Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.
Hamna jipya magufuli anajua ukweli wenu na harakati zenu za kumgombanisha na kipilimba ili mpate upenyo.
Shidah kubwa inayowatesa ni kutaka kumgombanisha na kipilimba kwa sababu mnajua ubora wake hamtopata nafasi.
This mission failed!
 
Magu hafai hivyo yoyote anaempinga anastahili kuungwa mkono iwe ndani ya CCM au nje ya CCM.Hata hivyo, Raisi bora hawezi kutoka CCM.

Note: Raisi bora anaweza kutoka CCM lakini kwa kofia ya upinani na si awe Raisi kwa ticket ya CCM.

Raisi anaeweza kubadili hii nchi ni lazima apate wasaidi kutoka nje ya CCM kwa maana ya watu kutoka upinzani ambao watakuwa na fikra na mitazamo tofauti.

Huwezi kufukua makaburi au kurekebisha mambo ukiwa umezungukwa na watu wale wale waliotufukisha hapa tulipo leo hii na ambao teyari wana masilahi au waliwahi kuwa na masilahi katika maeneo mengi.Unahitaji watu clean na hawa utawapata zaidi kutoka upinzani.
Hata achuguliwe nani kupitia CCM mtampinga kwa nguvu hii hii. Shortly siasa uchwara ...
 
Membe wameshamuweka kati kitambo. Bora awe mjinga ajipange kivingine. Ameshindwa namna ile ile alivyomshindwa Lowasa.
 
Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.
Katika jambo ambalo unashindwa katika hoja zako ni kuficha hisia dhidi ya adui yako , wewe na membe ni sawa kabisa katika hilo

Watanzania walio wengi wameanza kujua hujuma za membe (Japo ni tuhuma) toka kwa Musiba , na kupitia Musiba huyo ndio Dr Bashiru kamuita Membe

Kiufupi ,Musiba ana taarifa sahihi kabisa kuliko wewe na Musiba ni whistleblower tu , wanaomtuma wameanza kujitokeza na wameshajulikana

Hayo mengine ni porojo tu
 
Kweli madaraka matamu. Jiwe alisema urais ni kazi ngumu na anatamani atoke,Leo amesikia kuna mtu anataka kumpokea kijiti,wanapagawa.
Thubutu... JK nae alisema hivyo hivyo ana taka kupumzika... lakini bado wanufaika... una zani wakikatiwa yale mapensheni na mapochopocho kama marais wastaafu soon tuta wasikia wapo ukawa wana taka urais...!
 
Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.

Evarist wewe ni mtu wa Kitengo,halafu unamuita bosi wako jiwe,dah!Haya bwana tumekusikia.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaaaaaaaaaa, umepatwa na kupakatwaaaa. Pole aisee. Tujadili kuanzia 2025 na sio vinginevyo. Hakuna rangi mtaacha kuona sasa hivi looooh. Huruma sana. JPM hoyeeeeeeeeeeeeeeee
2020 Jiwe is out, haijalishi atatolewa na nani....... Huwezi kuja na liroho lako la kishetani uharibu ndoto za mamilioni ya watu kwa miaka kumi...... Khaaa we ni nani by the way!!!!!!!!!!!
 
Kizuri hata wewe zamu yako itafika. Keep my words!
 
Hivi ndugu zangu Watanzania nafikiri ni muda wa kuangalia damu mpya na 'at least' vijana hivi kuwapa nao nchi hawa kina Membe sijui nani ni sawa wazuri lkn muda pia unawatupa na wameisha hudumu sana kwenye ofisi za umma

Sioni haya majina yakihusishwa na 2020 au 2025

January, Zito,Nape, Lissu,Mwigulu,Nyarandu,Mtaka, Bashiru na watakao jitokeza huko mbeleni wa kariba na umri huo wa kati

Kina Membe ndo wametufikisha hapa na huyo jiwe hana ‘exposure’ yoyote na ni mtu ameingia madarakani akiwa na mtizamo wa sisi wote wapigaji nae akijifanya kama ni 'smartest guy in the house' hapo tutafika kweli tuje na watu wapya na mitizamo mipya
 
Mie nitakuwa mtu wa mwisho kumtetea Jiwe lakini ukweli shurti usemwe hata kama kusema ukweli huko kutamnufaisha Jiwe.

Background kidogo: unajua nani alimtambulisha Kipilimba kwa Jiwe? Membe. Why this matters? Hiyo ni mada ya siku nyingine ila conduit ya kinachoendelea kwa Jiwe kumfikia Membe ni Kipilimba.

Na hizo tuhuma alizotoa Bashiru jana sio za kutunga. Na hazikutokana na tuhuma za awali kutoka kwa Musiba. Katika hili, Musiba (anayenichafua kila anapojiskia) aliandika tu kile ambacho akina sie tunaojua yanayoendelea chini ya kapeti tunakifahamu kitambo.

Tatizo la Membe ni lile lile lilomfelisha kwenye mapambano wake dhidi ya Lowassa kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Ni hivi, Membe alikuwa Mtanzania PEKEE aliyeonekana kuwa mbadala wa dhati wa Lowassa. He had support ya familia ya JK na Mwinyi na Mkapa hawakuwa na tatizo nae.

But he messed up big time. Kwa sie alumni wa kitengo, he did let us down. Not that kufanikiwa kwake kungekuwa na manufaa kwetu bali alishindwa kabisa kutumia intelijensia kuendesha mkakati wa urais, huku akiwa na advantage hiyo kubwa ya "real alternative" ya Lowassa.

