hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,346
- 80,218
[emoji16][emoji16][emoji16]Usipo badilika dunia itakubadilisha au itakuacha nje ya mfumo wake kitu ambacho ni hatari kwa maana utakuwa upo upo tu, Cha msingi wwe fuata mfumo wa dunia ya Sasa unavyotaka, usiwe expert wa Mapenzi Bali kuwa expert wa ngono tu inatosha , Utajiepusha na maumivu ya moyo pamoja na fedheha [emoji457]Eti wapendwa?
Maana kiukweli bila kupepesa macho upendo wa kweli wa muda mrefu hakuna yaan umekwisha...yaan asilimia kubwa upendo wa kweli umebaki wa siku moja tu siku ya mgegedo yaan baada ya hapo ndo bas tenaa.Tufanye nn kulenga mulemule yaan kupata msahihi kwako ili at least mdumu hata kwa wiki tatu angalau(ha ha haa,aisee)