Utajua siku hiyo hiyo akikukamata
Utajua siku hiyo hiyo akikukamata
si ndio kuna kuachwa na kubembelezana; au?
Hapo ndo kuna kulia na kusaga meno.
Dena hujambo weye?
Sijambo mambo?? Leo unapwoint nimeyaona mahala
Hakuna kulia hapo ndo ngoma inanoga
Aisee, yaani vikao haviahirishwi ila jina la muolewaji tu ndilo linabadilika. Kazi kweli kweli! Na huyo mdada plan B alijisikiaje?????
sijawahi kuwa muumini wa hii dini ya plan B,siwezi toa experience lakini nafikiri ni tamaa tu.na kujishusha thamani.mtu mwenye wanaume/wanawake wawili watatu huwa namdharau sana
Naogopa kuichakachua hii thread ni muhimu!
But don't 4get how i love u!
i dont 4get! i do forget!
Kaunga hivi unajua mtu anajisikiaje akijua kuwa kafanywa plan B!? Nahisi kama ina disturb sana!
Lakini pia kama kuna wengine wanaokubali kufanywa plan B ?(je ni mapenzi au ubwege?)
Safi! Wapi tena ????
heheheheh una mbwembwe weweThat's my shem...:A S-heart-2:
Cc: Nicas Mtei
Inanogaje wakati mipango yote inavurugika.
Kwenye thread ya "Uchangiaji wa wanawake...................
heheheheh una mbwembwe wewe