Tufanye nini sasa juu ya haya mapenzi?

Tufanye nini sasa juu ya haya mapenzi?

Eti wapendwa?
Maana kiukweli bila kupepesa macho upendo wa kweli wa muda mrefu hakuna yaan umekwisha...yaan asilimia kubwa upendo wa kweli umebaki wa siku moja tu siku ya mgegedo yaan baada ya hapo ndo bas tenaa.Tufanye nn kulenga mulemule yaan kupata msahihi kwako ili at least mdumu hata kwa wiki tatu angalau(ha ha haa,aisee)
Wenye mapenz ya kweli tupo ila shida mnatuambiaga "you're not my type" sasa zikija hizo type zenu mnaanza tena manung'uniko
 
Tunaenda nayo hivyo hivyo huku unabadilika badilika kama kinyonga.

Ukiwa mnyonge leo hii ukaachika next time kuwa gaidi kama Satoh Hirosh
Uko poa lkn mama?

Mshauri to yeye awe km maji.."it take the shape of the container" Anapenda kutokana na mwanaume alivyo,mdundo ukibadilika nae anabadilika, jamaa akilala mbele nae analala mbele
 
Yeees,of course mkuu,ndo mpango
 
Eti wapendwa?
Maana kiukweli bila kupepesa macho upendo wa kweli wa muda mrefu hakuna yaan umekwisha...yaan asilimia kubwa upendo wa kweli umebaki wa siku moja tu siku ya mgegedo yaan baada ya hapo ndo bas tenaa.Tufanye nn kulenga mulemule yaan kupata msahihi kwako ili at least mdumu hata kwa wiki tatu angalau(ha ha haa,aisee)
Hahaa unataka upendo wa kudumu kwa nini? Au wee hupendi kuonja ladha tofauti tofauti za mgegedo
 
Eti wapendwa?
Maana kiukweli bila kupepesa macho upendo wa kweli wa muda mrefu hakuna yaan umekwisha...yaan asilimia kubwa upendo wa kweli umebaki wa siku moja tu siku ya mgegedo yaan baada ya hapo ndo bas tenaa.Tufanye nn kulenga mulemule yaan kupata msahihi kwako ili at least mdumu hata kwa wiki tatu angalau(ha ha haa,aisee)
Kumbe unateseka kama mimi mkuu?? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom