Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
Kaaa chini
Duh changamoto maana ukijifanya kihereher kutoa vipesa vyako mwanaume ndio anakuchapia hapo hapo kubali kulala Giza au kulala njaa ikiwa hajatoa pes akiona hivyo lazm ataanza kukusaidia majukum kama umezaa nae ucjibebesh kimbelmbel kuwapelk watt shule za gharam muache mume mwenyew asem uwezo wake hapo ndio utashaur ila usijibebeshe majukum ili upendwe zaidNahisi namba 2 sipati wa kusaidiana bali napata wa kuniachia majukumu kabisa
Atakaye kupinga huyo ni mchawiKatika haya maisha mwanadamu anahitaji vitu vitatu vya muhimu sana ili aweze kufurahia maisha ambavyo ni
1. Something to hope
2.something to do
3.someone to love
Endapo ikitokea akakosa hata kimoja hakika maisha yake yatakua ya tabu sana kwahyo lazima mtu apate mapenzi kutoka kwa mtu anaempenda. Neno mapenzi hayakimbiliki popote pale duniani labda uwe hauna moyo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wenye mapenz ya kweli tupo ila shida mnatuambiaga "you're not my type" sasa zikija hizo type zenu mnaanza tena manung'uniko
Nimecheka sana na commnt ya kennedy.Kuloweka tena
Umeongea ukwel tupuSahihi kabisa lugha za kimagharibi huwa zinatuzuzua hakuna kitu kinaitwa 'fall in love' au 'love at the first sight' hakuna kitu kama hicho ulimwenguni.
Kitu kilichopo ni 'growth of love' ambayo inachukua muda mpaka kukua na kupevuka hivyo hapa katikati ni jukumu la _me na _ke kumwagilia na kupalilia ili penzi lao listawi, ambapo kunakuwa na changamoto nyingi sana ila somo ni uvumilivu na uaminifu.
Kinyume nakuijua hiyo definition tutaishia kulalama ooh mapenzi hakuna siku hizi sio siku hizi hata zamani kulikuwa hakuna hayo mapenzi ya 'european version' ambayo mnayataka baada ya kupumbazwa na utandawazi, ukitaka kupata mpenzi wa kweli fuata sheria za asili ambazo wengi mnaziita za kizamani au zimepitwa na wakati ila nakuhakikishia ukizifuata na Mungu akakujalia kumpata mwenza anayezifahamu na kuzifuata mtazeeka wote pamoja, kinyume na hapo hakuna na hatakuwepo sio bar, shuleni, kazini, kanisani wala msikitini.
#Back_to_my_roots
Ukiwa namtu asiyejiamn utateseka sana sabb utakuwa mtumwa kila muda kujishusha na kunyenyekea mwisho wasiku upate magonjwa mengi na uzeek mapemaShida inaanzia hapo
Actually people znataka mapenzi ya telenovelas kwamba love at first site tunasalimiana leo na kuambia tunapendana kesho tunakua kwenye penzi zitoWengi hawaish kiuharisia tunaiga mapenz tunatak tufananishe nawatu tunao waona uvumiliv haupo hasa kwa vijan ambao jobless
Kwa sasa mambo yamebadilika sana, kumpata mtu mwenye connection ya uhakika na wewe ni mtihani.Unashauri nn
Kwa kwwli mpira ata mie siiuwezi...raha ya mbususu kitu nyama kwa nyamaUkimwi mkuu,wengine mpira hatuuwez kabisa
NAKAZIA.Just Lower your expectations
Na mkipata hizo hela mapenzi yanaisha.Pole sana....wenye mapenz ya ukweli tupo hapa sema tu hatuna hela.
Yaani mtu kakuchimba weeee siku moja tu na kusepa.?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tatizo wanawake mna jeuri mno acha mtafunwe 🤣🤣🤣🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻Eti wapendwa?
Maana kiukweli bila kupepesa macho upendo wa kweli wa muda mrefu hakuna yaan umekwisha...yaan asilimia kubwa upendo wa kweli umebaki wa siku moja tu siku ya mgegedo yaan baada ya hapo ndo bas tenaa.
Tufanye nn kulenga mulemule yaan kupata msahihi kwako ili at least mdumu hata kwa wiki tatu angalau(ha ha haa,aisee)
ndo maana hatuzipat hizo pesaNa mkipata hizo hela mapenzi yanaisha.
Itapendeza sana na mapenzi utayapata kila siku...Kwa kweli maana hakuna namna
Sure yaanKwa sasa mambo yamebadilika sana, kumpata mtu mwenye connection ya uhakika na wewe ni mtihani.
Cha msingi ni kuwa na subira, mtu wa aina yako utampata tu kuliko ku rush true love ukaishia kupigwa kitu kizito.
Huu ndiyo ushauri ninaoutumia pia kwenye maisha yangu na umesaidia kwa kiasi kikubwa.