Natafuta Kazi ya Boda Boda Dar es salaam

sosi maiko

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
38
Reaction score
36
Habari wapendwa.
Mimi ni graduate (I.T) ambaye kwa muda mrefu nina Hustle mtaani, Hapa Dar es salaam.

Natafuta Kazi ya Boda Boda au kazi yoyote Halali Ili nipate kujikimu kimaisha.

Uaminifu, utii, unyeyekevu na Nia Njema ndizo nguzo zangu.

Natanguliza Shukrani.

Mwemye msaada naomba sana Anifate Inbox [emoji120]. Mbalikiwe Sana watu wa Mungu.
 
Mwemye msaada naomba sana Anifate Inbox
emoji120.png
. Mbalikiwe Sana watu wa Mungu
Share mawasiliano yako
 
Habari wapendwa.
Mimi ni graduate (I.T) ambaye kwa muda mrefu nina Hustle mtaani, Hapa Dar es salaam.

Natafuta Kazi ya Boda Boda au kazi yoyote Halali Ili nipate kujikimu kimaisha.

Uaminifu, utii, unyeyekevu na Nia Njema ndizo nguzo zangu.

Natanguliza Shukrani.

Mwemye msaada naomba sana Anifate Inbox [emoji120]. Mbalikiwe Sana watu wa Mungu.
Acha ujinga.

Nenda kwa mafundi simu/computer ukajitolee kufanya kazi hutokosa chochote kitu.
 
Back
Top Bottom