beberu la mtaa
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 682
- 1,665
kwa mujibu wa Mh katibu mkuu sio suala la kugombea uraisi ila anataka kumkwamisha mh raisi, ova
Mkuu naomba kama kuna link juu ya tuhuma hizo alizozitoa Musiba ili nijisomeeKatika jambo ambalo unashindwa katika hoja zako ni kuficha hisia dhidi ya adui yako , wewe na membe ni sawa kabisa katika hilo
Watanzania walio wengi wameanza kujua hujuma za membe (Japo ni tuhuma) toka kwa Musiba , na kupitia Musiba huyo ndio Dr Bashiru kamuita Membe
Kiufupi ,Musiba ana taarifa sahihi kabisa kuliko wewe na Musiba ni whistleblower tu , wanaomtuma wameanza kujitokeza na wameshajulikana
Hayo mengine ni porojo tu
.lissu alisema akimalizana na sisi anakuja kwenu, naona anaingia sasa rasmi ndani ya CCMA LETHAL PERSON can smell out a person's strenghts and weaknesses in a matter of minutes, but what they can sense most of all, what their bodies are most attuned to, is the scent of fear. I would categorize Benard Membe as one of them.[emoji53]
There is alot of "tension & fear" in the ATMOSPHERE at the moment (LUMUMBA), in time they will reach out a final verdict.[emoji18]
Yajayo 2019/2020 yatafurahisha sana.
😂😂✌✌✌Kweli madaraka matamu. Jiwe alisema urais ni kazi ngumu na anatamani atoke,Leo amesikia kuna mtu anataka kumpokea kijiti,wanapagawa.
Umri haubebi dhana yoyote mpya katika uongozi, tumeshuhudia marais wenye umri mkubwa lakini wana hekima na uwezo wa kuongoza na wanamaono. Pia tumeshuhudia marais wenye umri mkubwa ila hawana hekima wala busara za uongozi na the same applies kwa marais vijana. Nenda Malaysia au india viongozi wao wote ni wa umri mkubwa ila wanafanya kazi nzuri sana tu.Ni kweli mkuu unachosema lkn sijasema umri peke yake ndo uwe kigezo kikubwa nimeweka na vingine na umri pia kwa maana ya kubeba dhana mpya ktk changamoto za kisasa
For your info, ni same gentlemen are in control, huyo membe ni upepo upitao tu.Waliomtuliza Lowasa ni magentleman hawa wa sasa ni very rough
Mtandao kama ule wa enzi uliwanufanisha wezi na wababaishaji. Wakaamua kugawana keki ya nchi kama wanagawana pipi.
Nakubaliana na wewe BM hawezi kuthubutu kurudiYale ni maneno tu, BM harudi.
JIWE NDIYO RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MPAKA 2025 PERIOD.
Kwa Lowassa ilikua so suddenly mkuu , mpia mshika mpini hakuwa kichaa.Ndugu yangu wee kwanini unapenda kujidanganya hivi? Asivuke kwa nini? (nimesoma mawazo yako ndiyo maana nimeuliza hivi). Kuna tishio kuliko lile la Lowassa 2015? Kama alitulizwa kama tui la nazi ni nini kitakachofanya hata wamwogope Membe kiasi cha kutaka kumwondoa?
One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.
Hii haifanani na ile nyingine, Katiba ya nchi na sheria zake, ambapo zinazoonekana hazifai zinawekwa pembeni kwa matakwa na amri ya mtu mmoja?Membe na mwingine yoyote Ana haki ya kujipanga au kujiandaa kwa kama anaitaji kugombea
Miaka yote iko hivyo na itaendelea Kuwa hivyo so Membe yuko on the right truck
Usipende vya bure Erythro, toa jasho, na hata damu uchukue nchi.Kuna kila dalili kwamba hii nchi TUTAJIOKOTEA tu huko mbele , hawa watu watamalizana muda si mrefu .
Hii haifanani na ile nyingine, Katiba ya nchi na sheria zake, ambapo zinazoonekana hazifai zinawekwa pembeni kwa matakwa na amri ya mtu mmoja?
Huko CCM wanalo jeshi na polisi litakalohakikisha matakwa yao yanakuwa kama wanavyopenda, kwa matakwa ya katiba yao?
Kama hawana vyombo hivyo, basi usibishe, kubali na yaishe. Twenty-Twenty, hakuna lolote jipya.
Walnteka huku hukuKutokuoa sio kukaa nyumbani, nipo nazunguka zunguka tu kutafuta "Ugali & Elimu" kwa wenzetu huku.[emoji18]
Soon namaliza Degree ya tatu tena.
Mkuu Chahali, asante kwa hii kitu, ulianza vizuri kwa hoja zako, ila hapo mwishoni kwenye last thing kuhusu kinachoendelea ndani ya CCM, ukaharibu..
One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.