Aisee
so uchumba umepoteza maana yake halisi au watu wanatumia gear ya uchumba kupata chance ya kumgegeda mtu???
Kaunga unasema Plan B...lolz.....naiona kama ni mada ngeni japo ni challenging!..Kama ulivosema kwa zamani nadhani ilikuwa ngumu kidogo as compared na sasa...Nadhani ni kawaida kwenye maisha kuwa na 'back up' in case ukitokea wakati wa emergence ukapoteza kitu flani basi kiulaaiiini unachukua akiba yako....Lakini kwenye mahusiano nadhani ni ngumu kidogo kuiweka kwenye uhalisia hasa kwa watoto wa kiume..Japo nahisi kwa watoto wa kike inaweza kuwepo (manake wanafuatwa)....Katika zama za sasa ambapo mwolewaji/muoaji ndio wanakuwa 'centre' of everything kwenye ndoa nahisi 'backups' zinaweza kuwepo unlike zamani ambapo 'wazazi' ndo walikuwa 'play makers' kwenye 'uoaji/uolewaji wa watoto wao...
Nadhani kimsingi hakuna Tatizo kuwa na Plan B...as long as mtu akishakuwa committed na mwingine hadi ndoa basi ataachana na backups zote. UZURI wake ni kuwa inasaidia sana hasa kipindi hiki ambamo WASANII wamekuwa wengi... Ndoa zimekuwa kama 'a certain stage of life' ambayo unalazimika tu kuipitia but is not something that is driven by love between the two...Na kwa sababu siioni kama ni tatizo siwezi shauri sana mbinu za kuachana nayo..................
Nakumbuka sana mafundisho ya dini nikiwa secondary kuhusu Urafiki, Uchumba na Ndoa; tuliambiwa (na kweli ina make sense) kuwa ni vizuri kuwa na marafiki wengi, lakini mchumba ni mmoja na kipindi cha uchumba maana yake unakuwa umefungwa (huwezi kuruhusu mchumba mwingine in case umemkubali wa kwanza); hiki ni kipindi cha kuchunguzana tabia kabla ya kujifunga moja kwa moja kwenye ndoa.
Lakini kwa sasa idadi kubwa ya watu (hasa wadada) walioko kwenye uchumba wana kuwa na bima au plan B au mpango wa kando. Hali hii ikija kugundulika mara nyingi hupelekea muhusika kukosa yote hata kama alikuwa anapenda kuolewa.
Sasa wana jamvi naomba tujadili kuhusu:-
- ulazima au umuhimu wa plan B
- Kiini cha tatizo hasa ni nini?
- Nini kifanyike ili hii hali isiendelee?
cc lara 1, amu, Paloma, Nicas Mtei, Eiyer, Evelyn Salt na walioko kwenye ndoa watuambie waliolewa/oa na plan A au B gfsonwin, @fp, snowhite, Dark City, Mtambuzi, Wiyelele Kaizer hata wale walio kwenye complicated situation kama The Boss, KIKUNGU SnowBall Kongosho et el karibuni.
..........When you run out of rope; grab onto faith.......... T.B Joshua
wanaume siku hizi wanasababisha wadada wawe na plan B.....maana unakuta dada kajitoa ilhali mkaka anagegeda tu....akiangalia na umri unasonga anakuwa nao 2/3 atayefika bei tu ndo huyo huyo
Naona mnatuambukiza hiyo kitu ya historia maana imeanza kuingia kwenye damu zetu pia!Kwangu, wanaume walio wengi kuwa na Plan B ni kitu cha kawaida, hata baada ya kuoa kuwa na "kidumu" kunasaidia kupunguza pressure. Ukiwa stressed na huyo mmoja, iwapo ndo una huyo tu haaa! Utakufa kwa pressure iwapo akakutendea kosa kubwa! Lakini kama una plan B, naona hata mtu unakuwa stable. Ila kwa wanawake sio vizuri wakawa kama sisi. Historia tangu mwanzo inasema "A man was born a polygamist". Kwa hiyo ipo kwenye damu.
Nakumbuka sana mafundisho ya dini nikiwa secondary kuhusu Urafiki, Uchumba na Ndoa; tuliambiwa (na kweli ina make sense) kuwa ni vizuri kuwa na marafiki wengi, lakini mchumba ni mmoja na kipindi cha uchumba maana yake unakuwa umefungwa (huwezi kuruhusu mchumba mwingine in case umemkubali wa kwanza); hiki ni kipindi cha kuchunguzana tabia kabla ya kujifunga moja kwa moja kwenye ndoa.
