Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.

Ha ha ha ha ha,huyu mtu wetu wa kitengo bana.ila mkuu me nina swali kidogo ambalo ni nje ya mada.

Kwa mujibu wa wasifu wako ambao wewe mwenyewe umetumwagia humu, hivi unashindwa nini kufungua ofisi yako yako ya PI (private investigator) huko ulipo ili upige mahela,badala ya kukalia kupiga porojo kwenye mitandao ya kijamii?kwa kuzingatia CV yako jombaaa najua kabisa huwezi ukakosa vibali vya kupiga kazi,ukizingatia ishu kama hizo huko ulipo ni deal.
 
Hivi ndugu zangu Watanzania nafikiri ni muda wa kuangalia damu mpya na 'at least' vijana hivi kuwapa nao nchi hawa kina Membe sijui nani ni sawa wazuri lkn muda pia unawatupa na wameisha hudumu sana kwenye ofisi za umma

Sioni haya majina yakihusishwa na 2020 au 2025

January, Zito,Nape, Lissu,Mwigulu,Nyarandu,Mtaka, Bashiru na watakao jitokeza huko mbeleni wa kariba na umri huo wa kati

Kina Membe ndo wametufikisha hapa na huyo jiwe hana exposure yoyote na ni mtu ameingia madarakani akiwa na mtizamo wa sisi wote wapigaji nae ni 'smartest guy in the house' hapo tutafika kweli tuje na watu wapya na mitizamo mipya
Bashiru !!!!? Awe nani?
 
Siasa za mitandao haziepukiki
Ukisema haziepukiki ni sawa na kusema ujinga hauepukiki. Mtindo huo ulianzisshwa na mtu mjinga na akaweza kuwa rais kwa ujinga huo huo. Baadhi ya watu wakanufaika na hawaoni sababu ya kutumia uelewa ktk uongozi na haya tuiyaonayo ndo matokeo yake.

Kikwete aliendesha nchi kiujinga kwa mtandao. Wana mtandao wengi wakiwa ni watu wa hovyo wakapata nguvu kwa miaka na sasa hawaamini kama wamepokonywa nguvu hizo. Mkapa aliwekwa kando na mara nyingi akijitokeza anazomewa, akajificha na ujinga ukatawala nchi.

Naombea sana Magufuli adumu ili watu waelewe maana ya nchi na utawala. Baada ya vipindi viwili ndo tutafahamu ujinga na welevu ni kipi kizuri
 
Naona ushapata mwanya wa kumuingia Kipilimba ..hivi ulisema Kipilimba kapanga nini juu yako hapo kitengo na kwamba kuna watu wametap maongezi yako na nani sijui

Ukaishia kumdhalilisha mzee wa watu ana kifafa ..kwani waliompa hiyo nafasi walikuwa hawalijui hili ?
Kulikuwa na sababu gani ya kuwa personal kiasi hiki ? Umepata nini baada ya kusema ana kifafa ?

Kwani Kipilimba kwenye harakati zake kuna sehemu kakutuhumu kuwa wewe ni bwabwa ? Mbona hizi rumours zipo ?
Yaani wewe jamaa nakushangaa unavyojiona kitengo kizima hakuna kama wewe ,kwani wewe umefanya nini nchi hii zaidi ya Kina Zoka,Madafa,Mahiga ,OR etc ?

Ishu zako personal pambana nazo mwenyewe ,yaani kale ulipo peleka mboga
 
Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

NA HIZO TUHUMA ALIZOTOA BASHIRU JANA SIO ZA KUTUNGA. NA HAZIKUTOKANA NA TUHUMA ZA AWALI KUTOKA KWA MUSIBA. Na . Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.

Umeandika maneno takribani Elfu Moja na Miatano. Lakini essay yako ina madini kidogo sana. (Tena ni hayo niliyoya capitalize). Na hii ni Bila kuangalia kama yana ukweli au hayana. Mengine uliyoandika ni blah blah tu. As usual.
Mr. Blogger, Sikuhizi wewe sio Credible Source tena bali Ni mpiga porojo. Usieleweka Itikadi yako. Huu ni ukweli mchungu. Ukubali tu. Maana hakuna namna.
 
Ah Acha kutulisha matango pori bwana
Membe ni kada wa ccm, na katiba inasema uraisi mwisho ni miaka mitano then unaomba Tena.

Membe na mwingine yoyote Ana haki ya kujipanga au kujiandaa kwa kama anaitaji kugombea

Miaka yote iko hivyo na itaendelea Kuwa hivyo so Membe yuko on the right truck
Kanuni isiyo rasmi ya CCM ni kuwa raisi aliyepo hatapingwa kwa kipindi cha uongozi wake cha miaka10,inaonekana wewe ni wa SACCOS ya Kilimanjaro,hebu tueleze ni yupi aliywahi kupingȧ akiȧ katika uongozi wake?au mumemsahau Mzee Malechela kiwa waziri mkuu alipowajia juu wale waliotaka kumpinga aliye madarakani,unamkumbuka mzee Mnasa wa Musoma na kilichompata,ya CCM waacie CCM wenyewe,Membe anataka kuleta vurugu kwa uroho wake,na uroho wake ndio uliompa kura aliyepo sasa na hawezi pata tena hiyo nafasi.
 
