Kaunga unasema Plan B...lolz.....naiona kama ni mada ngeni japo ni challenging!..Kama ulivosema kwa zamani nadhani ilikuwa ngumu kidogo as compared na sasa...Nadhani ni kawaida kwenye maisha kuwa na 'back up' in case ukitokea wakati wa emergence ukapoteza kitu flani basi kiulaaiiini unachukua akiba yako....Lakini kwenye mahusiano nadhani ni ngumu kidogo kuiweka kwenye uhalisia hasa kwa watoto wa kiume..Japo nahisi kwa watoto wa kike inaweza kuwepo (manake wanafuatwa)....Katika zama za sasa ambapo mwolewaji/muoaji ndio wanakuwa 'centre' of everything kwenye ndoa nahisi 'backups' zinaweza kuwepo unlike zamani ambapo 'wazazi' ndo walikuwa 'play makers' kwenye 'uoaji/uolewaji wa watoto wao...
Nadhani kimsingi hakuna Tatizo kuwa na Plan B...as long as mtu akishakuwa committed na mwingine hadi ndoa basi ataachana na backups zote.
UZURI wake ni kuwa inasaidia sana hasa kipindi hiki ambamo WASANII wamekuwa wengi... Ndoa zimekuwa kama 'a certain stage of life' ambayo unalazimika tu kuipitia but is not something that is driven by love between the two...Na kwa sababu siioni kama ni tatizo siwezi shauri sana mbinu za kuachana nayo..................