Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

Msisahau kwamba kutakuwepo na wagombea wengi sana watakaojitokeza tofauti na hawa wawili!?
 
******** worst president ever...saiv haelewani na majaliwa anatamani amtumbue hata kesho.
Hivi ili shetani tulilitolea wapi?
 
Mkuu Chahali, asante kwa hii kitu, ulianza vizuri kwa hoja zako, ila hapo mwishoni kwenye last thing kuhusu kinachoendelea ndani ya CCM, ukaharibu.

Japo ni rukhsa kudhania jambo lolote, lakini kwa mtu kwa mtu wa calibre yako kudhani hivyo ni too low for you. Hakuna harakati zozote za kumtafuta mrithi wa JPM, 2020 kwa sababu CCM tayari ina utaratibu wake wa ndani kuwa rais aliyepo haruhusiwi kupingwa, kabla hajakamilisha kipindi chake cha miaka 10. Hivyo hakuna fomu zozote za urais zitatolewa kwa mgombea mwingine yoyote, hivyo hakuna kitu kama hicho.
P
Ndio tuone kuwa Chahali ni propagandist tu. Anajua kutunga uongo na kutaka kuaminika kumbe ni poyoyo tu.
 
******** worst president ever...saiv haelewani na majaliwa anatamani amtumbue hata kesho.
Hivi ili shetani tulilitolea wapi?

Ukiitwa ukadhibitishe usije kusema serikali ya kidicteta
 
Hatutaki na hatuwezi kuendelea kufanya mazoezi ya kujaribia viongozi. Wenzetu wanasonga mbele sisi tunaendelea na staili za uongozi Wa Yanga na Simba. Hiyo michezo haikubaliki tena.
Kina Membe na genge lake....nani aliwaambia lazima wawe viongozi wetu?
Kwanini wasijiongoze huko waliko wanalazimisha mpaka wawe kwenye dola?

Ili wagawane tena rasilimali kama Tanzania wako wenyewe peke yao? Shame on them
 
Kina Membe na genge lake....nani aliwaambia lazima wawe viongozi wetu?
Kwanini wasijiongoze huko waliko wanalazimisha mpaka wawe kwenye dola?

Ili wagawane tena rasilimali kama Tanzania wako wenyewe peke yao? Shame on them

Kwani ambao wapo madarakani now hawakuwepo wakati Mali zinaibiwa?
 
Soma vizuri mchango wangu mimi nimejikita ktk kariba na ‘exposure’ pia umri ili kupata mtazamo mpya na nikasema ukitoa hao ambao nimewataja tunaweza kuwajadili pia na watakao jitokeza hapo baadae kwa kariba hiyo na umri huo na ‘exposure ‘

Pia hivi mtu kama Membe ( sijabeza uzoefu na exposure yake) ambae kahusika kwa karibu na na matokeo yoyote chanya au hasi ktk nchi hii ni kweli bado tunaweza rudi kumuona kama ni ‘best candidate’ ktk zama na wakati huu

Kwa Membe tunatengeneza ‘cycle’ ya visasi, ujuaji,kutambiana,umjini, na mambo kama hayo

Badala tuweke nguvu kwa watu watakao ‘liponya’ Taifa na mipasuko na pia kuja na mustakabali mpya sidhani Membe kama atakuwa mtu sahihi kwa nyakati hizi na narudia tena sijabeza ubobezi , uzoefu na taaluma yake lkn kumchagua ni kurudi nyuma na huu ni mtizamo wangu tu mkuu

Kina Membe na wengine wa kariba hiyo wabaki kama washauri tu kwa mambo ya Kitaifa
Boss! Wakati wa mchakato wa kupata mgombea wa CCM kulikuwa na hisia za kumpata kijana. Mchakato ukaruhusu zaidi ya wagombea 40, sijui kama walikuwa wana maana hiyo au waliamua kuchangia chama. hata mawe yaliandikwa majina ya wagombea!

Katika wote unaowaita vijana hakuna unayeweza kuona umahili wake au fikra bora alizonazo. Yaonekana kwa makuzi yetu, elimu yetu na mazingira yetu ni vigumu kumpata mtu wa aina ya Nyerere ambaye wakati anakuwa rais, angeweza kulala disco. Enzi hizi hadi wazee wnajiita vijana na mpaka mtu anakuwa rais bado analewa sifa za redioni na kujiita kijana. Bado ni mtu wa kutafutiwa akina dada na kupokea sifa za mavazi, naye anapenda sifa hizo. Tuko nyuma.

Neno exposure tangu uchaguzi uliopita bado halieleweki lina maana gani. Baadhi munalitumia kumaanisha kufika ulaya na amerika jambo ambalo ni upuuzi. Exposure ni nini? Sifa ya exposure ni trivial, non specific na hatuitaki! Weka mambo ya wazi. Nani kati ya damu mpya anaweza kusimamia maamuzi ya manufaa kwa Taifa na wananchi? Au ni hao ambao tunasikia wakipewa wizara tu, cha kwanza ni kuangalia mwanamke gani mzuri na kumuhamisha. Akina mama nao ni kushindana kuvaa, kutetana kwa miili yao, nk. badala ya substance vichwani.
 
Na mkumbuke huyu jamaa alikimbia Nchini kipindi cha kikwete na Membe akiwa kiongozi mwandamizi wa Serikali inawezekana Membe alichangia huyu jamaa kukimbia so analipa kisasi kwa kumchafua.
Na sitoshangaa ikitokea wakabaki wagombea wawili let say Membe na Jiwe huyu jamaa yupo radhi kumkampenia Jiwe kama alivyofanya 2015 zidi ya Lowassa. Jamaa ana chuki sana na wote waliokuwa kwenye Utawala wa Kikwete.
Kwa ufupi tu! Wakati wa Kikwete hatukuwa na utawala, kilikuwa ni kikundi cha watu wa misheni tauni. Mikogo na wizi wa wazi.
 
Back
Top Bottom