Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

Mh ataendelea kuwa raisi tu hizi za kina BM na KM ni drama tu
 
CCM ilichofanya kwa miaka 41 Ni kupora Mali za wote kuwa zake.Bado haikutosheka, ikaamua kugawa rasilimali za nchi kwa Wazungu na Wachina. Upinzani umejijenga na kuwa na wanachama wanaoizidi CCM na kuisambaratisha kwenye medani ya siasa, mwisho ikaiachia polisi siasa!!!

Upinzani wamefanikiwa jambo moja kubwa, nalo ni kukufanya UKARIRI upuuzi huu uliondika hapa JF bila kuhoji au hata kujua swali linasema nini? YES, CCM wameiba kwa miaka 41 fanya 50 kabisa, sasa mbadala wake ni upi? Upinzani ambao kwa miaka 20 wamekula rukuzu yote hata ofisi hawa, na wewe kipoozeo chao unakazana kusema wamepata wanachama wengi? Idiot!
 
Na mkumbuke huyu jamaa alikimbia Nchini kipindi cha kikwete na Membe akiwa kiongozi mwandamizi wa Serikali inawezekana Membe alichangia huyu jamaa kukimbia so analipa kisasi kwa kumchafua.
Na sitoshangaa ikitokea wakabaki wagombea wawili let say Membe na Jiwe huyu jamaa yupo radhi kumkampenia Jiwe kama alivyofanya 2015 zidi ya Lowassa. Jamaa ana chuki sana na wote waliokuwa kwenye Utawala wa Kikwete.
✔✔✔✔
 
Kwahiyo wewe katiba iko sawa
mungu wako atakupa ushindi
Kwa mipango hiyo kila la kheri boss

Ili uelewe ndugu, read my writing between the lines...

Mimi sikatai wala kukubaliana na maoni yako....

Lakini, nimejaribu tu kukumbusha kuwa pamoja na kuamini na kudhani kwako hivyo, zipo possibilities zingine nyingi tu....

Siyo lazima yatokee yaliyowatokea kina Kolimba ama Lowassa...!!

Maana lazima ujiulize swali rahisi tu hili....

Kwamba, kama CCM hushinda kwa katiba hii hii, ni kwanini isiwezekane kushindwa kwa katiba ileile??

Kama kuna kuishi (uhai) kwa kila mtu, kwa nini wewe usiamini kuwa kuna kufa pia kwa kila mtu ama jambo?

Sina hakika kama unanielewa..
 
Upinzani wamefanikiwa jambo moja kubwa, nalo ni kukufanya UKARIRI upuuzi huu uliondika hapa JF bila kuhoji au hata kujua swali linasema nini? YES, CCM wameiba kwa miaka 41 fanya 50 kabisa, sasa mbadala wake ni upi? Upinzani ambao kwa miaka 20 wamekula rukuzu yote hata ofisi hawa, na wewe kipoozeo chao unakazana kusema wamepata wanachama wengi? Idiot!
Hebu nielekeze juu ya vyama vya upinzani kule Malawi, Zambia na Kenya ambavyo vinaongoza nchi kwa sasa vilikuwa na majengo ya aina gani kama ofisi na walizijenga muda gani? Yaani wewe kitarasa ili chama kiwe makini lazima kiwe na jengo kuuubwa! Hebu jitafakarishe kidogo kisha urejee historia ya TANU enzi za kugombea kama walikuwa na ofisi za maana! Uzuzu mwingine ni zaidi ya sgr
 
KWANI jiwe linateseka?Nani kamwambia Ana hati miliki ya kuongoza nchi aliyoipata kwa ngekewa?

Si amefanya kuuokota tuh?then kinachostaajabisha NI vile kujiona kuwa Ana akili na mjuzi kuliko mtanzania yeyote yule
 
Jiwe hana back up...juzi kamchokonoa BWM kwenye korosho...watoto wa goli la mkono February na pacha wake wamesusa..msomali katoka nduki...sasa huyu Bashiru wa CUF ana nguvu gani kwa wafaidhina???option aliyobaki nayo mtutu huku "wathungu" wakimzoom kwa mbali
Hadithi za kijiweni siku zote huwa zinaliwaza.
 
Magu hafai hivyo yoyote anaempinga anastahili kuungwa mkono iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.Hata hivyo, Raisi bora hawezi kutoka CCM.

Note: Raisi bora anaweza kutoka CCM lakini kwa kofia ya upinani na si awe Raisi kwa ticket ya CCM.

Raisi anaeweza kubadili hii nchi ni lazima apate wasaidi kutoka nje ya CCM kwa maana ya watu kutoka upinzani ambao watakuwa na fikra na mitazamo tofauti.

Huwezi kufukua makaburi au kurekebisha mambo ukiwa umezungukwa na watu wale wale waliotufukisha hapa tulipo leo hii na ambao teyari wana masilahi au waliwahi kuwa na masilahi katika maeneo mengi.Unahitaji watu clean na hawa utawapata zaidi kutoka upinzani.
Unaweza kuwa hujitambui na hutambui unachosema, Membe akiwa rais kwa kofia ya upinzani ndio atatufanya kwa jinsi alivyozungukwa na wahuni?

Mnaojifanya wajuaji ndio mnatuchelewesha
 
Ha ha ha ha ha,huyu mtu wetu wa kitengo bana.ila mkuu me nina swali kidogo ambalo ni nje ya mada.

