Evarist Chahali nilikudharau baada ya kunibock Instagram hata hapa nakuona unaongea pumba tu
Ndiyo, ila CCM ikiwa na viongozi wenye akili za kutoshaccm na upinzani wanaweza kuungana?
Hiyo 2020 mbona ccm inajulikana sasa hao wanaohangaika wana akili?Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.
Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.
Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.
Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.
But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.
Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.
Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.
How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.
Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.
One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.
Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.
Nakuunga mkono. Tuhuma za Kipilimba kuwa na kifafa na kuwa anaanguka kila baada ya nusu saa hata kichaa hawezi kuamini kwani kila siku tunamuona katika hafla za kitaifa na anakuwa hapo hata kwa masaa bila kuanguka. mfano ni kongamano la UDSM hivi karibuni kutathmini miaka mitatu ya JPM. Tuhuma hizi zimefeli na kuendelea kukushushia hadhi.Naona ushapata mwanya wa kumuingia Kipilimba ..hivi ulisema Kipilimba kapanga nini juu yako hapo kitengo na kwamba kuna watu wametap maongezi yako na nani sijui
Ukaishia kumdhalilisha mzee wa watu ana kifafa ..kwani waliompa hiyo nafasi walikuwa hawalijui hili ?
Kulikuwa na sababu gani ya kuwa personal kiasi hiki ? Umepata nini baada ya kusema ana kifafa ?
Kwani Kipilimba kwenye harakati zake kuna sehemu kakutuhumu kuwa wewe ni bwabwa ? Mbona hizi rumours zipo ?
Yaani wewe jamaa nakushangaa unavyojiona kitengo kizima hakuna kama wewe ,kwani wewe umefanya nini nchi hii zaidi ya Kina Zoka,Madafa,Mahiga ,OR etc ?
Ishu zako personal pambana nazo mwenyewe ,yaani kale ulipo peleka mboga
ni story tu. Hawa watu hawajakutana barabaraniKumbe membe ndo alimtambulisha huyu kipi kwa jiwe
Very emotional i feel you tone and understand it too.2020 Jiwe is out, haijalishi atatolewa na nani....... Huwezi kuja na liroho lako la kishetani uharibu ndoto za mamilioni ya watu kwa miaka kumi...... Khaaa we ni nani by the way!!!!!!!!!!!
Hakuna binadamu asiyeweza kutolewa,stop being such a fool brotherInawezekana hafai never humwezi kumtoa abadani
Mkuu usimdharau Chahali,wengi humbeza sana humu,nami huishia kuwaonea huruma tu.Kamba tu hizi, ushahidi ndo kutoka kwa Musiba? Au haujui maana ya ushahidi?
Kungekuwa na hicho unachokiita ushahidi, unadhani taarifa zingetokea kwako?
Bashe ni msomali hata uawazili hastailiHahah kumfikiria mtu si kumchagua maana ndo tutaangalia uwezo/mazuri yake na mapungufu yake na kama hatufai tunatupilia mbali
Issue kuleta tena kina Membe sijui kwa mtizamo wangu binafsi naona tunarudi tu nyuma
Naongezea wengine hapa wa kuwafikiria, Kigwangala,Bashe (kosa lake usomali tu kwa wengi wetu) Ummy, Gambo na wengineo
Angalizo kuwafikiria watu hakuna mahusiano na ndo kuja kuwachagua
Ahaaa,kumbe ndio mana kapata ujasiri huo,I was wondering,inakuaje?Kitengo kitengo gani alishatimuliwa huyo
Wewe ndo unajinyea nyea,Membe ni mtu smart,siyo mjinga,siyo mpumbavu,hana papara kama hilo jiwe lenu.Membe alianza humu kwa kutumia mashabiki uchwara aliowapandikiza,sasa kaanza kujinyea na kutaka eti awepo na Musiba,kama huu si ujinga wa hali ya juu ni nini?nilidhani Membe ana akili kumbe ni mzito kama papai bichi anashindwa kureason,yeye kama aliona Musiba anamchafua kwanini alikaa kimya,ikumbukwe Membe ni mtu mzito ,kwanini apuuze eti Musiba anamchafua,anayoyafanya sasa Membe sawa na wale waliotajajwa orodha ya mafisadi pale Mwembechai,wakajifanya wataenda mahakamani kwa kuchafuliwa hadi leo hakuna aliyeenda.Haiwezekani jambo zito kama hilo utajwe halafu ukae kimya,Membe kawa kama Zitto ,Musiba sio mjuinga kama nyumbu wa ile saccos wanayotaka kuamini,kwa Musiba watapa taabu sana na mwisho Dr Bashiru sio mjinga pia,Membe kajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe,namkumbuka Mudhihiri Mudhihiri alivyomuita Joka la Mudimu,kwa wale wanaojua Joka la Mudimu tabia zake ndio hizo tabia za Membe ,Mudhihiri Mudhihiri hakukosea hata kidogo
Hata kama alijiita wakati huo,lakini linapogeuzwa kuwa kebehi,it becomes undesirable!Amemuita au alijiita ??!!
Comment yako inadhihirisha kiasi gani ulivyo lijinga,unajua sheria za Scotland wewe? Kwani ni lazima awe PI? mbona fani ya jiwe ni Chemistry, mbona hukumshauri awe mkemia maana hana hadhi ya kuwa kiongozi wala mwanasiasaHa ha ha ha ha,huyu mtu wetu wa kitengo bana.ila mkuu me nina swali kidogo ambalo ni nje ya mada.
Kwa mujibu wa wasifu wako ambao wewe mwenyewe umetumwagia humu, hivi unashindwa nini kufungua ofisi yako yako ya PI (private investigator) huko ulipo ili upige mahela,badala ya kukalia kupiga porojo kwenye mitandao ya kijamii?kwa kuzingatia CV yako jombaaa najua kabisa huwezi ukakosa vibali vya kupiga kazi,ukizingatia ishu kama hizo huko ulipo ni deal.
Kosa ni muitaji au aliyejiita ?!Hata kama alijiita wakati huo,lakini linapogeuzwa kuwa kebehi,it becomes undesirable!
[emoji23][emoji23]na iwe kama ulivyoaminiKuna kila dalili kwamba hii nchi TUTAJIOKOTEA tu huko mbele , hawa watu watamalizana muda si mrefu .
Call him anything,but he will remain your President.Kosa ni muitaji au aliyejiita ?!
Kule Ukerewe alisema yeye ni [emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787]