Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,963
Hatumuiti kajiita . Urais hata kina Doe walikuwa.Call him anything,but he will remain your President.
Hatumuiti kajiita . Urais hata kina Doe walikuwa.Call him anything,but he will remain your President.
🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐Hatumuiti kajiita . Urais hata kina Doe walikuwa.
kwan mwl. alikua na utaratibu gan???Utaratibu upi Mkuu
Utaratibu aliondoka nao Mwalimu tumebaki na maagizo na maigizo
unateswa na mawazo yako ya ajaabuHakuna kama jiwe ama sivyo maskini tutateseka sana
mi nadhan ukiwa mlaini sana huwez kumanage watu M45Hivi huyu rahisi tulienae ni mtanzania kweli? Tz haina kawaida kuwa na raia wenye ROHO MBAYA km huyu jamaa!
Sent from my HTC Desire 626 dual sim using JamiiForums mobile app
Katiba toka MweziniKwani serikali hii inatawala nchi hii kwa kutumia katiba gani?
Kama ipo na unaijua, then, jibu unalo basi...
Kwamba ni kwa hii hii unayoijua....
Amini usiamini, Bwana Mungu muumba wa mbingu na nchi atafanya njia pasipo na njia!!
Narudia tena, usikariri tu.
Siyo kila siku ilikuwa Jumapili iliyopita.
Ipo Juma2 nyingine inakuja na ni mpya kabisa...!!
Wewe umerogwa sio upinzani tu eanaomchukia jiwe, akikaa jiwe na sungura mie nachagua sunguraYaani kupoteza muda hapa kudhani CCM itamtosa Magufuli 2020, Forget.
Nilidhani wapinzani wange focus juu ya namna ya kushiriki na kushinda uchaguzi 2020 badala ya kuanza kujadili ya Membe ambaye hata afanyeje, hawezi kumwangusha Magufuli ndani ya CCM come 2020. It is a wastage of time.
Wapinzani mnayo mengi sana ya kushinikiza yafanyiwe ammendment kabla ya uchaguzi. achaneni na Membe, alishapoteza mwelekeo ndani ya chama chake hawezi badilisha utaratibu wa chama wa kuhakikisha Mwenyekiti anamaliza vipindi viwili.
Tuombe Mungu uzima. 2020 utaamua mwenyewe ni nani kati yangu na yako anayetumia ubongo kufikiri.Kwa Lowassa ilikua so suddenly mkuu , mpia mshika mpini hakuwa kichaa.
Ebu tumia ubongo kufikiria basi.
huo ni mtazamo wa nje lakin ukichimba kiundan utayakuta mambo ya ajabu kuzid ayaUsiwe mlaini, kuwa tu na akili basi.
Kuna nchi zina watu wengi zaidi ya Tz na zinaongozwa kistaarabu kabisa!
The right truck in the right track.Ah Acha kutulisha matango pori bwana
Membe ni kada wa ccm, na katiba inasema uraisi mwisho ni miaka mitano then unaomba Tena.
Membe na mwingine yoyote Ana haki ya kujipanga au kujiandaa kwa kama anaitaji kugombea
Miaka yote iko hivyo na itaendelea Kuwa hivyo so Membe yuko on the right truck
Mkuu Chahali, asante kwa hii kitu, ulianza vizuri kwa hoja zako, ila hapo mwishoni kwenye last thing kuhusu kinachoendelea ndani ya CCM, ukaharibu.
Japo ni rukhsa kudhania jambo lolote, lakini kwa mtu kwa mtu wa calibre yako kudhani hivyo ni too low for you. Hakuna harakati zozote za kumtafuta mrithi wa JPM, 2020 kwa sababu CCM tayari ina utaratibu wake wa ndani kuwa rais aliyepo haruhusiwi kupingwa, kabla hajakamilisha kipindi chake cha miaka 10. Hivyo hakuna fomu zozote za urais zitatolewa kwa mgombea mwingine yoyote, hivyo hakuna kitu kama hicho.
P
Atafukuzwa uanachama kwa utovu WA nidhamu !Hata kama ana mkakati wa kumng'oa SO WHAT?
Let it be kwani nchi ya mtu mmoja?
So katibu whatever his title is anataka kumziba Ben asiwe kiongozi au