Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 4,046
- 3,049
Huyu Membe anacheza na umeme wa grid ya taifa
Siasa za mitandao haziepukiki
Membe hafai kuwa kiongozi wa nchi wahindi na wachina na waarabu watamiliki nchi uyo anautaka urais kutimiza matamanio tu
Alafu ume quote Uzi ?Jiwe atoke, huna cha maana unachoandika
Hawa watu wanaamini Bashiru au musiba hawana taarifa sahihi kuhusu Membe. Huyo Membe hana ubavu wwt wa kusumbuana na BashiruMembe alianza humu kwa kutumia mashabiki uchwara aliowapandikiza,sasa kaanza kujinyea na kutaka eti awepo na Musiba,kama huu si ujinga wa hali ya juu ni nini?nilidhani Membe ana akili kumbe ni mzito kama papai bichi anashindwa kureason,yeye kama aliona Musiba anamchafua kwanini alikaa kimya,ikumbukwe Membe ni mtu mzito ,kwanini apuuze eti Musiba anamchafua,anayoyafanya sasa Membe sawa na wale waliotajajwa orodha ya mafisadi pale Mwembechai,wakajifanya wataenda mahakamani kwa kuchafuliwa hadi leo hakuna aliyeenda.Haiwezekani jambo zito kama hilo utajwe halafu ukae kimya,Membe kawa kama Zitto ,Musiba sio mjuinga kama nyumbu wa ile saccos wanayotaka kuamini,kwa Musiba watapa taabu sana na mwisho Dr Bashiru sio mjinga pia,Membe kajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe,namkumbuka Mudhihiri Mudhihiri alivyomuita Joka la Mudimu,kwa wale wanaojua Joka la Mudimu tabia zake ndio hizo tabia za Membe ,Mudhihiri Mudhihiri hakukosea hata kidogo
msweety, wewe ni sweet kabisaKweli madaraka matamu. Jiwe alisema urais ni kazi ngumu na anatamani atoke,Leo amesikia kuna mtu anataka kumpokea kijiti,wanapagawa.
Magu hafai hivyo yoyote anaempinga anastahili kuungwa mkono iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.Hata hivyo, Raisi bora hawezi kutoka CCM.
Note: Raisi bora anaweza kutoka CCM lakini kwa kofia ya upinani na si awe Raisi kwa ticket ya CCM.
Raisi anaeweza kubadili hii nchi ni lazima apate wasaidi kutoka nje ya CCM kwa maana ya watu kutoka upinzani ambao watakuwa na fikra na mitazamo tofauti.
Huwezi kufukua makaburi au kurekebisha mambo ukiwa umezungukwa na watu wale wale waliotufukisha hapa tulipo leo hii na ambao teyari wana masilahi au waliwahi kuwa na masilahi katika maeneo mengi.Unahitaji watu clean na hawa utawapata zaidi kutoka upinzani.
Membe alianza humu kwa kutumia mashabiki uchwara aliowapandikiza,sasa kaanza kujinyea na kutaka eti awepo na Musiba,kama huu si ujinga wa hali ya juu ni nini?nilidhani Membe ana akili kumbe ni mzito kama papai bichi anashindwa kureason,yeye kama aliona Musiba anamchafua kwanini alikaa kimya,ikumbukwe Membe ni mtu mzito ,kwanini apuuze eti Musiba anamchafua,anayoyafanya sasa Membe sawa na wale waliotajajwa orodha ya mafisadi pale Mwembechai,wakajifanya wataenda mahakamani kwa kuchafuliwa hadi leo hakuna aliyeenda.Haiwezekani jambo zito kama hilo utajwe halafu ukae kimya,Membe kawa kama Zitto ,Musiba sio mjuinga kama nyumbu wa ile saccos wanayotaka kuamini,kwa Musiba watapa taabu sana na mwisho Dr Bashiru sio mjinga pia,Membe kajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe,namkumbuka Mudhihiri Mudhihiri alivyomuita Joka la Mudimu,kwa wale wanaojua Joka la Mudimu tabia zake ndio hizo tabia za Membe ,Mudhihiri Mudhihiri hakukosea hata kidogo
We jamaa ni K.I.A.Z.IMie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.
Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.
Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.
Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.
But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.
Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.
Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.
How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.
Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.
One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.
Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.
Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Jiwe hana back up...juzi kamchokonoa BWM kwenye korosho...watoto wa goli la mkono February na pacha wake wamesusa..msomali katoka nduki...sasa huyu Bashiru wa CUF ana nguvu gani kwa wafaidhina???option aliyobaki nayo mtutu huku "wathungu" wakimzoom kwa mbaliNdugu yangu wee kwanini unapenda kujidanganya hivi? Asivuke kwa nini? (nimesoma mawazo yako ndiyo maana nimeuliza hivi). Kuna tishio kuliko lile la Lowassa 2015? Kama alitulizwa kama tui la nazi ni nini kitakachofanya hata wamwogope Membe kiasi cha kutaka kumwondoa?
mbona mna discuss kama mmetoka mars vile!!!hivi ni nani angeamini kwamba lowasa siyo raisi leo hii?kolimba aliishia wap na mabadiliko yake??hivi tulitegemea mpaka leo nkurunzinza awepo madarakani bado??nchi za kiafrika bado kwenye demokrasia kutumia faulo kwenye chaguzi ni kawaida tu hata akifa mtu watu awajali hali mradi wamepata walichotaka.Membe wameshamuweka kati kitambo. Bora awe mjinga ajipange kivingine. Ameshindwa namna ile ile alivyomshindwa Lowasa.