Uzuri wa uzi huu haumnadi membe bali unaonyesha unafiki na mbinu zake chafu za kutaka kurudi. Hao waomuahidi na kumfadhili sio wa ndani kwa kodi hizi za sasa. Atawalipa nini?
Kuna watu wanadhani kuwa wao ndio " king makers" wa Tz.
Tz ya sasa ukija vibaya watu wanakuswalia kabla ya magharibi !
 
Hivi ndugu zangu Watanzania nafikiri ni muda wa kuangalia damu mpya na 'at least' vijana hivi kuwapa nao nchi hawa kina Membe sijui nani ni sawa wazuri lkn muda pia unawatupa na wameisha hudumu sana kwenye ofisi za umma

Sioni haya majina yakihusishwa na 2020 au 2025

January, Zito,Nape, Lissu,Mwigulu,Nyarandu,Mtaka, Bashiru na watakao jitokeza huko mbeleni wa kariba na umri huo wa kati

Kina Membe ndo wametufikisha hapa na huyo jiwe hana exposure yoyote na ni mtu ameingia madarakani akiwa na mtizamo wa sisi wote wapigaji nae ni 'smartest guy in the house' hapo tutafika kweli tuje na watu wapya na mitizamo mipya
Kwa akili yako unaona kabisa kwamba hilo ni kundi la kutawala binadamu? Mbona tumeshawajadili kwenye uzi mwingine? Hao ni kundi la vimtu vipuuzi fulani vile! Kama mtu unakuwa waziri na cha kwanza ni kutafuta mwanamke mzuri awe msaidizi wako, kesho ukiwa rais utafanya nini? Mwingine alishasema wamarekani wanamtaka awe rais, wa-TZ je wansemaje?

Tutulize akili tunapokuwa tunabanwa kisheria. Tusipende kusifiwa kwa urafiki au kuwa maarufu kwa urafiki na rais. Aliyebanwa jamani, awe mpole, afuate sheria, basi!
 
Ukisema haziepukiki ni sawa na kusema ujinga hauepukiki. Mtindo huo ulianzisshwa na mtu mjinga na akaweza kuwa rais kwa ujinga huo huo. Baadhi ya watu wakanufaika na hawaoni sababu ya kutumia uelewa ktk uongozi na haya tuiyaonayo ndo matokeo yake.

Kikwete aliendesha nchi kiujinga kwa mtandao. Wana mtandao wengi wakiwa ni watu wa hovyo wakapata nguvu kwa miaka na sasa hawaamini kama wamepokonywa nguvu hizo. Mkapa aliwekwa kando na mara nyingi akijitokeza anazomewa, akajificha na ujinga ukatawala nchi.

Naombea sana Magufuli adumu ili watu waelewe maana ya nchi na utawala. Baada ya vipindi viwili ndo tutafahamu ujinga na welevu ni kipi kizuri
Mkuu amini hivyo mitandao haiepukiki walibahatika mkapa na mwinyi kwa uzamini wa Mwalimu lakini.
 
Membe tuko pamoja nawe,gombania mwanawane tukupe nchi kwa kura
Nalog off
 
Wrwe
Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.[/QUOTE
Wewe na yule dada wa kule kwa Trump ni mapito. bibi na wajomba zenu milio waacha huku tunao huku tunaishi nao, shida zetu ni zao huzuni na furaha hamtaweza kuzisikia au kuhisi kwa kiwango zaidi yetu. Mnaleta kejeli mkituita makondoo na wajinga. Ukweli mnaujua. Inauma sana. Badilikeni direct or indirect hasa wewe.
 
Katika jambo ambalo unashindwa katika hoja zako ni kuficha hisia dhidi ya adui yako , wewe na membe ni sawa kabisa katika hilo

Watanzania walio wengi wameanza kujua hujuma za membe (Japo ni tuhuma) toka kwa Musiba , na kupitia Musiba huyo ndio Dr Bashiru kamuita Membe

Kiufupi ,Musiba ana taarifa sahihi kabisa kuliko wewe na Musiba ni whistleblower tu , wanaomtuma wameanza kujitokeza na wameshajulikana

Hayo mengine ni porojo tu
Jiwe atoke, huna cha maana unachoandika
 
NO WAY WALAHI
IT WILL NEVER HAPPEN WALAHI
LONG MAY HE REIGN JPM WALAHI
my SISTA ntakutafuta Nikukumbushe[emoji90] [emoji218] [emoji196] [emoji83] [emoji379] [emoji61]
 
Hu

Huu ukaribu wa Membe na rais ulianza lini hadi aweze kum influence rais amteue Dr. Kipilimba kua DG wa kitengo? Bahati nzuri tunajua wewe humpendi Kipilimba una bifu naye sijui alikukosea nini, so unayasema haya na kutumia kivuli cha Membe ili mh. Rais achukie amtoe Kipilimba kwenye kitengo ili wewe uchekelee
Usiseme tunajua sema NAJUA
 
Tatizo lako CHAHALI unaleta taaarifa kwa mdondo, lete taarifa yooote.
 
Back
Top Bottom