Tufanye nini sasa juu ya haya mapenzi?

Tufanye nini sasa juu ya haya mapenzi?

Jana nilikuwa na kazi kumpa ushauri jamaa yangu mmoja mtu wa system.

Ana kila kitu cha kidunia ambacho wanawake wengi wanapenda ( mali)

Lakini kapigwa na kitu kizito kichwani ,analia kama mtoto mdogo.

Mapenzi ni mtihani mgumu nowdays..
 
Jana nilikuwa na kazi kumpa ushauri jamaa yangu mmoja mtu wa system. Ana kila kitu cha kidunia ambacho wanawake wengi wanapenda ( mali)
Lakini kapigwa na kitu lizito kichwani ,analia kama mtoto mdogo.
Mapenzi ni mtihani mgumu nowdays..
Mwambie kuna mwenzie wa kike anasaga meno huku
 
1.Wewe mwenyewe unajipenda vya kutosha kutoka kwenye uvungu kabisa wa moyo wako?

2.Wenye hekima wanasemaga "both partners have to fill their cups for a healthy relationship" kwa maana ya kwamba unatakiwa kuhakikisha umeimarika hasa kiuchumi na kihisia ukiwa mpweke(single) kuepuka utegemezi uliokithiri kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano serious.

3.Af pia isije ikawa unataka mwenza mwenye sifa zinzotaka kufanana na za malaika, lazima ukumbuke kwamba wanaokuzunguka ni binadamu wasiokosa kasoro.

Nb:Sijamaanisha kwamba watu wasigegedane endapo hawajakamilisha namba 2 🤪
 
Nahisi namba 2 sipati wa kusaidiana bali napata wa kuniachia majukumu kabisa
 
Mapenzi ama kitu chochote cha kudumu hujengwa na muda na uvumilivu,
Na waliowengi skuhizi hawana uvumilivu

Unataka mkutane leo kesho muwe kwa penzi zito before hamjafahamiana vizuri?!
Ni sahihi kabisa
 
Matarajio huumiza. Epuka kuweka matarajio na binadamu. Wengi ninaowashauri kuhusu mahusiano huwa nawakumbusha kupanga vipaumbele vyao katika mtindo huu;

1) Kazi au biashara
2) Burudani na michezo
3) Marafiki
4) Mahusiano
 
Back
Top Bottom