::
Kaunga
Tatizo ni kuwa ukipendwa unajiona kuwa unaweza kufanya lolote maana akupendae,,si kila dalili ya mawingu huleta mvua.
::
Naam mi mbaya lakini nilifanya hilo liwe fundisho kwa wengine.Ilikuwa hivi,
Nilimpenda nae alijua.
Nilimchukua Plan A wake (ambaye alikuwa mtu wa karibu yangu),,Nikamfanya awe mshenga wangu na taratibu zote za kutoa mahari nilimfanya msimamizi mkuu..KIKAO cha mwisho kabla ya kumuoa rasmi (kimila)
Nilikiwa mbele ya wazee na akina mama,,nilimtangazia mwisho wa uhusiano na nikaweka wazi ushahidi wa uhusiano wao,,ikiwemo picha za mapenzi,,sms walizokuwa wanatumiana,,reckoded conversations,,na jinsi walivyokuwa wanaahidiana kunizunguka ktk ndoa yangu..nikaonya mnapokuwa na Plan zenu A-Z kuweni makini si kila mwanaume ni zezeta Kuna wengine akili zetu zinacheza cheza kama saa.
Nilihama huko na update ni kuwa hata yule bwana waliachana,,
PLAN B ni silaha kama mnavyodhani ila ANGALIENI NA AKILI YA MWANAUME.
=
what i believe is smtms watu huwa wna date wrong choice na baadae Mungu huwa analeta the correct choice kwao.
kwan nasema hivi??? nilipokuwa na mhaya nilijua niko na hubby to be ila nafsini mwangu moyo haukuwah kufunga sana kivilee sijui kwann, hatukuwah kugombana wala nini na tulikuwa tunacope vyema but, siku alipokuja hubby ndipo nilijisemea sasa hili ndilo chaguo langu.hakuwa na cha ziada ila kuna kule moyo kufunguka hadi ukajiskia nafsini na akilini mwako.
Juzi tu!
umeshapona mpaka umekuwa na hadi plan Z?
kuna mkaka rafiki yangu alikuwa anataka kuoa. tumeshaanza vikao vya harusi na kwa binti tayari vikao vya sendoff mdada akakaa na wazazi akawaambia hawezi tena kuolewa na yule kaka, wamrudishie mahari.....
kwa vile nilikuwa karibu naye akatufwata kutupa mkasa kuwa binti ndo keshammwaga.....
sasa tunamwambia tuahirishe vikao? maana hubby alikuwa mwenyekiti wa kamati, akasema no tuendelee.... naomba tu this weekend unisindikize kutoa mahari kwa plan b.......
basi weekend tukaenda kutoa mahari, vikao vikaendelea, harusi ikafungwa..... chezeya plan b!
sasa asingekuwa na plan b kungekuwa na mlolongo mkuuubwaaa tena wa kuahirisha vikao na harusi
Kwanza tuunde tume, kama tume ikija na majibu ya kuunda NGO tutajua wapi kwa kupatia pesa za kuendeshea NGO yetu.Nashukuru kwa mchango.
Suala kuu hapa ni kutojiamini.
Hii ya kutojiamini imechangiwa na hayo no 3 right; tunawasaidiaje wadada na baadhi ya wakaka waweze kujiamini na kuwaamini wachumba wao?? Au twende nayo tu hivi hivi kidijitali!
Hili ni fundisho kubwa sana kwa wote wenye mpango wa kando; l like your style na nafikiri lara 1 ameipenda pia. Khah, yaani mbele ya umati wa watu unamdiss mtu.
Gals plan B ni kichomi tu; go for chaguo la Moyo, ikishindikana unaruhusiwa ku-CRY lakini utapata another plan A in God's time.
mdada alikuwa anajua kuwa yeye ni mwizi tangu mwanzo, inakuwa rahisi sasa mwizi kawa promoted, lol!Aisee, yaani vikao haviahirishwi ila jina la muolewaji tu ndilo linabadilika. Kazi kweli kweli! Na huyo mdada plan B alijisikiaje?????
situation inawalazimu,tamaa, hawajijui wanataka nini, kila mmoja anakaa na mwenzie kimachale akihofia kuachwa, mdogo wa friend wangu tumekula wali wake dec, huyu mdogo wetu alikuwa ana boyfriend wake aliekuwa anamtegemea kwenye safari yake ya kuanziasha familia, matokeo yake mrembo alikuja kujua mkaka ana gal mwingine anaetaka kuwekeza kabisa, walilumbana wakatengana, mdada alikuwaga na plan B akaivuta chap kukaba pengo lililoachwa, yule mkaka aliekuwa anategemewa na yeye akamwagwa huko na hiyo plan B yake na yeye akakaba plan C ikaziba pengo,huyu mdogo wetu na huyu boyfriend wake aliekuwa anamtegemea kuanzisha nae familia ndoa zao ilikuwa siku moja na kila mtu na plan B , C zake, life limekuwa ovyoooo sana.
Very important point, unajua nini mtu mwingine unamwambia wazi kuwa nina mtu wangu na bla bla zake; lakini anakwambia naomba hata niwe mpango wa pembeni. So some men/women wanazijua status zao na wanzikubali. So kwa mtu kama huyo kuwa promoted from plan B kuwa the ONLY plan ni ujiko.mdada alikuwa anajua kuwa yeye ni mwizi tangu mwanzo, inakuwa rahisi sasa mwizi kawa promoted, lol!
nalindwa na FBI.. sogeeni mkutane na laser gun..