Ha ha haa,ni hataree
Umeandika ukweli saanaKatika haya maisha mwanadamu anahitaji vitu vitatu vya muhimu sana ili aweze kufurahia maisha ambavyo ni
1. Something to hope
2.something to do
3.someone to love
Endapo ikitokea akakosa hata kimoja hakika maisha yake yatakua ya tabu sana kwahyo lazima mtu apate mapenzi kutoka kwa mtu anaempenda. Neno mapenzi hayakimbiliki popote pale duniani labda uwe hauna moyo
Asante sanaDuh changamoto maana ukijifanya kihereher kutoa vipesa vyako mwanaume ndio anakuchapia hapo hapo kubali kulala Giza au kulala njaa ikiwa hajatoa pes akiona hivyo lazm ataanza kukusaidia majukum kama umezaa nae ucjibebesh kimbelmbel kuwapelk watt shule za gharam muache mume mwenyew asem uwezo wake hapo ndio utashaur ila usijibebeshe majukum ili upendwe zaid
Wee kula ushibe, simu yako iwe na chaji full na bundle la mwezi, bas maisha ushatoboa yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikwel nimuhim uish kulingan na wakati uliopo uangalie vipaumbele muhim kweny maisha yako focus kuvipataKwa sasa mambo yamebadilika sana, kumpata mtu mwenye connection ya uhakika na wewe ni mtihani.
Cha msingi ni kuwa na subira, mtu wa aina yako utampata tu kuliko ku rush true love ukaishia kupigwa kitu kizito.
Huu ndiyo ushauri ninaoutumia pia kwenye maisha yangu na umesaidia kwa kiasi kikubwa.
Hapo ndio tunapofeli hatuish kiuhalisia nawengi huficha mapungufu yao kwa act tabia zawengin binafc sipend fake life nibora anaekuja kwaajili ya kunipenda atambue vitu vitatu.Actually people znataka mapenzi ya telenovelas kwamba love at first site tunasalimiana leo na kuambia tunapendana kesho tunakua kwenye penzi zito
Ndiyo uanze sasa, kufanya kila siku...Na nitanawiri pia
Amua moja kusuka au kunyoa...Mtihani
HeheAmua moja kusuka au kunyoa...
Achague...Hehe
HakikaAchague...
Binadamu...Aisee,mkuu kwan wewe mwanajeshi?