Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

Hivi ndugu zangu Watanzania nafiria ni muda wa kuangalia damu mpya na 'at least' vijana hivi kuwapa nao nchi hawa kina Membe sijui nani ni sawa wazuri lkn muda pia unawatupa na wameisha hudumu sana kwenye ofisi za umma

Sioni haya majina yakihusishwa na 2020 au 2025

January, Zito,Nape, Mwigulu,Nyarandu,Mtaka, Bashiru na watakao jitokeza huko mbeleni wa kariba na umri huo wa kati

Kina Membe ndo wametufikisha hapa na huyo jiwe hana exposure yoyote na ni mtu ameingia madarakani akiwa na mtizamo wa sisi wote wapigaji nae ni 'smartest guy in the house' hapo tutafika kweli tuje na watu wapya na mitizamo mipya
Vijana wapya ndiyo hawa kina bashite??
 
Magu hafai hivyo yoyote anaempinga anastahili kuungwa mkono iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.Hata hivyo, Raisi bora hawezi kutoka CCM.

Note: Raisi bora anaweza kutoka CCM lakini kwa kofia ya upinani na si awe Raisi kwa ticket ya CCM.

Raisi anaeweza kubadili hii nchi ni lazima apate wasaidi kutoka nje ya CCM kwa maana ya watu kutoka upinzani ambao watakuwa na fikra na mitazamo tofauti.

Huwezi kufukua makaburi au kurekebisha mambo ukiwa umezungukwa na watu wale wale waliotufukisha hapa tulipo leo hii na ambao teyari wana masilahi au waliwahi kuwa na masilahi katika maeneo mengi.Unahitaji watu clean na hawa utawapata zaidi kutoka upinzani.
Demokrasia ya kweli ni ushindani wa sera na mikakati bora Kwa taifa husika hivyo tusubiri muda uongee sio makele
 
Magu hafai hivyo yoyote anaempinga anastahili kuungwa mkono iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.Hata hivyo, Raisi bora hawezi kutoka CCM.

Note: Raisi bora anaweza kutoka CCM lakini kwa kofia ya upinani na si awe Raisi kwa ticket ya CCM.

Raisi anaeweza kubadili hii nchi ni lazima apate wasaidi kutoka nje ya CCM kwa maana ya watu kutoka upinzani ambao watakuwa na fikra na mitazamo tofauti.

Huwezi kufukua makaburi au kurekebisha mambo ukiwa umezungukwa na watu wale wale waliotufukisha hapa tulipo leo hii na ambao teyari wana masilahi au waliwahi kuwa na masilahi katika maeneo mengi.Unahitaji watu clean na hawa utawapata zaidi kutoka upinzani.

Ukiweza tudondoshee slate ya opposition leaders ambao ni presidential materials na wasio political monarchs, political nomads, opportunistic defectors au sio miongoni mwa waliotufikisha hapa! Lowassa? Sumaye? Mbowe? Lipumba? Maalim? Nyalandu? Zitto? Lissu? ...Nani?

Mtu asiyekuwa na vyombo vya dola, lakini ameweza kuifanya top position ya uongozi wa chama cha siasa kuwa mali yake binafsi, atashindwaje kujimilikisha kiti cha urais akipewa nafasi ya urais na vyombo vyote vya dola kuwa chini yake?

Generation ya opposition leaders tulionao sasa is just as bad or worse!
 
Vijana wapya ndiyo hawa kina bashite??

Hahah kumfikiria mtu si kumchagua maana ndo tutaangalia uwezo/mazuri yake na mapungufu yake na kama hatufai tunatupilia mbali

Issue kuleta tena kina Membe sijui kwa mtizamo wangu binafsi naona tunarudi tu nyuma

Naongezea wengine hapa wa kuwafikiria, Kigwangala,Bashe (kosa lake usomali tu kwa wengi wetu) Ummy, Gambo na wengineo

Angalizo kuwafikiria watu hakuna mahusiano na ndo kuja kuwachagua
 
I cant rule out,katibu mkuu anaweza kuwa na ushahidi,
sikuhizi mtu kukunasa maelezo ni rahisi,
snowden alisema muwage mnaweka simu kwenye friji,simu sikuhisi zinakuwa remote controlled kuturn on mic,wewe unaongea ,simu iko mezani inakuchukua maelezo tu we hata hujui
 
Magu hafai hivyo yoyote anaempinga anastahili kuungwa mkono iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.Hata hivyo, Raisi bora hawezi kutoka CCM.

