Bora ubaki ivoivo.....ukiingia tu tufyeka wote hicho ulichokipigania
Hakina ulazima.Kitu muhimu kina ulazima pia
Kila siku mnaambiwa katika mapenzi muonekano wa nje hufa baada ya siku tisini tangu muanze kunyanduana baada ya hapo kinacho endelea kuwaunganisha ni unachezaje kwenye hayo mapenzi yenu.Eti wapendwa?
Maana kiukweli bila kupepesa macho upendo wa kweli wa muda mrefu hakuna yaan umekwisha...yaan asilimia kubwa upendo wa kweli umebaki wa siku moja tu siku ya mgegedo yaan baada ya hapo ndo bas tenaa.
Tufanye nn kulenga mulemule yaan kupata msahihi kwako ili at least mdumu hata kwa wiki tatu angalau(ha ha haa,aisee)
Me naona niishie hapa sitaki ushauri mwengine.Akikupenda mama inatosha,
Achana na hiyo kitu inayoitwa mapenzi, fanya Mambo mengine, jipende wew mwenyewe na mapenz yawe sehem tu ya kusurvey ama kutalii na kupunguza ham[emoji23].
Ukichukulia sirius haya mambo utakufa siku si zako, siku zinavyozidi kwenda ndipo uaminifu unapungua, uhuni wa kila aina umetawala ktk mapenzi.
Unaweza mpata muaminifu, lkn ana tabia za hovyo zisizovumilika, pia unaweza mpata mtiifu na mpole kumbe chini ya carpet ni silent killer, inshort we vumiliaga tu ulipo ndipo wengine wapo.
Tusitoe haraka lol, just kiddingEti wapendwa?
Maana kiukweli bila kupepesa macho upendo wa kweli wa muda mrefu hakuna yaan umekwisha...yaan asilimia kubwa upendo wa kweli umebaki wa siku moja tu siku ya mgegedo yaan baada ya hapo ndo bas tenaa.
Tufanye nn kulenga mulemule yaan kupata msahihi kwako ili at least mdumu hata kwa wiki tatu angalau(ha ha haa,aisee)
Na wao hawata toa haraka.Tusitoe haraka lol, just kidding
Tatizo mademu wa kibongo mnaishi maisha ya uigizaji sana, wale mastaa wa bongo muvi muwaonao kwenye sinema zao si maisha yao halisi. Wale ni walalahoi tu na ndiyo maana awaishi kudanga kila kukicha. Kudate na mwanamke wa kibongo ni kujitafutia matatizo ama stress za kijinga.Eti wapendwa?