Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.
Sasa mna mwita waziri mzima na habari za magazeti huna ushahidi wowote wa maana. Hii ni kujishisha kama katibu mkuu. Vilevile kama Magufuli kweli anapendwa hivyo uoga wa nini kama anafanya makubwa kama mnavyosema na Watanzania wanafurahia.
 
Upinzani wamefanikiwa jambo moja kubwa, nalo ni kukufanya UKARIRI upuuzi huu uliondika hapa JF bila kuhoji au hata kujua swali linasema nini? YES, CCM wameiba kwa miaka 41 fanya 50 kabisa, sasa mbadala wake ni upi? Upinzani ambao kwa miaka 20 wamekula rukuzu yote hata ofisi hawa, na wewe kipoozeo chao unakazana kusema wamepata wanachama wengi? Idiot!
Taja ofisi ya ccm waliojenga kwa miaka 41 ukitoa ccm Dodoma walizokwapua fedha wa wastaafu
 
A LETHAL PERSON can smell out a person's strenghts and weaknesses in a matter of minutes, but what they can sense most of all, what their bodies are most attuned to, is the scent of fear. I would categorize Benard Membe as one of them.[emoji53]

There is alot of "tension & fear" in the ATMOSPHERE at the moment (LUMUMBA), in time they will reach out a final verdict.[emoji18]

Yajayo 2019/2020 yatafurahisha sana.
Utakuja kutekwa shauri yako
 
One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Kwa haraka haraka tu simkubali Jiwe katika mambo ya Demokrasia tu lakini hadi sasa sioni mbadala wake kwa mambo mengine. Nasubiria nione dalili serious kabisa za Magufuli kuonyesha kwamba hatagombea 2020 na nione akina nani wamejipanga kumrithi ndio tutumie kalamu na vichwa kuonyesha kwamba kama tunamuacha Magufuli basi tunafikiria kwa kutumia kwato. This time Kazi hiyo tutaifanya sawa sawa!
 
Utakuja kutekwa shauri yako
Uzuri tunayoongea ni vitu vilivyo WAZI KABISA mkuu, ni uhalisia na haihitaji hata CHETI CHA FORM 4 kuyaona na kuelewa.

Ningeshauri watekane wanao tengeneza hizi movie (wachezaji na makocha), sisi ni watazamaji tu.[emoji18] [emoji53]
 
Ukitekwa sijui nani atakayeilisha familia yako?

Ubaya zaidi hata sijafikia umri wa kuoa. [emoji18] [emoji53]

Ila, wana JF sambamba na WANA VYUO nchi nzima, bila kusahau VYUO VIKUU kwenye nchi za wenzetu (tulipo enda kukusanya madesa) na wanaonijua, najua mtapambana kunitafuta kwa AMSHA AMSHA za kuandika NYUZI za mabango tele.[emoji817]
 
Bado unakaa kwenu sio?
 
Dogo unasemaje ? Shauri lako.
 
Haya kumekucha
IMG-20181201-WA0018.jpg
 
Sidhani kama hiii ni hoja, muhimu ni kuwa atoke tu 2020 basiiiii.
 
Inasekemaka BM yuko nje ya nchi lakini ameshakubali kuwa ataenda kumuona KM Bashiru na kuitikia wito kwa masharti rahisi kuwa kwenye kikao hicho Musiba (kwenye burden of proof) atakuwepo aweke hizo evidence mezani. Tusubiri tujue yatakayojiri baada ya kikao hicho!
kaka uliamini ule upupu? Lile amdiko sio level ya Membe.... Nisingeliamini kabisaaaa
 
Magu hafai hivyo yoyote anaempinga anastahili kuungwa mkono iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.Hata hivyo, Raisi bora hawezi kutoka CCM.

Note: Raisi bora anaweza kutoka CCM lakini kwa kofia ya upinani na si awe Raisi kwa ticket ya CCM.

Raisi anaeweza kubadili hii nchi ni lazima apate wasaidi kutoka nje ya CCM kwa maana ya watu kutoka upinzani ambao watakuwa na fikra na mitazamo tofauti.

Huwezi kufukua makaburi au kurekebisha mambo ukiwa umezungukwa na watu wale wale waliotufukisha hapa tulipo leo hii na ambao teyari wana masilahi au waliwahi kuwa na masilahi katika maeneo mengi.Unahitaji watu clean na hawa utawapata zaidi kutoka upinzani.
hakuna mtu aliekuwa clean broo
 
Back
Top Bottom