Na sasa, pilika zake anazofanya huko nje kama mmoja wa challengers wa Jiwe 2020 ndio hizo zinamwagika hadharani.

Ni hivi, Bashiru ana solid evidence ya harakati za Membe ndani na nje ya Tanzania. Ni evidence hiyo - not tuhuma za Musiba - iliyompa ujasiri wa kumvaa Membe hadharani.

How did Jiwe know kuhusu pilika za Membe? One thing for sure sio umahiri wa Kitengo (there is none) bali mapungufu ya Membe. Huwezi kuwa na mkakati wa siri wa kumng'oa Kiongozi aliyepo madarakani lakini ukazembea kwenye usiri, licha ya kuwa shushushu mzoefu.

Finally, kuna mbinu moja kwenye surveillance ambayo japo sio maarufu sana lakini ina ufanisi mkubwa: overt surveillance, yaani kumfuatilia subject bila kufanya jitihada za kujificha asijue anafuatiliwa. Mara nyingi mbinu hii hutumika kwa minajili ya kumvuruga subject, ajue kuwa "upo kwenye rada zetu" na alazimike mwenyewe kunyoosha mikono.

One last thing, kuna vita kubwa inaendelea chinichini ndani ya CCM katika harakati za kumpata "mrithi wa Jiwe" 2020.

Angalizo: SITREP hii kama zilivyo sitrep nyingine haina lengo la kumshawishi mtu aamini.
Waliosoma utawala hebu mtwambie PUBLIC CHOICE THEORY inasemaje? Hawa watu wanagomabinia nini kwa mjibu wa nadharia hiyo?
 
Hu

Huu ukaribu wa Membe na rais ulianza lini hadi aweze kum influence rais amteue Dr. Kipilimba kua DG wa kitengo? Bahati nzuri tunajua wewe humpendi Kipilimba una bifu naye sijui alikukosea nini, so unayasema haya na kutumia kivuli cha Membe ili mh. Rais achukie amtoe Kipilimba kwenye kitengo ili wewe uchekelee
 
Hamna jipya magufuli anajua ukweli wenu na harakati zenu za kumgombanisha na kipilimba ili mpate upenyo.
Shidah kubwa inayowatesa ni kutaka kumgombanisha na kipilimba kwa sababu mnajua ubora wake hamtopata nafasi.
This mission failed!
Mkuu mimi naye nimewaza kama wewe
 
Ah Acha kutulisha matango pori bwana
Membe ni kada wa ccm, na katiba inasema uraisi mwisho ni miaka mitano then unaomba Tena.

Membe na mwingine yoyote Ana haki ya kujipanga au kujiandaa kwa kama anaitaji kugombea

Miaka yote iko hivyo na itaendelea Kuwa hivyo so Membe yuko on the right truck
Jiwe kabadili Katiba now hakuna huo utaratibu manake mwaka 2020 atasimama
na kivuli tu huko ugambani
 
Unaomba kwa namna hali chama ni Mali binafsi ya mwenyekiti
Ah Acha kutulisha matango pori bwana
Membe ni kada wa ccm, na katiba inasema uraisi mwisho ni miaka mitano then unaomba Tena.

Membe na mwingine yoyote Ana haki ya kujipanga au kujiandaa kwa kama anaitaji kugombea

Miaka yote iko hivyo na itaendelea Kuwa hivyo so Membe yuko on the right truck
 
Hivi ndugu zangu Watanzania nafiria ni muda wa kuangalia damu mpya na 'at least' vijana hivi kuwapa nao nchi hawa kina Membe sijui nani ni sawa wazuri lkn muda pia unawatupa na wameisha hudumu sana kwenye ofisi za umma

Sioni haya majina yakihusishwa na 2020 au 2025

January, Zito,Nape, Mwigulu,Nyarandu,Mtaka, Bashiru na watakao jitokeza huko mbeleni wa kariba na umri huo wa kati

Kina Membe ndo wametufikisha hapa na huyo jiwe hana exposure yoyote na ni mtu ameingia madarakani akiwa na mtizamo wa sisi wote wapigaji nae ni 'smartest guy in the house' hapo tutafika kweli tuje na watu wapya na mitizamo mipya
Sasa hao kina January sijui Mwigulu ni wapya?
 
Mi nashangaa hizi sarakasi zote sijui ni za nini!

Jamani, si aliyeko madarakani anajisemea kabisa hicho cheo ni mzigo!? Mara ngapi amesikika hadharani akisema hata anajuta kukitaka hicho cheo!

Sasa watu wakijitokeza wasiokiona ni mzigo mnawapiga Vita ya nini!? Si wanahaki hiyo!? Wao si wako tayari kulala na mafaili kitandani!? Sasa kama wao wanataka wazeeke mapema nyie mnawapigaje vita!? Mbona hamna huruma kwa kiongozi wenu jamani!!

Yeyeto anayetaka aliyeko madarakani aendelee ki ukweli mimi naona hana huruma na hamtakii mema!? Unawezaje kumlazimisha mtu aliyechoka hata kabla ya kumaliza nusu ya kazi yake asaini mkataba mpya wa nyongeza!?

Tuweni serious jamani hii ni nchi sio familia moja ambayo ikianguka sababu ya uchovu wa Baba madhara yake yanaweza kufidiwa na Mama au mtu mwingine wa ukoo!
Kisemwacho sicho kiaminishwacho.
 
Back
Top Bottom