Note: Raisi bora anaweza kutoka CCM lakini kwa kofia ya upinani na si awe Raisi kwa ticket ya CCM.

Raisi anaeweza kubadili hii nchi ni lazima apate wasaidi kutoka nje ya CCM kwa maana ya watu kutoka upinzani ambao watakuwa na fikra na mitazamo tofauti.

Huwezi kufukua makaburi au kurekebisha mambo ukiwa umezungukwa na watu wale wale waliotufukisha hapa tulipo leo hii na ambao teyari wana masilahi au waliwahi kuwa na masilahi katika maeneo mengi.Unahitaji watu clean na hawa utawapata zaidi kutoka upinzani.
GREAT MY BRO, mtu lazima atke je ya ccm, maana yake huwezi toka ccm na ubadilishe taifa letu la, mtu atoke je ya ccm lakini pia anahitaji msaada mkubwa toka kwa wana ccm
 
Inasekemaka BM yuko nje ya nchi lakini ameshakubali kuwa ataenda kumuona KM Bashiru na kuitikia wito kwa masharti rahisi kuwa kwenye kikao hicho Musiba (kwenye burden of proof) atakuwepo aweke hizo evidence mezani. Tusubiri tujue yatakayojiri baada ya kikao hicho!
Bashiru na yeye ameyakataa hayo masharti ya Membe
 
Hiyo vita ipiganwe kwa uwezo wa mtu..sio mitandao ya kuneemeshana marafiki. Mtandao kama ule wa enzi uliwanufanisha wezi na wababaishaji. Wakaamua kugawana keki ya nchi kama wanagawana pipi.
Hakuna huruma wala nia ya kutafuta maendeleo ya wananchi.
Dr. Bashiru yuko sahihi...kama Membe anafaa, aache kujenga mtandao wa kulazimisha kuwa Rais. Si watu wanamtaka...I hope na Mwenyezi Mungu pia ameongea naye na kukubaliana, maana mwisho wa siku ndiyo atakayetupa kiongozi, tupende tusipende.
Siasa za mitandao haziepukiki
 
Magu hafai hivyo yoyote anaempinga anastahili kuungwa mkono iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.Hata hivyo, Raisi bora hawezi kutoka CCM.

Note: Raisi bora anaweza kutoka CCM lakini kwa kofia ya upinani na si awe Raisi kwa ticket ya CCM.

Raisi anaeweza kubadili hii nchi ni lazima apate wasaidi kutoka nje ya CCM kwa maana ya watu kutoka upinzani ambao watakuwa na fikra na mitazamo tofauti.

Huwezi kufukua makaburi au kurekebisha mambo ukiwa umezungukwa na watu wale wale waliotufukisha hapa tulipo leo hii na ambao teyari wana masilahi au waliwahi kuwa na masilahi katika maeneo mengi.Unahitaji watu clean na hawa utawapata zaidi kutoka upinzani.
Nashawishika na mawazo kama haya kwa kumbukumbu ya nini CCM ilivyo na iliyowahi kututendea wana TZ. Tatizo langu kubwa ni huo upinzani, upi? Sioni yoyote anayeweza kuwa governor. Chama kipi. CHADEMA wangekuwa serious ningewaunga mkono kwa sasa, lakini aliye serious asingeweza kumpa nafasi Lowasa dakika za mwisho. Lowasa aliyekuwa hakubaliki ktk jamii isipokuwa CCM tu! Mbowe is just a playboy, unscrupulous and ignorant posing reasonable.

CUF imeshaharibikiwa, ACT hakipo, kuna Zitto tu sawa na TLP ya Mrema na NCCR ya Mbatia. Hii ndiyo inaturudisha CCM kwa akina Membe, Mwandosya, and the likes.

Btw, sababu ya kusema Magufuli hafai ni ipi? wanaosema hawajaonyesha nini hasa kinakosewa. Au ni siri ya kila mtu na machungu yanayompata? Hizo hisia kwamba ndani ya CCM mambo yanafukuta zinatoka wapi wakati hakuna kikao ambacho hakitaongozwa na Magufuli?
 
Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.
Mkuu umenena kweli,tatizo litakuja hicho unachodai as the solid evidence that Bashiru bears, is it a recorded evidence? written? heard? or read?
Ndo maana Membe alimtaka Bashiru,siku akija kuhojiwa awepo Musiba,ahojiwe Musiba ili approve,je?! Bashiru ana ushahidi gani wa kum convict Membe? hapo ndo kwenye utata.
Kingine ni kwamba,Jiwe knows all plots to oust him in 2020,so he'll not accept defeat,he will be obliged to kill so many people whom he suspects they're behind that plot, because he's still in power and he has authorities in all forces
 
Ah Acha kutulisha matango pori bwana
Membe ni kada wa ccm, na katiba inasema uraisi mwisho ni miaka mitano then unaomba Tena.