Waoh interesting and honest observation sasa, should we put Do and Dont Do guides zitakazo wainform watu wanaokuwa na plan B. Say ....uwe na simu mbili, moja ya mchuchu na nyingine ya plan B? au unaonaje? Maana watu wanachemka kila siku (kuna bandiko mchumba kaenda kwa mdada chuoni hakumkuta na kaambiwa hayupo since jana (kaenda kwa plan B possibly).
Na wakaka je? Hawana changamoto hizo?
Mfano elmagnifico tumeshuhudi hapa hapa, kama haikuwa muvi.
Mie nadhani wote tumechachamalishana nywele kwa kweli.
Unataka nikuweke as plan A au B???
Dah!Dunia hii ina mambo sana
Sababu kubwa ya kuwa na plan B hasa ni kutojiamini,kama hujiamini ni vigumu sana kumuamini mwenzako
Sababu nyingine ni kuporomoka kwa maadili,watu siku hizi wanaishi bila utu na ubinadamu
Labda ndo maendeleo!
The chanceslikelihood of running out of rope are VERY high NOWADAYS....Therefore:
"Plan B" is what you will "grab" when you will run out of "rope"!
Nisamehe, sirudii tena kutaja watu. sikuwa na maana ya kubagua wachangiaji plz naomba uchangie.
wengi wanachofanya sio kuwa na plan b bali muoaji mostly ndo anakuwa yuko no 2 mdada yupo na mtu wake anaempenda,lakini huyo mtu hana mpango wa kuoa so muoaji anapojitokeza,dada anakubali ndoa huku anakuwa mgumu kumuacha wa kwake so waoaji wengine wanachunguza ndo wanagundua hilo na kusitisha ndoa, ndoa kwenye jamii yetu ni deal sana bado,kuolewa ni bahati wanasema,so kukataa muoaji hata kama hapendwi ni ngumu..Nakumbuka sana mafundisho ya dini nikiwa secondary kuhusu Urafiki, Uchumba na Ndoa; tuliambiwa (na kweli ina make sense) kuwa ni vizuri kuwa na marafiki wengi, lakini mchumba ni mmoja na kipindi cha uchumba maana yake unakuwa umefungwa (huwezi kuruhusu mchumba mwingine in case umemkubali wa kwanza); hiki ni kipindi cha kuchunguzana tabia kabla ya kujifunga moja kwa moja kwenye ndoa. Lakini kwa sasa idadi kubwa ya watu (hasa wadada) walioko kwenye uchumba wana kuwa na bima au plan B au mpango wa kando. Hali hii ikija kugundulika mara nyingi hupelekea muhusika kukosa yote hata kama alikuwa anapenda kuolewa. Sasa wana jamvi naomba tujadili kuhusu:-
cc lara 1, amu, Paloma, Nicas Mtei, Eiyer, Evelyn Salt na walioko kwenye ndoa watuambie waliolewa/oa na plan A au B gfsonwin, @fp, snowhite, Dark City, Mtambuzi, Wiyelele Kaizer hata wale walio kwenye complicated situation kama The Boss, KIKUNGU SnowBall Kongosho et el karibuni.
- ulazima au umuhimu wa plan B
- Kiini cha tatizo hasa ni nini?
- Nini kifanyike ili hii hali isiendelee?
situation inawalazimu,tamaa, hawajijui wanataka nini, kila mmoja anakaa na mwenzie kimachale akihofia kuachwa, mdogo wa friend wangu tumekula wali wake dec, huyu mdogo wetu alikuwa ana boyfriend wake aliekuwa anamtegemea kwenye safari yake ya kuanziasha familia, matokeo yake mrembo alikuja kujua mkaka ana gal mwingine anaetaka kuwekeza kabisa, walilumbana wakatengana, mdada alikuwaga na plan B akaivuta chap kukaba pengo lililoachwa, yule mkaka aliekuwa anategemewa na yeye akamwagwa huko na hiyo plan B yake na yeye akakaba plan C ikaziba pengo,huyu mdogo wetu na huyu boyfriend wake aliekuwa anamtegemea kuanzisha nae familia ndoa zao ilikuwa siku moja na kila mtu na plan B , C zake, life limekuwa ovyoooo sana.labda tujiulize kwanini watu wanakuwa na plan B, ni situation inawalazimu au ni tabia tu?