Kaunga hivi unajua mtu anajisikiaje akijua kuwa kafanywa plan B!? Nahisi kama ina disturb sana!
Lakini pia kama kuna wengine wanaokubali kufanywa plan B ?(je ni mapenzi au ubwege?)
Unapofanya jambo kwa sababu dhaifu utapata matokeo hasi
'
Unapokua mwaminifu na kuacha kuwa na plan B ili uolewe itakusumbua tu
'
Itakusumbua kwa kuwa sababu iliyokufanya usiwe na plan B ni dhaifu,unatakiwa usiwe na plan B kwa kuwa ni ubinadamu na ni utu
'
Unapotarajia uzawadiwe na mtu kwa kuwa mwaminifu halafu asikuzawadie lazima utakua disapoint tu,hiki ndicho kilichokupata Kaunga
'
Unapofanya jambo,fanya kwa kuwa umeamua na ujisimamie mwenyewe bila kumtegemea mtu akupongeze!
Kaunga hata nasema maneno mawili tu "Backup ni muhimu"
Achilia mbali kuwa na plan B tu, sasa hivi inabdi uwe mpaka na plan Z. Mimi nina mpaka plan Z...
I use to jiamini sana you know; lakini ulikuja kunidiss mwisho wa siku. Huoni our online love case ndio inayofanyika in real life?
Plan B ni kama backup nimecheka sana.
Dear,Hiki ndicho nilichomaanisha kimekupata,umenipata sasa!
Cheka uongeze siku mwaya "Backup" muhimu mpendwa.
Hata ukiwa na computer yako si unafanya backup si ndio?
Imagine computer yote incrash na huna hata pa kuanzia unafanyaje sasa?
Hivi nini kitatokea mwenzako akija kujua kua ulikua na plan b.
Okay, if that is the case twende na scenario hiyo hiyo halafu uoneshe jinsi gani uaminifu wangu ulikuwa ili unioe na si kwasababu siamini katika mapenzi ya watu wengi. Maana kwa case yetu, niliamua kujitoa baada ya kuona wewe unammendea Paloma.
Okay, if that is the case twende na scenario hiyo hiyo halafu uoneshe jinsi gani uaminifu wangu ulikuwa ili unioe na si kwasababu siamini katika mapenzi ya watu wengi. Maana kwa case yetu, niliamua kujitoa baada ya kuona wewe unammendea Paloma.
hahaha dunia ya leo kama maigizo sometimes matukio inakuwa vigumu kuamini lakini ndipo human race ilipofikia. Ila na huyo jamaa noma lakini namuonea huruma aliyemuoa maana atakuwa kamuoa si kwa kupenda bali kuficha aibu ambayo ingempata. Haa sasa we wadhani nitabaki naugulia mpaka lini.
kuna msemo unasema when life F*** you keep on moving otherwise it will keep on F*** you until you find yourself enjoying it and you will never move on.
Na mimi sitaki endelea kuwa mtu wa majozi I am moving on with plan B, C, D