Tufanye nini sasa juu ya haya mapenzi?

Tufanye nini sasa juu ya haya mapenzi?

Akikupenda mama inatosha,

Achana na hiyo kitu inayoitwa mapenzi, fanya Mambo mengine, jipende wew mwenyewe na mapenz yawe sehem tu ya kusurvey ama kutalii na kupunguza ham[emoji23].

Ukichukulia sirius haya mambo utakufa siku si zako, siku zinavyozidi kwenda ndipo uaminifu unapungua, uhuni wa kila aina umetawala ktk mapenzi.

Unaweza mpata muaminifu, lkn ana tabia za hovyo zisizovumilika, pia unaweza mpata mtiifu na mpole kumbe chini ya carpet ni silent killer, inshort we vumiliaga tu ulipo ndipo wengine wapo.
Demu ambaye ni rahisi kutiwa na kila mwanaume lakini ndani ya nyumba sio mkorofi

VS

Yule ambaye mgumu kutoa kitumbua nje lakini ndani mkorofi, yupi ana nafuu majameni ?
 
Dawa ni kuachana nayo tu

Nna mwaka wa tano huu nimekaza.. sielewi yaani mimeamua kuachana nayo labda mda sahihi haujafika kwangu.. yaani nimeachana nayo ndio naanza kunenepa naanza kuona nna save pesa nyingi yaani napendeza yaani na maendeleo mengi ya kimaisha nayapata mpaka naogopa kurudi tena kwenye mahusiano... nisije! Nikarudi nikafulia yaani nna kawasi wasi filani hivi.. au sijaumbwa niwe katika mahusiano ya kimapenzi.. M/MUNGU nisimamie InshAAllah
 
Bora ubaki ivoivo.....ukiingia tu tufyeka wote hicho ulichokipigania
 
Back
Top Bottom