Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

Shida ni desturi zinapotaka kuwa sharia, Rais kipindi chake ni miaka mitano, sasa kuna shida gani watu au mtu akijiandaa kuwa Rais? Waachiwe watu wachague wanaeona anawafaa. Mimi binafsi sioni woga unatoka wapi wakati Jiwe anachapa kazi vizuri wengine watakuwa wanajipotezea muda wao. Hakuna haja ya kutafuta mchawi sasa hivi. Tumikia wananchi kwa nguvu zote watakurudisha tu kuwangoza.
 
Membe hafai hata kidogo kuwa rais wa nchi hii.....yaani hana tofauti kabisa na wapinzani wasiokuwa na dira yeyote ya uongozi. Aende ake tu huko anakokujuwa, hatumuhitaji hapa Tanzania.
 
Kwani kuwa na mpango wa kugombea ni kosa. Nchi si yetu sote
 
Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.
Kumbe nyie Alumni wa kitengo ni kweli kumbe kazi zenu ni za ccm tu, kufajya surveillance ya nani anagombea CCM nani atampinga mgombea??

You must be the worst form of intelligence unit in this world
 
ndo na mi nimejiuliza!
kwani ni kosa?
yani mpk kuwe na surveillance nini nini sijui, mara sijui concrete evidence!
KWANI NI KOSA?
ahhahahha waseme kama ni kosa tujue!
 
Kwa hiyo BM pia ndiye alimtoa Dr K pale BoT na kumpeleka NEC na baadae NIDA?

kwahiyo ndo kusema "jiwe"anajaribiwa wazi wazi!!!!!!
 
Back
Top Bottom