Kwa mujibu wa wasifu wako ambao wewe mwenyewe umetumwagia humu, hivi unashindwa nini kufungua ofisi yako yako ya PI (private investigator) huko ulipo ili upige mahela,badala ya kukalia kupiga porojo kwenye mitandao ya kijamii?kwa kuzingatia CV yako jombaaa najua kabisa huwezi ukakosa vibali vya kupiga kazi,ukizingatia ishu kama hizo huko ulipo ni deal.
PI hawezi huyu ni mjanja mjanja tu kwa wabongo ambao wamezama kwenye siasa
 
2020 Jiwe is out, haijalishi atatolewa na nani....... Huwezi kuja na liroho lako la kishetani uharibu ndoto za mamilioni ya watu kwa miaka kumi...... Khaaa we ni nani by the way!!!!!!!!!!!
Mliotumbuliwa vyeti feki mna hasira sana

Hatuwezi kuacha rais wetu Magufuli kwa akili ya wapumbavu kama nyinyi
 
Tangu mumtusi Mzee wetu Lowassa na mwisho mkamwita kamanda kwenu hakuna asiefaa.

Magu hafai hivyo yoyote anaempinga anastahili kuungwa mkono iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.Hata hivyo, Raisi bora hawezi kutoka CCM.

Note: Raisi bora anaweza kutoka CCM lakini kwa kofia ya upinani na si awe Raisi kwa ticket ya CCM.

Raisi anaeweza kubadili hii nchi ni lazima apate wasaidi kutoka nje ya CCM kwa maana ya watu kutoka upinzani ambao watakuwa na fikra na mitazamo tofauti.

Huwezi kufukua makaburi au kurekebisha mambo ukiwa umezungukwa na watu wale wale waliotufukisha hapa tulipo leo hii na ambao teyari wana masilahi au waliwahi kuwa na masilahi katika maeneo mengi.Unahitaji watu clean na hawa utawapata zaidi kutoka upinzani.
 
Magu hafai hivyo yoyote anaempinga anastahili kuungwa mkono iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.Hata hivyo, Raisi bora hawezi kutoka CCM.

Note: Raisi bora anaweza kutoka CCM lakini kwa kofia ya upinani na si awe Raisi kwa ticket ya CCM.

Raisi anaeweza kubadili hii nchi ni lazima apate wasaidi kutoka nje ya CCM kwa maana ya watu kutoka upinzani ambao watakuwa na fikra na mitazamo tofauti.

Huwezi kufukua makaburi au kurekebisha mambo ukiwa umezungukwa na watu wale wale waliotufukisha hapa tulipo leo hii na ambao teyari wana masilahi au waliwahi kuwa na masilahi katika maeneo mengi.Unahitaji watu clean na hawa utawapata zaidi kutoka upinzani.
Kumbuka pia Lowassa ni mtu yule yule miongoni mwa watu wale wale waliotufikisha kule tulipokua (maana mimi siamini kama bado tupo huko kutokana na mabadiliko makubwa yaliyofanyika kwa watu na mfumo ). Lakini cha kushangaza alipokuja upinzani akaaminiwa na kukabidhiwa kijiti. Sasa kuna tofauti gani kati ya watu mnaowanyooshea vidole na nyinyi? Au tatizo ni chama? Ukiwa chama kile mbaya na hufai. Ukiwa chama hiki wewe ndo mwenyewe unaefaa. Bora mchawi kuliko mtu mnafiki.
 
Kanuni isiyo rasmi ya CCM ni kuwa raisi aliyepo hatapingwa kwa kipindi cha uongozi wake cha miaka10,inaonekana wewe ni wa SACCOS ya Kilimanjaro,hebu tueleze ni yupi aliywahi kupingȧ akiȧ katika uongozi wake?au mumemsahau Mzee Malechela kiwa waziri mkuu alipowajia juu wale waliotaka kumpinga aliye madarakani,unamkumbuka mzee Mnasa wa Musoma na kilichompata,ya CCM waacie CCM wenyewe,Membe anataka kuleta vurugu kwa uroho wake,na uroho wake ndio uliompa kura aliyepo sasa na hawezi pata tena hiyo nafasi.

Naomba nikuulize swali
Hivi yale mambo ya urais miaka kumi anatoka bara na miaka 10 anatoka zanzibar yaliishiaga wapi?

Rais mmoja alisema hakuna sehemu ilikoandikwa kuwa bara tutapokezana na zanzibar
So hata hilo ambalo unaongea hakuna sheria wala hakuna sehemu imeandikwa
 
Yaani kupoteza muda hapa kudhani CCM itamtosa Magufuli 2020, Forget.

Nilidhani wapinzani wange focus juu ya namna ya kushiriki na kushinda uchaguzi 2020 badala ya kuanza kujadili ya Membe ambaye hata afanyeje, hawezi kumwangusha Magufuli ndani ya CCM come 2020. It is a wastage of time.

Wapinzani mnayo mengi sana ya kushinikiza yafanyiwe ammendment kabla ya uchaguzi. achaneni na Membe, alishapoteza mwelekeo ndani ya chama chake hawezi badilisha utaratibu wa chama wa kuhakikisha Mwenyekiti anamaliza vipindi viwili.
 
Back
Top Bottom