MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,520
- 39,103
Mapenzi yapo ila tunapishana nayo.
Mi haya nishaga yakatia tamaa. Dawa ni moja tu tupeane sex mapem kabisa kabla mapenzi hayajakolea vizuri alafu kila mtu aende njia yakeEti wapendwa?
Maana kiukweli bila kupepesa macho upendo wa kweli wa muda mrefu hakuna yaan umekwisha...yaan asilimia kubwa upendo wa kweli umebaki wa siku moja tu siku ya mgegedo yaan baada ya hapo ndo bas tenaa.Tufanye nn kulenga mulemule yaan kupata msahihi kwako ili at least mdumu hata kwa wiki tatu angalau(ha ha haa,aisee)
[emoji849]Shida ni kwamba mnatafuta kitu ambacho personally hampo tayari kupay the price to get it.
And when i say the price i don't mean the normal money price but the price of the soul.
Huwa mnauza roho kwa ulimwengu na mambo yake halafu roho ikishachakaa haina hadhi tena ndipo mnataka tena kuutafuta uzima.
Poleni sana. Dunia ina mengi sana ya kujifunza wacha tuendelee kujifunza.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaUpendo ni nini?kupendwa ni nini?
Mapenzi ni yapi?!!unahitaji nini ktk mapenzi?sex au affection?kudumu au kutokudumu?kuheshimiwa au kutokuheshimiwa?kujaliwa au kutokujaliwa?unahitaji mentally stability au physical stability?mtaheshimiana au hamtaheshimiana?
Mkiyajua hayo nyote wawili mtadumu!!!
Kingine over demanding inawakimbiza watu!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
SadShida ni kwamba mnatafuta kitu ambacho personally hampo tayari kupay the price to get it.