndiyo maana wewe ni generation ya kutoka sayari nyingine bwana.....lol!!
Babu DC!!
kweli babu mimi nikianzisha plan B ndo ujue plan A kwisha habari yake
moyo mmoja..... nakuwaje na plan zaidi ya moja?
sitaki kabisha kujinyima haki yangu ya kupenda, fully