Membe na mwingine yoyote Ana haki ya kujipanga au kujiandaa kwa kama anaitaji kugombea

Miaka yote iko hivyo na itaendelea Kuwa hivyo so Membe yuko on the right truck
Mkuu tunaomba kifungu hicho maana kuna wengine wanasema rais aliyepo madarakani ndiyo huyo huyo atagombea tena kwa awamu ya pili
 
Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.
Chahali cku hizi una nini kaka
Hueleweki hata ukiandikacho yan
Hebu fanya hili andiko liwe Substantiave kdg kwa japo vinyama nyama kadhaa hivi.
 
Nakumbuka hata JK alikuwa anachukiwa na kikundi kilichomuita one term president..huwa hawakosi hao..na hicho ndio kinaimaliza chadema kila siku wanapeana adhabu..wengi hawamtaki mbowe
 
Acha mcharuko wewe JPM FOR LIFE WALAHI

Anaweza kuwa na nia njema lkn mtizamo wake wa kutupeleka huko anapotaka sijauelewa ( ni kama anaharibu kwanza na kuanza kusuka upya na hapa anacheza pata potea na muda sio rafiki labda awe king’ang’anizi baadae ) sijui labda tutakuja kumuelewa baadae kwa upande wangu miaka yake hii sijui mitatu na ushee sijamsoma falsafa yake zaidi kujinasibu hayo ma ndege, hiyo reli lkn uchumi wa mtu mmoja mmoja na mambo ya ajira hakuna la maana lililofanyika
 
Magu hafai hivyo yoyote anaempinga anastahili kuungwa mkono iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.Hata hivyo, Raisi bora hawezi kutoka CCM.

Note: Raisi bora anaweza kutoka CCM lakini kwa kofia ya upinani na si awe Raisi kwa ticket ya CCM.

Raisi anaeweza kubadili hii nchi ni lazima apate wasaidi kutoka nje ya CCM kwa maana ya watu kutoka upinzani ambao watakuwa na fikra na mitazamo tofauti.

Huwezi kufukua makaburi au kurekebisha mambo ukiwa umezungukwa na watu wale wale waliotufukisha hapa tulipo leo hii na ambao teyari wana masilahi au waliwahi kuwa na masilahi katika maeneo mengi.Unahitaji watu clean na hawa utawapata zaidi kutoka upinzani.

Inawezekana hafai never humwezi kumtoa abadani
 
Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.
Kamba tu hizi, ushahidi ndo kutoka kwa Musiba? Au haujui maana ya ushahidi?

Kungekuwa na hicho unachokiita ushahidi, unadhani taarifa zingetokea kwako?
 
MB anataka kulazimisha zitumike evidence za Musiba sababu anajua mapungufu yake, Evarist Chahali hapa anamaanisha kwamba uwezekano wa KM kuwa na very strong evidences ni mkubwa sana.

So BM ajiandae
Membe alianza humu kwa kutumia mashabiki uchwara aliowapandikiza,sasa kaanza kujinyea na kutaka eti awepo na Musiba,kama huu si ujinga wa hali ya juu ni nini?nilidhani Membe ana akili kumbe ni mzito kama papai bichi anashindwa kureason,yeye kama aliona Musiba anamchafua kwanini alikaa kimya,ikumbukwe Membe ni mtu mzito ,kwanini apuuze eti Musiba anamchafua,anayoyafanya sasa Membe sawa na wale waliotajajwa orodha ya mafisadi pale Mwembechai,wakajifanya wataenda mahakamani kwa kuchafuliwa hadi leo hakuna aliyeenda.Haiwezekani jambo zito kama hilo utajwe halafu ukae kimya,Membe kawa kama Zitto ,Musiba sio mjuinga kama nyumbu wa ile saccos wanayotaka kuamini,kwa Musiba watapa taabu sana na mwisho Dr Bashiru sio mjinga pia,Membe kajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe,namkumbuka Mudhihiri Mudhihiri alivyomuita Joka la Mudimu,kwa wale wanaojua Joka la Mudimu tabia zake ndio hizo tabia za Membe ,Mudhihiri Mudhihiri hakukosea hata kidogo
 
Back
Top Bottom